kusikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kuisikia sauti ya mungu? Unatambuaje akikujibu maombi?

    Wanaosema wamejibiwa maombi na mungu au wameongozwa na roho Mtakatifu huwa wanajuaje ? Huwa wanasikia sauti yake mungu?
  2. JamiiForums Tanzania Taasisi na Serikali ziwekeze katika mafunzo ya watoa huduma kwa wenye changamoto ya kusikia

    Katika mfululizo wa makala hizi, tunaona ukubwa wa tatizo na ukosefu wa wakalimani wa lugha ya alama katika vituo vya matibabu vya Jiji la Mbeya, na athari zake za kisheria na kiafya kwa watu wenye ulemavu wa kusikia. Swali la msingi: Nini kifanyike ili kupata suluhisho la tatizo hili? Sehemu...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wenye changamoto ya kusikia wanapitia wakati mgumu katika Vituo vya Afya

    Katika Mkoa wa Mbeya wenye zaidi ya watu 12,000 wenye ulemavu wa kusikia, ni kituo kimoja tu cha kutolea huduma za afya chenye mkalimani wa lugha ya alama. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Mbeya (CHAVITA). Hata hivyo, nyuma ya hali hiyo, kuna maumivu makubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mfalume Ahabu ( Samia wa Leo) alikua na Manabii wake 450 wa Uongo walomtabiria anayopenda kusikia, Nabii Eliya na Mikaya walimtabiria Mabaya tu!!

    Mfalme Ahabu aliwachukia San Nabii Eliya na Mikaya kwakua walikua wanamtabiria Mabaya siku zote, Chuki ikaenda mbali Kiasi cha Ahabu kutafuta kwa nguvu zake zote Kumuua Eliya Na Mikaya . Mfalme Ahabu , Aliondoa Ibada ya Mungu katika utawala wake, Israel ukaanza kuabudu miungu Baali, miungu...
  5. JamiiForums Tanzania Sisi Watibeli hatuoni ajabu kusikia mtu katolewa maini kisa kutaka mali zisizo zake kwa kisingizio cha kuwa ni mke/mume

    SISI WATIBELI HATUONI AJABU KUSIKIA MTU KATOLEWA MAINI KISA KUTAKA MALI ZISIZO ZAKE KWA KISINGIZIO CHA MKE/MUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi Watibeli moja ya mambo ambayo tunajua mtu akiyafanya ni haki yake kuuawa Bila kujali sheria za nchi au za dunia za wakati husika zinasemaje...
  6. JamiiForums Tanzania Ni nadra kusikia Wachina Wamekuja Mbuga za Wanyama Kutalii. Au China iko full Milima, Parks na Mazaga yote?

    Mataifa mengine ya Ulaya au America ni kawaida, ila Hawa ndugu zetu Wachina (na Asia tuseme) ni nadra kinoma. Hawana shobo au?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msijeshangaa kusikia Lissu kaachiwa huku Bi. Mkubwa baadae akija kusema niliombwa na Mbowe

    Pamoja na yote yanayoendelea mahakamani hivi sasa kuhusu kesi ya Lissu, huu ndio utabiri wangu kutokana na uzoefu nlilioupata katika kufuatilia siasa na wanasiasa. Naomba niishie hapa.
  8. JamiiForums Tanzania Kila ninapoiona sura ya Mama Abduli au kusikia sauti yake huwa nachukia ghafla. Ni heri nimuombee shetani asamehewe na Mungu kuliko mama Abduli

    Hakuna madhara ya moja kwa moja nimeyapata kupitia yeye. Ila niseme tu ukweli kwenye maisha yangu sikuwahi kumchukia mtu kuliko ninavyomchukia huyu mama abduli na genge lake. Ni heri nimuombee shetani asamehewe na Mungu kuliko mama abduli.
  9. JamiiForums Tanzania Huduma ya Upandikizaji wa Vifaa vya Kusikia Muhimbili Yabadilisha Maisha ya Watoto 115

