kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Binadamu mwenye Umri mkubwa zaidi afariki akiwa na miaka 116 nchini Afrika ya Kusini

    Fredie Blom's identity documents showed he was born in Eastern Cape province in May 1904, although that was never verified by Guinness World Records. When he was teenager, his entire family was wiped out by the 1918 Spanish flu pandemic. He went on to survive two world wars and apartheid. Mr...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Nyanda za Juu Kusini ni kiini cha mabadiliko

    Nawapa hongera sana. Mapokezi ya Tundu Lissu kuanzia Iringa, Mafinga, Makambako, Njombe, Baba lao Mbeya, Mlowo na Tunduma, mmenikosha sana. Mbeya na Tunduma pamoja na Mlowo sina wasiwasi na ninyi. Mnachokifanya kinaonekana lakini shida ipo kwa majirani zangu Wabena, Wakinga na Wafipa. Naombeni...
  3. JamiiForums Tanzania Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi

    Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya msafara wao wa magari kuvamiwa na waasi mjini Juba. Kiongozi huyo hakuwa katika msafara huo wakati shambulio hilo lilipotokea. Msemaji wa Kiongozi huyo, Kalisto...
  4. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Sudan Kusini yasema Akiba ya Fedha za Kigeni imekwisha

    Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni na haiwezi tena kumaliza kushuka kwa thamani ya Pauni ya Sudan Kusini, afisa mkuu wa benki kuu alisema Jumatano. Daniel Kech Pouch, gavana wa pili wa benki hiyo, aliambia mkutano wa habari kwamba mapato ya mafuta ya nchi yamepungua, ikigonga...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Muleba Kusini inahitaji Mbunge mzalendo siyo kama wakina Dkt. Mode

    Huu wakati ndani ya Chama cha Mapinduzi tunaweza kusema ni muda wa lala salama au muda wa majeruhi na hii inapelekea wananchi wote pamoja na wanaCCM kusubiri ni nani jina lake litarudi na hii macho yote ni kwa majimbo yote Tanzania nzima. Miaka ya nyuma tungekuwa tumeishashangilia ushindi lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Afrika kusini kulegeza masharti ya lockdown kuanzia Jumatatu

    South Africa's president has said coronavirus infections appear to have peaked in the country, as he announced a sweeping relaxation of lockdown measures. President Cyril Ramaphosa said nearly all restrictions on the country's economy will be eased from Monday. A controversial ban on the sale...
  7. JamiiForums Tanzania CCM bora ya muda wote kwangu ni ile iliyoongoza mapambano Kusini mwa Afrika na ile iliyomchapa Nduli, hizi CCM nyingine sijawahi kuzielewa

    Kwakweli linapokuja swala la CCM bora kwangu ni hiyo hapo juu. 1. Iliyoongoza mapambano dhidi ya makaburu kule nchi za Kusini. 2. Iliyoongoza mapambano ya kumchapa nduli Uganda. CCM hii iliweza kuunganisha watu ndani na nje ya nchi. CCM ya Sasa imegawa sana Watanzania kuliko kipindi chochote...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

  9. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini na Misri tu hatujazifikia hata kwa 25% je, hizo London, New York na Paris ndiyo tutazifikia haraka?

    “Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM East Africa Television - News Kama Kauli hii imetolewa tu 'Kisiasa' zaidi kuelekea katika Kampeni za Uchaguzi huu...
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linataka kumpaisha kisiasa Tundu Lissu kama ambavyo walifanya Makaburu wa Afrika Kusini kwa Nelson Mandela?

    Tujikumbushe siasa kidogo, katika miaka ile ya 60, makaburu wa Afrika Kusini walilitumia Jeshi lao kumnyanyasa katika kila hali mzalendo wa nchi hiyo Nelson Mandela, hadi mwaka ule wa 1964, alipohukumiwa kifungo cha maisha jela, katika kesi ya kubambika ya uhaini Nelson Mandela hakuvunjika moyo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Shule Afrika Kusini zafungwa tena

