kusamehewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PostGE2025 Msanii anayetaka kusamehewa basi aje tushiriki maandamano hiyo ndiyo toba ya kweli

    Hakuna blabla wakitaka hawa nyau tuwasamehe kutoka moyoni waje tushiriki nao kwenye maandamano tena wabebeshwe na mabango bila hivyo waende wakale walikopeleke mboga
  2. M

    Huyu mtu hapaswi kusamehewa kabisa

    Kila nikizingalia hizi picha za mauaji na majeruhi roho inakufa ganzi. Huyu mtu ni katiri sana, hafai kabisa. Picha zinaumiza mno. Halafu anakuambia hajali chochote, nguvu iliyotumika ni sahihi, seriously? Huyu ni mtu au shetani? Watanzania tusimsamehe huyu mtu pamoja na wote wanaomtetea...
  3. Mshana Jr

    Wamiliki silaha kinyume na sheria kusamehewa

    Jeshi la Polisi kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015, Sura ya 223 na marejeo ya mwaka 2023 ametoa msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Ni nani anayeweza kusamehewa makosa yake ya zamani kwa kuanza kufuata sheria leo??

    Matendo ya zamani yanabaki ni makosa mbele za Mkono wa sheria hata kama ukiamua kuanza kufuata sheria leo. Kwa kusema hivyo kumbe mtu yeyote akiamua kuanza kuishi kwa kufuata sheria leo, makosa aliyoyafanya jana bado yanamhukumu. Ndio maana watu huomba msamaha kwanza ili wapate kusamehewa...
  5. Thabit Madai

    Mwanamke wako anavumiliwa na kusamehewa kwa haya...

    Mdau wa JamiiForums wacha nikusogezee makosa ambayo Mwanamke wako anavumiliwa na Makosa ya kusamehewa 1. Kupika vibaya 2. Kuzidisha chumvi. 3. Kulimbikiza uchafu. Lakini sio. 1. Ku cheat na 2. Kukudharau. Kusamehe makosa mawili ya mwisho ni upumbavu. 1. Ku cheat na 2. Kukudharau.
  6. Common Folk

    Waziri Rajabu (Katibu wa Rais): Adui Hapigwi Miguuni Anapigwa Kichwani; Adui Anayetokana na Wema Wako Hatakiwi Kusamehewa.

    Hii ni moja ya quotes alizowahi kupost Waziri Rajabu ambaye ni Katibu binafsi wa Rais wa JMT. "Tumeishi maisha ambayo mioyo yetu inapenda sana kusaidia watu ila kwa matukio tuliyo kumbana nayo tukiwa tunasaidia watu yametufunza tusiwe wepesi kusaidia watu na badala yake saidia sana familia yako...
  7. GENTAMYCINE

    Kwanini haya Matatizo ya Kinidhamu ya Kipa Metacha Mnata yanafanywa Siri? Kaharibu tena baada ya Kusamehewa

    Mwambieni GENTAMYCINE namshauri ili atulie Yanga SC na asiendelee kuwa na Matatizo ya Kinidhamu ndani ya Timu na kwa Viongozi aachane na huyo Mganga wa Kienyeji anayemsaidia ili Kumshusha Kipa Djigui Diarra na aaminiwe Yeye kwani Ndumba zake zote zinadunda kwa Raia wa Mali Kipa Diarra ambaye...
  8. BARD AI

    Aliyetuhumiwa kuua kwa kukusudia, aiomba Mahakama imwachie huru

    Mkazi wa Mkwajuni, Ismail Ndage (27) ambaye anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imsamehe na imwachiee huru, baada ya kukiri shtaka la kuua. Ndage anadaiwa kumuua Beatrice Onesmo kwa kumchoma kisu tumboni baada ya rafiki yake kupiga...
  9. BARD AI

    Wachumi watoa tahadhari nchi kusamehewa madeni

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Verdiana Tilumanywa amesema pamoja na umuhimu wa misaada, si jambo la kufurahia kuipokea, kwani aghalabu mtoaji hutarajia mrejesho chanya. “Anayekusaidia mara nyingi anatarajia kuzalisha kikubwa zaidi ya alichokupa, hatupaswi kufurahia...
Back
Top Bottom