kushiriki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia aipongeza Tanzania kushiriki Maonesho ya 97 ya Kilimo na Boashara Zambia.

    Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema ameipongeza Tanzania kwa kushiriki katika maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara ya Zambia ambayo yametumika kama jukwaa la kuimarisha ushirikiano wa kiafya na usafirishaji baina ya nchi hizo mbili. Pongezi hizo amezitoa leo Agosti 02, 2025 jijini...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge walionyamazia vitendo vya utekaji na kushiriki kuuza bandari zetu wasirudi bungeni

    Salaam! Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea. 1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee? 2. Ikiwa mllishiriki kugawa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura milioni 37 kushiriki uchaguzi mkuu 2025

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, tarehe 26 Julai 2025, alipokuwa akitoa ratiba ya uchaguzi. Uchaguzi huo utahusisha kuchagua Rais...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Asasi 252 zapata kibali kushiriki uangalizi wa uchaguzi mkuu 2025

    Tume huru ya uchaguzi imeridhia asasi 252 kushiriki katika uangalizi wa uchaguzi mkuu mwaka 2025 kwa mujibu wa sheria ya Tume huru ya uchaguzi
  5. E

    JamiiForums Tanzania Crystal palace aikosa nafasi ya kushiriki Europa ,Huku Bongo kuna mtu ana mkono katika timu 8

  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini hutaki kushiriki uchaguzi october 2025? Tuelekezane kwa Upole

    Vijana wenzangu hebu tuelekezane kwanini hutaki kushiriki uchaguzi 2025 kumchagua kiongozi unayeona anafaa kuongoza gurudumu? Unamisimamo gani hiyo nasi tujue wenda inamashiko.... NASOMA COMMENT
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Addo November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi. Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Addo November kutoka Chama cha Wanasheria wa...
  8. JamiiForums Tanzania Heche azuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam. Taarifa kutoka kwa wanandaaji wa kipindi hicho zinasema wamepokea barua kutoka mahakamani ikiwaeleza kuwa CHADEMA imezuiwa kufanya kazi, hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo madogo sana kwa wengine, ila kwangu ni magumu sana kiasi cha kushindwa kuyafanya au kushiriki kabisa

    1- Kwenda sokoni kununua bidhaa za nyumbani. Kwangu hili jambo nigum sana kwasababu nashindwa kufanya mamuzi sahihi. hii nibaada ya kundi kubwa la wafanya biashara mmoja baada ya mwingine kua kwenye tabiri yenye matarajio kwamba pesa yangu mimi mteja niyeye mwenye kustahiri kuipata kuliko...
  10. JamiiForums Tanzania Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu

    Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
  11. JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani ili nami niweze kushiriki vikao vya G7 huko duniani?

    Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki? Wananzengo, mnanisaidiaje nami niweze kutimiza hii ndoto?
  12. JamiiForums Tanzania Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi

    Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi Ajira kwa Vijana Ajira ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya Mtu Binafsi, Jamii na Taifa kwa ujumla. Ajira humfanya mtu awe na ari ya kutosha, kuwajibika na kushiriki kikamilifu katika nyanja zote za Kijamii na Kiuchumi...
  13. JamiiForums Tanzania Chadema inapoomba kushiriki uchaguzi, huku ikiendeleza kampeni yake ya N. R. N. E, Tuielewaje?

    Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa? Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa, Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania UDSM yawaita Wadau wa Elimu kushiriki maadhimisho Wiki ya Utafiti na Ubunifu

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya UDSM yatakayofanyika kuanzia Juni 9- 11, 2025 katika Viwanja ya...
  15. JamiiForums Tanzania Simba kufungiwa kushiriki mashindano ya CAF miaka miwili

    Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya. CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa Adhabu nyingine, Simba atatakiwa kulipa faini ya dollar million 1 Mashabiki wa Simba walifanya vitendo visivyo vya kiungwana...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania kushiriki Jukwaa la Uongezaji thamani madini Uingereza

    Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la Uwekezaji kwa Sekta ya Madini lililobeba agenda ya Uongezaji Thamani Madini (Minerals...
  17. JamiiForums Tanzania CDM ina mpango wa kushiriki uchaguzi Kenya?

    Naona ina wafuasi wengi kutoka kenya kuliko Tanzania
  18. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane

    Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1 Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA Yaomba Tume ya Uchaguzi Kuwaruhusu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, endapo Tume ya Uchaguzi itawapa nafasi hiyo.
  20. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CUF yasisitiza kushiriki uchaguzi, yawaalika G-55 kuchukua fomu

    Chama Cha Wananchi (CUF) kimesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku kikiwaalika makada wa Chadema waliounda kundi la G-55, kujiunga nao ili wagombee kupitia chama hicho. G55 linahusisha makada wa Chadema waliotoa waraka wakiushauri uongozi wa Chadema kushiriki uchaguzi licha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…