MASKINI AKIKOPA KAPATWA, TAJIRI AKIKOPA KAPATA
Na. M. M. Mwanakijiji
Tuangalie ukweli wa hoja hii na tulinganishe nani yuko karibu zaidi na hili kati ya wanaotetea mikopo isiyoulizwa na wale wanaouliza kuhusu mikopo na misaada ya kigeni. Yanayofuatia siyo maneno yangu nimeyanukuu tu.
Njia...
Ukifikiria kiundani utagundua mtumishi anufaiki sana na mkopo anaokopa, wanufaika wakubwa wa mikopo kwa wafanyakazi ni mabenki/taasisi zinazohusika na ukopeshaji kupitia faida inayotokana na riba, mikopo inapelekea chanzo cha Maisha magumu kwa watumishi waliowengi huku ikiwaacha wakopeshaji wa...
Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba wa muda mrefu Ezekiel Kamwaga.
Kutafuta mtu dizaini ya Haji Manara kama Mwijaku au Dr Kumbuka ni...
Bunge la bajeti limepita bila mpango maalumu wa kukabiliana na corona.
Hatima yake tunataka kuwekeza mapambano dhidi ya corona kwa kitumia hisani za WHO,USA n.k.
Tuamshe bongo zetu na tuje na majibu kamili
Huu ni ukweli kulingana na uzoefu wangu.
Nchi wahisani wamekuwa na masharti magumu mno. Mengi ni kuhakikisha tunabaki tulivyo miaka nenda rudi.
Serikali ichukue jukumu la kuendeleza uchumi wetu kulingana na rasilimali tulizonazo.
Hii ya kujivunia kupendwa na wazungu ama kutaka kuonekana uko...
Nimeshangazwa na hili hapa kama ni kweli: Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
Hivi inawezekanaje serikali (hapa serikali kwa maana ya watendaji wakuu wa serikali, mawaziri wakiwemo na vyombo vyao vinavyowasaidia katika...
Mwaka fulani hapa Jijini Dar es salaam nikiwa naishi mitaa flani jirani yangu alipatwa na janga la moto. wakati tunapambana na huu moto jirani akawapigia simu zimamoto. tuliendelea kupambana na moto huo na baada ya muda mfupi (dk 50) walikuja zimamoto wakati huo kwa upande wa chini tumefanikiwa...
Habari wadau!
Kiukweli zama zimebadilika sana, kwa sasa Watanzania wengi tunaishi kwa kutegenea mikeka.
Wanaume majumbani kwetu ndio usiseme, wife ukiona anakuzonga zonga unamwambia kuna mchongo huo naufukuzia ukitiki tu mambo yatakuwa poa kumbe mtu mzima una mkeka wako wa siri unangoja Odds...
Tofauti na zamani ila ndoa nyingi zinazofugwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wanaoa unakuta bado anategemea nyumbani asaidiwe.
Kuna wengine anaoa yeye na mkewe anaishi nae nyumbani kwao na hapo unakuta kila kitu anategemea nyumbani familia imuhudumie yeye na mkewe.
Ni kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.