"Faida za kuwa na familia imara yenye amani, mshikamano na upendo kwa watoto ni kubwa sana, kwanza watoto watakuwa salama, sio rahisi watoto kufanyiwa ukatili, watoto watakuwa na maadili mazuri lakini utaona hata idadi ya watoto wa mitaani inapungua"
Mratibu THRDC, Wakili, Onesmo Olengurumwa...