kupotosha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Hivi ni kweli Jaji anashindwa kutofautisha seating na sessi au alitaka kupotosha mshitakiwa na mahakama , Kwa wenye uelewa mtusaidie tofauti

    Kama alitaka kupotosha mahakama Nia yake nini Kwa mshitakiwa Inakuwaje NENO dogo kama Hilo Jaji anakosa uaminifu je vipi kuhusu hukumu ya kesi yenyewe Inakuwaje mifumo mikubwa inayoiminika kuwa katika hali hii kwenye kesi kubwa namna hii Jaji ameleta kifungu namna Lissu alivyolitafsiri...
  2. funaku

    Watanzania wazalendo wameanza kujibu taarifa za kupotosha za DW

    Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW. Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu. DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa...
  3. Kipenzi Changu

    Acha kupotosha, hizi ni protocal za kufunga milango ikulu

    Ambao hawajawahi kufika ikulu ndio wageni wa hizi protocal. Miongozo ndio inataka hivyo
  4. E

    Polepole kapotosha umma kuhusu uendelezaji miradi

    POLEPOLE ameeleza kuwa miradi ya maendeleo ya ujenzi nchini haitekelezwi ipasavyo, ukweli wa mambo unaonesha kinyume chake. Kwa mtazamo wa kitaifa, utekelezaji wa miradi mbalimbali unaendelea kwa kasi na umakini mkubwa. Serikali inaendelea kuboresha miundombinu, sekta ya afya, elimu, nishati...
  5. Kimbesa11

    Polepole anacopy na kupaste mbinu za Mange Kimambi, muda si mrefu ataanzisha App ya kulipia

    Kwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana. Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika...
  6. maroon7

    Watangazaji wa mpira Azam TV waache kupotosha matumizi ya baadhi ya maneno ya kiswahili

    Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake. Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
  7. Waufukweni

    GE2025 Wakili wa CHADEMA: Barua ya Naibu Msajili kuhusu zuio la Kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA imejaa upotofu na kupotosha amri ya Mahakama

    Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya zuio la kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA, ikiwemo kuongeza majina mapya katika orodha ya waliopigwa marufuku kushiriki shughuli za chama, Wakili wa CHADEMA ameibuka na kudai kuwa...
  8. Tajiri wa kinyankole

    Zitto acha kupotosha umma kura hailindwi kwa maneno yako bali kura inalindwa na sheria zinazopiganiwa hivi sasa

    Kiongozi mstaafu wa ACT wazalendo abazunguka mikoa yote tanzania na kuhadaa umma kuwa october wapige kura na kwamba kura hizo zutalindwa baadhi ya wadau wamemuuliza ni mbinu gani atatumia kulinda kura swali hilo analikwepa! Sasa Zitto kabwe maoni yangu ni kwamba kura hailindwi kwa mbinu...
  9. A

    PreGE2025 Tumuombe radhi Askofu Maimbo wa Anglikana kwa kupotosha kauli yake kuhusu kufanyika kwa Uchaguzi

    Ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba Radhi Askofu wa Anglikana Maimbo na pia kumtaka Naibu Waziri Mkuu kumuomba radhi Askofu Maimbo kwa kutomjibu kikamilifu, hivyo kupotosha msimamo wa Kanisa la Anglikana juu ya uchaguzi wa octoba 2025. Na pia ningependa kumpongeza Spika Kwa kumjibu...
  10. Carlos The Jackal

    TEC iwachukulie hatua WASAFI MEDIA MARA MOJA Kwa kupotosha kimakusudi Maneno alosema Kardinali Rugambwa huku wakitumia Picha ya RAIS WA TEC!!

    Ndugu zangu katika Kristo YESU. Zama zimebadilika, Kwa Sasa ni zama za Kuwawajibisha wote wanaojaribu kupandikizia watu Maneno. Ninawaomba TEC kama mtasoma Uzi Huu, kabla ya WASAFI HAWAJAFUTA HABARI HII. Muwachukulie Hatua Mara Moja, WASAFI KWA MAKUSUDI NA KWA KUJUA , Wametumia Maneno ya...
  11. JamiiCheck

    Je, wajua Akili Mnemba inaweza kutengeneza mazungumzo ya Ujumbe mfupi na kupotosha Uhalisia?

