Unazaliwa, unaambiwa ujivunie ukoo wako. Unafundishwa historia ya babu zako, ukoo uliotoka, na majina makubwa ya familia. Lakini kadri unavyokua, unaanza kuuliza swali gumu: Mbali na jina, kuna nini kingine?
Kwa familia nyingi, hakuna ardhi. Hakuna nyumba. Hakuna biashara. Hakuna akiba. Hakuna...