kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kelele nyingi za haki sawa kwenye kugawana majukumu ya Mwanamke, kwanini majukumu ya Mwanaume yapo vile vile hayapewi usawa ?

    Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili gharika. Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao Kufua nguo - Kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Tengua, Hamisha, teua usiku wa leo, lengo kuzima mjadala ya CHADEMA

    Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.

    Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.
  5. JamiiForums Tanzania Wanasheria wa serikali ya Tanzania wapambana na kupunguza tozo toka USD 109M hadi 90M

    In a dramatic turn of events, Tanzania has struck a $90 million settlement with Australian-based Indiana Resources Limited over the contentious expropriation of the Ntaka Hill Nickel Project in Lindi. This high-stakes resolution comes after a prolonged legal battle stemming from Tanzania's...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Njia mbadala za kupunguza uzito

    Salaam. Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama kuna supplements salama za ku boost kupunguza uzito aweke bayana. Asante
  7. JamiiForums Tanzania Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

    "Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Suala la GSM kudhamini baadhi ya timu za Ligi Kuu liangaliwe upya, linajenga mazingira hasi na kupunguza ushindani katika ligi

    Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo. Kwa mazingira ya kibongo hili jambo lina ukakasi sana. Kwa nchi zilizoendelea ambazo zinajali...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzie hapa, kupunguza matumizi yasiyo ya msingi ili kubana matumizi. Ili kutompa mtanzania mzigo mkubwa

    Serikali tunawashauri mapema. Msije kusema hamkushauriwa kwenye upande wa matumizi ya fedha za wananchi bila mpango mzuri. Kwanza futa post za wakuu wa wilaya na majukumu ya uenyekiti wa ulinzi na usalama atachukua DSO, Futa post za wakuu wa mikoa na majukumu ya uenyekiti wa ulinzi na usalama...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Africa msikimbilie kukopa na kuongeza kodi, mnatakiwa kupunguza matumizi yasiyo na tija kwa taifa

    Viongozi wa Africa sijui development ya brain zao zilikuwa ni tofauti za binadamu wa kawaida au. Sio Kenya wala Tanzania , angalau Kagame anawazidi by far. Kwa mfano Tanzania tuna deni kubwa la taifa, lakini expenditure za viongozi zimeongezeka ambazo hizo expenditure sio za muhimu. Kwa mfano...
  11. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Ambulance zinazotumia nishati ya umeme katika kupunguza gharama na kuboresha huduma

    UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto kubwa sana katika sekta yaAfya hususani kitengo chakusafirishia wagonjwa kwa kutumia Ambulance, hii ni kutokana na gharama ya usafirishaji kuwa juu zaidi na kupelekea matokeo mabaya hata vifo wakati mwingine. Hivyo basi kutokana na ukuaji wa teknolojia dunia...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Tutengeneze mazingira rafiki kwa wawekezaji kupunguza ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa changamoto sugu ulimwenguni kama taifa yatupaswa kuwa na mikakati mipya na endelevu kupunguza ukosefu wa ajira nchini. Bendera ya Tanzania. Kila mwaka mamia ya wahitimu wanatunukiwa vyeti vya kuhitimu katika kozi mbalimbali kutoka vyuo vya ndani na nje ya nchi...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miradi magerezani kulipa wafungwa kupunguza uhalifu nchini

    Asilimia kubwa ya wafungwa wanaomaliza vifungo vyao hasa wafungwa wa vifungo vya zaidi ya miaka miwili wamekuwa wakipata changamoto kuyaanza tena maisha ya uraiani kutokana na kukosa ajira na pesa kama mitaji yakuanzisha biashara na kuendesha shughuli zao na kupelekea wengi wao kujiingiza...
  15. S

    JamiiForums Tanzania kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. sasa we fanya ivi uyo...
  16. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Marekani yataka kupunguza utegemezi wa vifaa vyake vya kijeshi kutoka China

    China kwa sasa ni mzalishaji mkubwa wa vifaa vingi muhimu na vya hali ya juu vinavyoweza kutumika kutengeneza silaha za hali ya juu zaidi. China ina uwezo mkubwa katika critical technologies na Military supply-chain management. Critical technology: technology ambayo inawawezesha kutengeneza...
  17. JamiiForums Tanzania Ni njia zipi unaweza tumia kuepuka, kupunguza na kuondoa kabisa msongo wa mawazo 'stress'

    Ni aina ipi ya stress unapitia kiasi kwamba imekua ni changamoto inayo tatiza baadhi ya mafanikio katika kazi, biashara, masomo, familia na majukumu yako mbalimbali mengine. Ladies and gentlemen, kama hutojali, unaweza kushirikisha familia hii pana ya JF mbinu mbadala na namna ambavyo...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Omary Ubuguyu: Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili

    Dkt. Omary Ubuguyu (Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukiza, Afya ya Akili na Ajali - Wizara ya Afya): Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili Mazoezi pia huupa Mwili uwezo wa kutumia Sukari iliyo ndani ya Mwili na kujenga Misuli
  19. JamiiForums Tanzania RAISI mpya wa Senegal afuta Kodi za bidhaa muhimu ili kupunguza gharama za maisha

    Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika. Wakati hayo...
  20. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kupunguza ajali kwenye barabara zetu

    Namna inayoweza kupunguza ajari kwenye barabara zetu. Barabara zetu nyingi zenye viwango vya lami, Zimewekwa alama za barabarani zinazosaidia kuongoza watumiaji wake wa vyombo vya moto, lakini watumiaji wengi hasa wa madereva wa magari hawazingatii alama hizo. Kwa mfano ajali nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…