    Watoto 115 wamefanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, hatua kubwa kwa Tanzania kwani awali watoto wenye uhitaji wa huduma hii walilazimika kupelekwa nje ya nchi. Sasa huduma hii inapatikana hapa nchini, ikitoa matumaini mapya kwa watoto na familia...
  10. JamiiForums Tanzania Nasubili kusikia hadi sasa hivi tajiri katumia bilion ngapi pale msimbazi hadi sasa hivi

    Yes nasubilia kuona tajiri akijirekodo clip akisema hadi sasa katumia bilion ngapi maana aishiwi maneno chupri chupri nyingi sana hakuna usajili wowote wa maana wamefanya hadi sasa.
  11. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuwateka akili wa Tanzania ukiwaambia mambo ambayo masikio yao yanataka kusikia

    Ni rahisi kuwateka akili wa Tanzania ukiwaambia mambo ambayo masikio yao yanataka kusikia na ndioomaana Mitume na manabii uchwara wanafanikiwa sana wameshaijua code ya kuchezanayo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kila sehemu kuna unyanyasaji lakini ni kwanini tumezoea kusikia wafanyakazi wa kiafrika wakinyanyaswa zaidi kwa waarabu kuzidi kwa wazungu ?

    Tatizo huwa ni lipi licha ya baadhi ya waarabu kuwa na mioyo safi ila imekuwa kawaida sana kupata malalamiko ya wafanyakazi wengi wakinyanyaswa nchi za waaabu ?
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini mandhari na uzuri wa asili kwa kuuangalia tu au kusikia sauti za uzuri huo unamkosha sana binadamu? Majadiliano na atheists Ep5

    ‎kwa dakika moja fikiria hii: umesimama kwenye fukwe ya bahari jioni Jua linazama. Rangi nzuri za machweo ya jua zinaenea angani kama picha iliyochorwa na mkono wa ustadi usio wa kawaida. Moyo wako unashikwa na kitu kitu ambacho huwezi kukieleza kwa maneno hisia ya kwamba unashuhudia kitu...
  15. JamiiForums Tanzania Natamani kusikia CHADEMA imefutwa nchini

    Tunamuomba msajili akifute chama cha Chadema hiki chama ni adui wa amani ya Tanzania yetu .
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwa ujinga unaoendelea, sitashangaa kusikia Heche kakamatwa na kushitakiwa kwa makosa ya ugaidi

    Hapa ndio tulipofika kama Taifa kwahiyo sitashangaa hilo au la kufanana na hilo likitokea. Naamini Heche atakuwa amepenyezewa taarifa na watu waliko serikalini au kwenye vyo vya ulinzi na usalama na hii itakuwa ni ishira ya mgawanyiko baina yao Mjengoni wanafanya maigizo tu na sishangai...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna mikoa inawaza ushirikina tu eti kupotolewa na nyeti huu ujinga hauwezi kusikia mikoa ya pwani au yenye waislamu wengi.

    Kuna mikoa inawaza ushirikina na imani potofu tu kuna mikoa ni ya ajabu sana yaani watu wake ni makatili na wamekosa elimu na mijitu inayowaza imani potofu eti kuibiwa nyeti huu ni ujinga wa kiwango cha lami fuatilia mikoa yote ambaye wameripoti huu ujinga wa kupotelewa na nyeti ni mikoa ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania Muda si mrefu tutaanza kusikia milio kutoka kwa Hezbollah

    Baada ya Hezbollah kuamua kuingia kichwa-kichwa ku zaidi a Bwana wake Iran tutarajie muda si mrefu wataanza kutoa milio isiyoeleweka. Israel imetuma Kikosi cha vifaru kupambana na magaidi hao huko kusini mwa Lebanon kwa hiyo tutarajie kusikia Milio wakati wowote kuanzia sasa!
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la magonjwa ya akili duniani limekuwa kubwa sana. Dalili moja ya ugonjwa wa akili ni kutaka kusikia shari kila muda.

    Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana. Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
  20. JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hujawahi kusikia kuhusu wenza wao wa maisha

    Orodha ya watu maarufu ambao ni kama hawana wenza. Yaani ni kama wanaaishi wenyewe tu hakuna mume/mke. Naanza na Madam Rita. Endelea…
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…