kushambulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Urusi yalaani shambulizi la Israel ubalozi wa Iran nchini Syria na kumuua jenerali wa Iran

    Kupiga ubalozi wa Iran ni mithili ya kushambulia ndani ya taifa la Iran, Israel wameendelea kuua wakuu wa jeshi la Iran, jana wamepiga ubalozi wa Iran na kuua wakuu wa jeshi humo, nilitegemea Iran ifanye kitu cha maana ila ndio hivyo! ================================ Russia condemned an...
  2. Ile meli imeshazama yote Houth wasema wataacha kushambulia Israel ikisitisha vita Gaza

    Mv Rubymar iliyopigwa na Houth mnamo Februari 18 mwaka huu tayari imezama kabisa DUBAI, United Arab Emirates — A ship attacked by Yemen’s Houthi rebels has sunk in the Red Sea after days of taking on water, officials said Saturday, the first vessel to be fully destroyed as part of their...
  3. Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

    Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi. Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi. === Zanzibar Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini...
  4. Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

    Niaje waungwana Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na...
  5. Imebainika kuna wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa walihusika kushambulia Israel

    UN iwe makini sana inapoajiri watu wa dini ile maana huwa hawaachi asili ya ugaidi, sasa imebainika humo kunao walikua mstari wa mbele kushambulia, na hii imechangia mataifa ya Magharibi kusitisha misaada...... Canada announces it is immediately suspending funding for the UN agency for...
  6. Israel itawamaliza Mateka wake kwa kushambulia Gaza wamewaua mateka wengine wawili kwa mabomu

    Wanakumbi. Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza. Wanajeshi wa Israel kutoka kitengo cha 36 baada ya kuondolewa Ukanda wa Gaza wameshangilia sana wengine...
  7. Israel waanza kushambulia Hezbollah, tofauti na awali pale walikua wanajibu mashambulizi

    Siku zote tumezoea kuona Israel wanajibu rockets za Hezbollah, na wamekua wakionya hao Hezbollah wapunguze kiherehere, lakini mtoto akililia wembe mpe tu. Sasa wameanza kupiga. Ikumbukwe kwa Hezbollah itakua rahisi sana maana wale hawajajificha ndani ya watoto na kina mama, huwa wamejikusanya...
  8. Oman yajiweka kimbelembele kutaka Houth waache kushambulia meli zipitazo bahari nyekundu

    Msemaji wa wanamgambo wa Houth amesema wapo Oman kwa mwaliko wa kuzungumza na upande mwengine wa kimataifa kwa ajili ya kuacha mashambulizi ya meli zinazopita mlango wa bahari wa Bab Mandeb. Mohamed Abdel-Salam hakutaja huo upande wa pili katika mazungumzo hayo lakini akasisitiza kuwa msimamo wa...
  9. K

    Tazama jinsi HAMAS inavyotumia mahandaki kushambulia wanajeshi wa Israel huko Gaza

    Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na drones. Israel imekua ikipata tabu na kutumia gharama kubwa kupambana na HAMAS kiasi cha kwamba...
  10. Video: Netanyahu akataa wito wa kusitisha vita, Israel itaendelea kushambulia bila kujali vilio vya wanaolilia vita iishe

    Imetafsiriwa kwa Kiswahili Round hii kisu kimegonga mfupa.
  11. Tundu Lissu: CHADEMA kuna tabia za ovyo zimeanza kujengeka kwa baadhi ya watu; ukikosolewa unasema umetukanwa unatuma chawa kushambulia. Kwanini?

    Baada ya kuibuka Mnyukano ndani ya Chama na sintofahamu mbalimbali baina ya Viongozi wa chama na Baadhi ya Wanachama. Jambo hilo limemuibua Makamu Mwenyekiti Bara akielezea sintofahamu hizo. Hali hii imetokana na wiki kuibuka mnyukano kati ya Mariastella na martin na Ntobi kurushina maneno...
  12. Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kwa mara nyingine kuingia Crimea na kushambulia

    Kama kawa.. vilianzia Crimea, vitaishia Crimea ======== Ukraine’s Defence Intelligence has stated that units of the Special Operations Forces landed on the territory of the occupied Crimean peninsula and attacked the Russians, and after completing the mission, they retreated. Ukraine’s...
  13. M

    Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

    JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
  14. Ukraine yashambulia meli kubwa ya Urusi

    [emoji298]️The Security Service of [emoji1255]Ukraine conducted a special operation in [emoji635]Novorossiysk Bay: the large landing ship Olenegorsky Gornyk was damaged. The video shows how a surface drone, saturated with 450 kg of TNT, attacks a Russian ship with about 100 crew members. The...
  15. Ukraine waendelea kushambulia Urusi ndani kwa drones

    Warusi wanaendelea kukosa amani ndani kwao... Three people were lightly wounded after a drone crashed into a residential building in southwestern Russia near Ukraine, a regional governor said, exposing the latest vulnerabilities in the country's air defense systems as President Vladimir Putin's...
  16. Maelfu ya Warusi wamekua wakimbizi baada ya Ukraine kushambulia Urusi ndani

    Dah! Supapawa alifika huku lini, raia wake wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi.....tena kwenye ardhi ya Urusi. In the latest example of the war increasingly spilling into Russia, the Bryansk region came under fire overnight, according to a Russian official. Shells hit two villages close to the...
  17. Vyama vya siasa ya Upinzani kushambulia vyama vya wafanyakazi ni mkakati au Heche na Nondo wanatumika?

    Msingi wa vyama vyote siasa Duniani umezaliwa ubavuni mwa vyama vya wafanyakazi. Kwa sababu kundi la vyama vya wafanyakazi wote wanakua wamesoma na werevu, ndio kundi la kwanza kuona ukandamizaji katika jamii, na kuanza kutoa elimu kwa jamii. Vyama vya wafanyakazi mara nyingi kazi ngumu ya...
  18. Urusi walalamika kwamba USA inachochea Ukraine kushambulia Crimea

    Hivi vita vinachekesha, yaani unavamia nchi ya watu halafu unalalamika kwamba usipigwe kwenye baadhi ya maeneo ya hiyo hiyo nchi ya watu.... ================= MOSCOW, Feb 17 (Reuters) - Russia on Friday accused the United States of inciting Ukraine to escalate the war by condoning attacks on...
  19. Warusi wajivunia kuangusha drone iliyokua imeanza kushambulia kambini Urusi, wamekufa watatu

    Kambi ya kijeshi iliyo ndani ya Urusi, kama kilomita 600km kutoka Ukraine leo imetaharuki kwa kushambuliwa na drone ya Ukraine, japo wameiangusha kwa kuishambulia ila wamekufa watatu, huu ni ujasiri kwa Ukraine maana ni kambi ya kijeshi iliyo ndani ndani ya Urusi, ni kama mashambulizi ya kataifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…