    Umewahi kukutana na mazungumzo mtandaoni yaliyo katika ujumbe mfupi yakihusisha watu maarufu au viongozi wa kisiasa mathalani kutoka makundi sogozi ya Whatsapp? Je, umewahi kujiuliza kuhusu Uhalisia wake? Usiwe mwepesi wa kuamini maudhui kama hayo kwani teknolojia ya Akili Mnemba inaweza...
  12. K

    Kafulila acha kupotosha JF na data za uongo

    Kama unataka kuogombea kagombee sio kuweka uchawa wa kupika data za uongo mfano kusema uchumi umekuwa kwa 20% ni uongo. Wewe sio gavana wa bank kuu waache watupe data za ukweli badala ya kupotosha watu na kuweka uchawa mbele.
  13. Setfree

    Shetani nakukemea: Acha kupotosha watu kwa habari za uongo

    Wewe shetani. Kwanini unawaonea watu? Watu wanateseka, hawana kazi, hawana pesa, maisha yamekuwa magumu. Wakitazama TV, wanakutana na habari za vita, mauaji, majanga na dhiki kila mahali. Badala ya kuwaachia hata pumzi kidogo, unawaongezea maumivu. Unawatupia mapepo yanayowatesa kwa magonjwa...
  14. JamiiCheck

    Hakikisha Unathibitisha Maudhui ya video kwani inaweza kuhaririwa kwa kubadilisha sauti au kukata vipande, hivyo kupotosha Uhalisia

    Thibitisha kutoka kwenye chanzo halisi cha maudhui ili kupata uhalisia kamili, mfano wapotoshaji wanaweza kuhariri video na kubadilisha uhalisia wake hivyo kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii. Unaweza kutumia Google reverse image search kama nyenzo itakayokusaidia...
  15. Damaso

    Tanzania Safari Channel hacheni kupotosha umma

    Nilikuwa Naangalia Makala Ya Utalii Kwenye Tanzania Safari Chanel, Wakawa Wanasimulia Kwamba Mlima Kilimanjaro Umeanzishwa Mwaka 1973. Nikajiuliza Kwani Kabla Ya Mwaka 1973 Hakukuwa Na Mlima Kilimanjaro Mpaka Uanzishwe Mwaka 1973? Kwa Uelewa Wangu Mlima Huu Ulikuwepo Tangu Kuumbwa Kwa Dunia...
  16. Damaso

    Patel sio Mtanzania, media za Tanzania acheni kupotosha umma

    Mtanzania ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la FBI nchini Marekani. Hii ni hatua ya uundaji wa serikali wa utawala mpya wa Rais Trump. Kash Patel amezaliwa Marekani lakini Baba yake ni Mganda na Mama yake ni Mtanzania walioamua kuhamia Marekani ambako huko ndiko Kash Patel alikozaliwa...
  17. ngara23

    Singida Black Stars wamtolea uvivu coach Aussems na Crown FM Kwa kupotosha habari

    Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata...
  18. Damaso

    Gerson Msigwa acha kupotosha umma

    Wakuu wa Nchi za Afrika) wanakuja kujifunza namna ambavyo nchi yetu imepiga hatua kubwa kwenye uzalishaji wa umeme, sasa hivi tunazalisha umeme ambao ni zaidi ya mahitaji yetu, uwezo wetu wa umeme kwenye gridi ya taifa ni Megawati 3,410 ni kiasi kikubwa cha umeme.." Msemaji Mkuu wa Serikali -...
  19. Bubu Msemaovyo

    Michael Noel wa RFA acha kupotosha, SGR sio Stiglers Gorge

    Wakati akichambua magazeti leo asubuhi katika kipindi cha Watanzania Tusikilize Magazeti cha Radio Free Africa kapotosha kwamba SGR ni STIGLERS GORGE. Hii inamaanisha kwamba Watangazaji wetu huwa hawana elimu pana kuhusu mambo endelevu yaani CONTEMPORARY ISSUES ambayo kama waandishi wa habari...
  20. milele amina

    Ukweli: Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha

    Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha. Tovuti hii imejikita katika kutoa taarifa zisizo sahihi na za kupotosha, ambazo zinaweza kuathiri mtazamo wa jamii na kuleta machafuko. Habari zinazotolewa kwenye blogu hii mara nyingi haziwezi...
Back
Top Bottom