MwanaPekee
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 382
- 385
Jana Kisiki cha Mpingo kimepokelewa ACT-Wazalendo, na leo hii kimechukua fomu za kugombea Urais kupitia chama hicho. Katika hotuba yake wakati kikipokelewa ndani ya chama hicho, mbali na makosa ya ufahamu wa mahali kilipo, kilionesha uelewa mdogo sana wa Tanzania hii. Mara zote kikitoa solution za matatizo ambayo kilidai yapo, kili-base zaidi kwenye Mikoa ya Kusini mwa Tanzania. Kilipotoka sana, kiliishia Bagamoyo Pwani. Muda si mrefu utamezeshwa mambo ya Kigoma na Pemba, ukajiona ume-address changamoto za Tanzania nzima.
Tanzania tunamtaka Rais mwenye uwezo wa ku-address matatizo ya Tanzania na si Kanda fulani pekee. Kisiki kikingiia Ikulu kimesema kuwa kitajikita kwenye Korosho, Mbaazi, Gesi, na Bandari ya Bagamoyo pekee. Na muda wote kimekuwa kikiwashukuru wananchi wa Kusini na hasa Kijijini kwake Rondo kwa support. Nikikumbushe tu kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa sana, katika watia nia wote ni JPM pekee ambaye hata akiongea tu mtu unaelewa kuwa anaifahamu Tanzania. Na kwa miaka mitano tumeshuhudia Kanda zote zikiwa zimechangamka kwa projects mbalimbali zenye Tija.
FYI, hizo zote ambazo wewe umeona kama ndiyo mtaji wako, zimeshafanyiwa kazi na zinaendelea kufanyiwa kazi na serikali hii, na ndio maana Wana-Ruangwa wameamua kumpitisha bila kupingwa PM Majaliwa Kassim Majaliwa kama Mgombea wao.
Kisiki wewe ni dhaifu sana, na huielewi Tanzania hii; Magufuli ni ubiquitous kwenye nchi hii.