    Moja kwa moja kwenye mada. Afrika Kusini wamezifunga tena shule zote kwa mwezi mmoja wanapoendelea kupambana na ugonjwa huu. Mapambano ni pamoja na tathmini ya wazi ya mirejesho pasipo na kujidanganya. Korea kusini, China nk, nako wanapita katika hali kama hizo hizo. Marekani ya Trump sasa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Watu 572 wapoteza maisha Afrika Kusini kwa saa 24 zilizopita

    It goes without saying that the reason Africa will face the worst of Covid-19 last is because we are very poorly connected to the rest of the world. We do very little business with the rest of the world, which spared us the initial hit. Probably more people move from China to the US in a week...
  13. JamiiForums Tanzania Ilikuaje Sudan Kaskazini ikawa na watu wenye rangi nyeupe (Waarabu) na Kusini kukawa na watu weusi?

    Sudan ilikuwa ni nchi moja kabla ya kugawanyika na kuwa nchi mbili hivi karibuni. Sasa binafsi nashangazwa kidogo kwa namna hii nchi ilivokuwa yaani kule kaskazini raia wa kule ni weupe peee mpaka nywele zao ambazo ni ndefu kama waarabu halafu wa kusini ni weusi tiiii nadhani Afrika nzima ndio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Upeo wa kisiki cha mpingo ni Kanda ya Kusini tu

    Jana Kisiki cha Mpingo kimepokelewa ACT-Wazalendo, na leo hii kimechukua fomu za kugombea Urais kupitia chama hicho. Katika hotuba yake wakati kikipokelewa ndani ya chama hicho, mbali na makosa ya ufahamu wa mahali kilipo, kilionesha uelewa mdogo sana wa Tanzania hii. Mara zote kikitoa solution...
  15. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kurejesha masharti ya kutokutoka nje. Uuzaji wa pombe kupigwa marufuku

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, Jumapili alitangaza kwamba serikali yake itarudisha marufuku iliyokuwepo ya uuzaji wa pombe na curfew ya kutoka nje usiku Hii alisema ni katika juhudi za kupunguza misongamano ya majeruhi, inayoshuhudiwa kwenye...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ngoma ndio kama inaanza bandugu, Afrika Kusini wagonjwa 9,064 kwa siku

    Mliojichokea kwenye hii safari na kuacha watu wenu wajihangaikie wenyewe huko kwenye mitaa ya mabanda mnatakiwa mfahamu hiki kitu kinazidi kuwa hatari, Afrika Kusini namba zinapandisha balaa, karibu elfu kumi kwa siku. ===== South Africa has announced another record daily number of confirmed...
  17. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kuanza majaribio ya chanjo ya Corona

    Afrika kusini imeanzisha majaribio ya kwanza ya chanjo ya virusi vya corona barani Afrika wiki hii, chuo kikuu kinachoongoza hatua hiyo kimesema leo, wakati nchi hiyo ikikabiliana na idadi ya juu ya kesi za maambukizi barani Afrika. Chanjo, iliyotengenezwa na taasisi ya Oxford Jenner, tayari...
  18. JamiiForums Tanzania Namba 23: Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohamed Mahmud achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Mkuu wa mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmud amekuwa mgombea wa 23 kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar.
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Corona imeua watu 800 chini ya wiki mbili, jameni tusijichokee, hiki kitu ni balaa

    Mnaoendelea kupuuza na kukaidi ushauri wa tahadhari dhidi ya Corona mfahamu mnamtekenya simba na kucheza na masharubu yake, hiki kitu kinaua bila huruma, na ndio kinaendelea kupata kasi Afrika, yaani chini ya wiki mbili tayari kimelamba watu 800 nchini Afrika Kusini. ----- COVID-19, the...
  20. JamiiForums Tanzania Nelson Mandela ni msaliti wa harakati za Uhuru wa Afrika Kusini na Afrika kiujumla?

    Kwa takribani miaka 27 Nelson Mandela (Tata/Madiba) amekuwa gerezani Hadi mwaka 1990 alipoachiwa. Hadi kufikia mwaka 1990 nchi zote za kiafrika zilikuwa zimepata Uhuru kutoka kwa wakoloni. Ikumbukwe Afrika Kusini ilipata Uhuru wake mnamo 1931, mwaka 1994 haukuwa mwaka wa kupata Uhuru kwa Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…