kutegemea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kulikuwa na wazee wa hizi kazi wawili tu. Saddam Hussein na Osama Bin Laden, Viongozi wa Iran wanachojua ni kupiga domo na kutegemea proxy wars,

    Marekani walipoenda Iraq kwa Saddam Hussein hawakuweza kufikia hata kwa theluthi walichokiweza Iran, yani Iran wameigeuza kama sebule yao, wanajipigia tu. Osama alikuwa mwiba sana, hadi Marekani wanamkamata ilikuwa shughuli nzito. Iran alitegemea zaidi kufanya mashambulizi kwa Proxies kama...
  2. Miaka 49 ya CCM: Imebaki kutegemea Dola kubaki madarakani

    Chama cha Mapinduzi kinaadhimisha miaka 49 tangu kilipoanzishwa Februari 5, 1977 baada ya kuunganishwa vyama vya TANU iliyokuwa Tanganyika na ASP iliyokuwa Zanzibar. Kwa hiyo CCM ni zilezile TANU na ASP zilizopambana wakati wa ukoloni. Ni miongoni mwa vyama vikongwe vya ukombozi barani Afrika...
  3. Sikuwahi kutegemea kama punyeto inaweza kutambulika kama janga, najiuliza, vijana wa kisasa wame-overdose au mitandao ndio ime expose?

    Haimaanishi ilikuwa ni lazima kijana ufanye punyeto katika processs ya ukuaji wako lakini pia haimanishi ilikuwa sio jambo la kawaida kufanya punyeto, ni kitu cha enzi na enzi, Lakini kwa sasa punyeto haisomeki kama step ya maisha ila inasomeka kama sehemu ya maisha, maana katika wingi mkubwa...
  4. PostGE2025 Bila ya kutegemea dola CCM haiwezi kushinda uchaguzi

    Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya. Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli za kisiasa za vyama pinzani kwa CCM wakati wa uchaguzi. Itokee kuwe na tume huru ya uchaguzi...
  5. Rwanda ndio nchi mojawapo Aafrika kwa sasa inatengeza silaha na vifaa vya ulinzi bila kutegemea mataifa mengine kuangiza

    Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya ulinzi ya nchi hiyo na inaweza kuwa mfano kwa mataifa mengine ya Afrika katika kupunguza utegemezi wa...
  6. Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika. Waliouwa ni mamlaka ya Samia haibadiliki na ushahidi upo

    Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo. Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu kutaka kujivua na kumbambikizia mtu, NGO, au upinzani kwa mauwaji yaliyofanyika chini yake na vyombo...
  7. Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka . Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life. Nataka niwe...
  8. Hivi ni kweli mtu anaweza kuendesha maisha yake kwa kutegemea betting tu?

    Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa. Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo...
  9. Kero ya Kutegemea Michango kwa Harusi au Tafrija

    Katika nchi kama Tanzania, harusi au tafrija kubwa haziwezi kufanyika bila kuchangiwa na marafiki, ndugu na jamii kwa ujumla. Ingawa utamaduni huu una asili ya mshikamano na upendo wa kijamii, hali imebadilika na kuwa kero kubwa kwa watu wengi. Leo hii, mtu anapotangaza kufunga ndoa, mara moja...
  10. Je ni kwa namna gani unatengeza furaha yako binafsi bila kutegemea mtu wala vitu?

    Habari wana JF, niliweka uzi hapa JF nikawa nimeelezea changamoto yangu kwenye mahusiano. Nashukuru mlinipa na mnaendelea kunipa maoni ambayo kimsingi yananijenga upya japo kuna jambo jipya limeibuka ndani mwangu nikutokana na maoni yenu lakini pia kuna uzi mwingine nilisoma nikakutana na...
  11. Unaweza kupata kazi na ajira za Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.

    Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza Nimekuwa freelancer kwa miaka 5, Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 100 Global. Wengi wao sikuwapata Fiverr wala...
  12. Huwa mnaishi vipi Kwa kutegemea mishahara?

    Hapa sizungumzii wale watu wenye kazi kubwa walau kuanzia million 2 kwenda juu, ambao najua hawa ni wachache mno Hapa nazungumzia hizi kazi za kati kama manesi, polisi, walimu, bank teller nk, ambazo hizi ndo kazi za watu wengi Yaani unakaa mwezi mzima unangoja 500k na kila siku upo kazini na...
  13. Watanzania Chukueni hatua wenyewe acheni kutegemea chama kuwakomboa

    Nawaambia Chukueni hatua Anzeni na watu mnaoishi nao mtaani Chukueni hatua za kimya kimya baada ya miezi 3 mbele wahuni wataelewa Kama Kuna biashara ya muhuni msinunie Acheni kupanda hayo mabasi ya mafisadi Kama ni mwalimu mtoto wa polisi muache afeli Kama ni doctor akija fyeka
  14. Haya mnayoyaona ya wanachuo kupigania bwana ni matokeo ya kutegemea G.PA za" chupi"

    Tumeona kiongozi mkubwa wa serikali akionyesha kutopendezwa na Yale yaliyotokea vyuoni , baada ya wanavyuo kupigana na kudhalilishana mitandaoni huku ikisemekana wanamgombea bwana wao Mwijaku....laiti kama hawa wanafunzi wangekuwa wanatambua kilichowapeleka chuoni wasingekuwa na muda wa...
  15. Arikana Chihombori-Quao asema Viongozi wa Afrika wamejivika Mavazi ya Umasikini kwa kutegemea USAID, wakati rasimali za nchi zipo mikononi mwao

    Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete. Anasema rasilimali za asili za Burkina Faso ni mali ya watu wa Burkina Faso. Niger nao wanafanya...
  16. Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  17. M - Pesa siyo ya kutegemea Masaa Karibu 20 sasa Huduma inasumbua

    Vodacom Tanzania Hii si sawa, ni Masaa Karibu 20 sasa Huduma yenu haipo sawa, hela za Biashara na transactions zipo hewani! Si sawa! Tunakwama
  18. Mwanaume Uwe na Kitu Cha Kutegemea na Kiwe Siri yako

    Kuna Jambo nimejifunza ktk Maisha, Wazee Wengi wazamani walikua na Hakiba ya Siri. Pia walikua awafanyi maamuzi kwa Mihemko, Na walikua na Busara, Fulani ambayo Mimi naweza sana, Mzee anaweza Jua Jambo na akakuvungia kama hajui. Na linapokuja swala la akiba ya Siri, hii ni akiba ambayo atakua...
  19. Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

    Huwa
  20. G

    Mawazo ya ndugu kujiona entitled ni lazima wasaidiwe na waliofanikiwa husababisha kuridhika, uvivu, umasikini zaidi. Nazipongeza jamii zenye mipaka.

    Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama. Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…