kushabikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Greatest Of All Time

    FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  2. Expensive life

    Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

    Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili. Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.
  3. THE FIRST BORN

    Kushabikia Mpira wa Tanzania Inatakiwa Uwe Mjinga kidogo

    Habari wanajukwaa. Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu. Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa Bongo hakika yana sikitisha mpaka nikafikia hatua ya kusema hii kauli kua KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO...
  4. Lycaon pictus

    Zama hizi hutakiwi kuwa 'mshabiki' wa chama cha siasa kushabikia wanasiasa

    Kama huna maslahi ya moja kwa moja, kama kupata uongozi au posho za uchawa acha mara moja ushabiki wa siasa na kushabikia wanasiasa zama hizi. Ushabiki wa siasa itakufanya usione mabaya ya chama chako wala mazuri ya chama kingine. Masuala ya siasa ni muhimu kuliko mpira, usiyaletee ushabiki...
  5. Jemima Mrembo

    Tujulishane timu tunazoenda kushabikia Kombe la Dunia 2022 Qatar

    Mimi ni 🇳🇱 Netherlands a.k.a Dutch Land, a.k.a The Oranges.
  6. B

    Kushabikia Polisi kuua watuhumiwa, ni ujinga uliopitiliza

    Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road. Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
  7. mashaka saidi beneu mboyo

    Ukishabikia Simba umebarikiwa

    Kushabikia #utopolo ni dhambi na wanaoshabikia lunyasi wazee wa Tanzania na Africa na wana julikana kote duniani kwamba muwakilishi wa Tanzania inajulikana simba pekee na hakuna kidume zaidi yao ukishabikia simba umebarikiwa hauna dhambi na tuna mzungu saivi hatari #mashakasaidibeneumboyo
  8. JanguKamaJangu

    Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

    Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022: Ndunguru ashinda Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6. Mtu kachapika TKO...
  9. M

    Katika wakati huu wa hali ya uchumi duniani kuwa mbaya ni kuwa muangalifu sana

    Mzuka wanajamvi, Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako. Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au...
  10. Chaliifrancisco

    Leo natangaza rasmi kuacha kushabikia soka la Tanzania

    Leo hii tarehe 26/10/2021 mimi Chaliifrancisco nikiwa na akili timamu kabisa natangaza kusimama kufuatilia na kushabikia mpira wa hapa kwetu Tanzania. Kama nitakuja kushabikia tena sijui lakini itategemea na tathmini nitakazofanya mwenyewe nikiridhishwa nitaamua. Sababu zilizofanya nifikie...
  11. The Dictator

    Muziki wa Tanzania: Wimbo gani ulikufanya kuwa shabiki au kumfuatilia msanii na kazi zake?

    Kwa ufupi huko zamani enzi za uzee wangu sikuwa kabisa mpenzi wala mtu wa mziki kabisa. Lakini mwaka 2009 au 2011 hivi ndipo nilipoanza kufuatilia na kuupenda mziki lakini, hayo yote yalikuja baada ya kusikia mziki mmoja mkubwa sana kwenye moja ya daladala iliyokuwa ikipita pembeni yangu na...
  12. T

    Wanasiasa waliowahi kubadilika kabisa kimisimamo na kunifanya niache kabisa kushabikia wanasiasa.

    Katika miaka michache niliyojaliwa na Mungu kuishi hapa duniani, nimeshuhudia mambo mengi kuwahusu ndugu zangu walioko kwenye uga wa siasa. Kimsingi nimejifunza kwamba wanasiasa kwa sehem kubwa ni watu wanaofanana. Wanachotofautiana ni nyakati walizoishi, na majina ya vyama wanavyovipigania...
  13. Kasomi

    Waafrika hatupaswi kushabikia soka la Ulaya

    Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa" Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati wanapuuza ligi zao za michezo. Kwa sababu tumeambiwa kwamba kutazama mpira wa miguu ni jambo la...
Back
Top Bottom