kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bibi wa miaka 70 ashtakiwa Urusi baada ya kusema Zelensky ni mtanashati

    Wazungu wa Urusi, ujamaa umewalemaza na kuwafanya kama mazombi, yaani sheria zimebuniwa ukiskika unasema chochote kizuri kuhusu Ukraine unaliwa moja kwa moja, bibi ameshtakiwa kwa kusema Zelensky ni handsome, hilo alilisema huko mtaani kwa mhudumu wa mghahawa.... Kwa sasa watu wanaishi kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Arusha ndio mkoa unaoongoza kuwa na vijana wavivu sana

    Huu mkoa vijana wavivu wanaongezeka kwa kasi sana, wanakuja wageni wanafanya kazi wanaondoka na mpunga. Mkoa huu kijana wa kiume anawaza kupata mwanamke ama bibi wa kizungu kutwa kufuga rasta akiamini utamtoa. Ukitaka kuamini hilo nenda sehemu za starehe kisha akatishe mzungu, ukienda sehemu...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

    Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani? Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema serikali ya CCM ni wezi?

    Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega? Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
  5. JamiiForums Tanzania Zelensky akutana na waislamu na kusema lazima Crimea irudi Ukraine

    Kwenye misosi ya futar, amesema kwa vyovyote vile lazima Crimea irudi...... Natumai maustadhi wa humu mtapunguza chuki dhidi ya Ukraine kisa chuki zenu kwa Marekani. The Ukrainian president hosted an Iftar with Muslim officials, including the Crimea's Tatars. Meanwhile, Kyiv said it will resume...
  6. JamiiForums Tanzania Warusi wabadilisha kauli na kusema kamji ka Bakhmut katachukua wiki zingine kadhaa kukateka

    Juzi walisema wameichukua Bakhmut, leo wameibuka na mengine na kusema bado ni mziki mkali na itachukua wiki kadhaa, wamekiri imewagharimu sana, makaburi kama yote.... ===================== Kiev, April 7, (dpa/GNA) - Ukrainian forces are continuing to resist Moscow’s attempts to seize the...
  7. JamiiForums Tanzania Nadiriki kusema nchi za Afrika hususani viongozi wake hawajielewi

    Nchi nyingi duniani zimepitia katika kandamizi za kimabavu za nchi nyenginezo (expansionism)) hii inatokana na kwamba mkataba wa mwanzo wa maisha ulikuwa unategemea sana vita (SURVIVE for war) nguvu zako katika vita zitakuhakikishia kutawaliwa au kutawala (State of Nature). Nchi kama marekani...
  8. JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

    Najua jf hawapendi muda mwingine tuseme ukweli hasa unaohusu dini ila hili ni kweli Wakristo walivyoanza kufunga hizi club pendwa hazikutoa post yoyote ya kuwatakia kwaresma njema Ila waislamu baad ya kuanza kufunga wote wamewatakia mfungo mwema Huu ni ubaguzi Hata kama hizi club asili yake...
  9. JamiiForums Tanzania ICC yaingiwa na wasiwasi baada ya Urusi kusema itaipiga na makombora ya Hypersonic

    ICC ina wasiwasi na 'vitisho' vya Urusi juu ya kibali cha Putin Wasi wasi huo unakuja baada ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev kutishia kuipiga mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makombora ya hypersonic. ========= The International Criminal Court (ICC) has expressed concern over...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Simba 6 - 0 Yanga. Bado una nguvu za kusema Horoya wabovu?

  11. M

    JamiiForums Tanzania Kusema tu kuna watu waliiba pesa za plea bargaining na kuzificha China haitoshi. Serikali ina mkono mrefu. Iwakamate wahusika na kuzirejesha nchini

    Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye alishafariki. Tukaanza kusoma kwenye magazeti kuwa alificha pesa nyiki huko Uingereza. Na baadae tuliskia...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe amedhihirisha kuwa ukipewa nafasi ya kusema na ukasema sana utakosea

    Katika mchakato wa maridhiano baina ya CCM na CHADEMA Mbowe ameonekana kujipa nafasi ya usemaji, ameitumia, ameitumia sana, ameitumia sana kiasi cha kuanza kukokesea. Mfano mzuri ni pale alipofikia kuumuelekeza RJMT aondoe kesi ya Mdee na wenzake vs CHADEMA mahakamani. RJMT anawezaje kuondoa...
  13. JamiiForums Tanzania Dini/dhehebu isiwe mwamvuli wa kuficha maovu au kusema tunadharirisha dini

    📌Habari wana Jukwaa.... Watu wengi wamekuwa na uelewa mdogo sana na kuanza kutambiana kuhusu dini na mambo ya kiovu yanayoendelea. ▪︎ Iko hivi kwenye uisalamu kuna waisalamu ni washenzi na mafilauni ila kwakuwa uisalam na muislamu ni vitu viwili tofauti. Kwanini na sema ni tofauti ukiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani. Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu. Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi. Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
  15. JamiiForums Tanzania Rais kusema hatoacha kufanya Mabadiliko katika Serikali yake ni Udhaifu usiovumilika na wenye Akili

    Na kwa wenye Akili tukiona Mabadiliko ya mara kwa mara tunathibitisha kuwa huenda kuna Watu wako mahala kwa bahati mbaya / Fluku. Ngoja tuendelee Kunywa Mtori taratibu na huenda Nyama tunazozitaka tutazikuta chini.
  16. JamiiForums Tanzania Ni dhana potofu kusema Mwanaume hasifiwi Uzuri

    NI DHANA POTOFU KUSEMA MWANAUME HASIFIWI UZURI. NI AKILI NA KAMPENI ZA KISHETANI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Soma Kwa Utulivu. Hizi ni falsafa za Watibeli, Kutoka Nyota yenye mbawa Mbili. Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima wapate ufahamu. Zipo kasumba nyingi Mbaya katika jamii zetu...
  17. JamiiForums Tanzania Kusema kuna watu wanamshauri vibaya Rais au wanampotosha Rais ni kumtukana Rais

    Hii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri. Kwamba wewe umeweza kuona ushauri mbaya aliopokea lakini Rais ana uwezo mdogo wa kutambua mambo hivyo amashindwa kujua zuri na baya!? Wengi wanafikiri...
  18. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema nchi inaendeshwa kwa “viclip”/matamko?

    Ni Jambo la kusikitisha na la hatari sana kwenye utawala wa sheria katika zama hizi za upotoshaji wa kimtandao “misinformation era” Teuzi na tenguzi au maTangazo ma kubwa yanayohusu mustakabali wa nchi tunajulishwa kwa barua za msemaji, binafsi nilitegemea liwe Tangazo la serikali “government...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…