kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  2. JamiiForums Tanzania Nani anajua kuingiza pesa kupitia YouTube Automation anisaidie

    Kuna mtu anaingiza pesa kupitia YouTube Automation anatoa kozi / mafundisho ya kuingiza pesa kupitia YouTube Automation nilimwambia anioneshe chaneli yake aligoma, hivyo nikashindwa kumwamini kama kweli anaingiza pesa, nauliza nani anajua hii kitu anisaidie, nicheki sms / call / WhatsApp +255...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kura zinaibiwa vipi kupitia NIDA?

    Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuna kikubwa cha kujifunza kwenye mtindo wa China wa kufunza historia kupitia mashuleni na kwenye filamu na tamthilia

    Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni 1.5 (kama dola za Kimarekani milioni 210) ndani ya siku 10 tu tangu ianze kuoneshwa Julai 25. Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kukuza Biashara Kupitia Strategy ya Coca-Cola

    Kuna kampuni chache duniani ambazo zimeacha alama ya kudumu kwenye historia ya biashara kama Coca-Cola. Ilichotengeneza siyo tu kinywaji, bali ni urithi wa kibiashara unaoendelea kufundisha wajasiriamali karne moja baadaye. Lakini siri yao haipo kwenye ladha pekee. Siri ipo kwenye strategy. 1...
  6. JamiiForums Tanzania CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM. CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
  7. JamiiForums Tanzania Sir Samwel: Naingiza kuanzia 5 - 50 Milion kupitia Forex

    Akiongea na East Africa huyu kijana anayeitwa Sir Samwel anasema anaingiza hadi Milioni 50 kutokana na Forex
  8. JamiiForums Tanzania Mungu anasema mamlaka zote zinatoka kwake anatuasa tuzitii na kuziheshimu. Kupitia hili TZ tuna watumishi wa Mungu wachache sana, wengi ni matapeli

    Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CHADEMA wanaamini kupitia kauli zao kuwa watu hawatashiriki uchaguzi basi chama hakina viongozi

    Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking, Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  11. JamiiForums Tanzania JInsi ya Kuagiza Bidhaa China Kupitia Alibaba

    Unataka kuanza kuagiza bidhaa kutoka China lakini hujui wapi pa kuanzia? Alibaba.com ni moja ya mitandao mikubwa duniani ya wauzaji wa jumla ambapo unaweza kuagiza bidhaa kwa bei nafuu, kutengeneza brand yako mwenyewe (OEM), au hata kuanzisha biashara ya kuuza kwa mtandao (Dropshipping...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Awamu ya Kikwete ndio mzizi wa kuharibu mifumo thabiti ya Taifa hili kwa Maslahi yao

    Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu. Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yaendeleza Mapinduzi ya Kidigitali kwa Wakulima Kupitia Mpango wa Mikopo ya Simu Janja

    Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
  14. JamiiForums Tanzania Zaidi ya 1,000,000 waajiriwa sekta ya Kilimo, mnaolalamika maisha magumu njoo shambani

    Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji (Hotuba ya bajeti) Hata hivyo programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya...
  15. JamiiForums Tanzania Charles Mhando Njama: Safari ya Mwanamapinduzi Aliyetwaa Tiketi ya Ubunge wa Korogwe Mjini 2025 kupitia CCM

    Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025 Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini. Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
  16. JamiiForums Tanzania Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi

    Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi. ==================== Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager) kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 350,000 Tsh kwa mwezi
  17. JamiiForums Tanzania Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi

    Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi. =============== Nafanya usimamizi wa Mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 150,000 kwa mwezi. Karibu. Mawasiliano: 0756704145, nipo mkoa wa dar es salaam
  18. JamiiForums Tanzania Magereza wanapotaka Umaarufu Kupitia Tundu Lissu

    Wakuu JF amani iwe nanyi. Ni kada ya wavaa Uniform ambao wanaishi kwa dhiki sana. Hawa ma Bwana ukienda kwenye Makambi yao utaona namna wanavyoishi kwa taabu, mabanda ya Mabati yenye Partitions zinatozenganishwa na ma Box. Afisa mwenye Nyota tatu begani anaishi Nyumba ya chumba na Sebule...
  19. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza njia mpya za Daladala ikiwemo ya kupitia Makongo Juu

    Siku chache baada ya Mwananchi kutoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuhusu njia ya Makongo Juu kuwa na uhaba wa Daladala mamlaka hiyo imetoa mwongozo ukiwataka Wadau kujitokeza kuongeza huduma ya usafiri katika njia hiyo. Taarifa ya LATRA imeeleza "Katika hatua ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Mlima Kilimanjaro: Jiungeni Sasa Kudai Haki Zenu Kisheria Kupitia Mountain Workers Advocacy Union (MWAU)

    Kwa muda mrefu, wapagazi, waongozaji na wapishi wa Mlima Kilimanjaro wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira hatarishi, bila mikataba, bila bima ya afya, na wakikosa kinga ya kisheria – hali inayokiuka haki zao za msingi kazini. Kwa mujibu wa Employment and Labour Relations Act, 2004, Kifungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…