kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kupitia taarifa hii iliyotolewa na Jeshi la Polisi, itoshekusema kuwa vijana wa Gen Z wanachokitafuta watakipata

    Swala la vijana wa Gen Z kujihusisha na matumizi ya silaha pamoja na nia ya kuharibu Uchumi wa Taifa kama taarifa hii ilivyotolewa na Jeshi la Polisi inadhihirisha kuwa vijana hawa ni wahalifu na sio waandamanaji wala wazalendo wa Taifa lao Hakuna mzalendo wa Taifa lake anayepigania haki kwa...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  4. JamiiForums Tanzania Kupitia hii post ya Askofu Mwamakula huenda askofu ana kikundi cha utesaji

    Mwenyewe anadai kuna watu walilipa gharama mara baada ya utawala wa Magufuli kwa kosa la kumtolea kauli chafu mtandaoni. Askofu amedai ana watu wake wa kumfanyia hiyo kazi ya kuwaadhibu watu waliomkosea. Je, Askofu Mwamakula sio mhusika wa genge la WASIOJULIKANA? Kwa maelezo yake ni kwamba genge...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali kupitia Waziri Mkuu tumesikia idadi ya mali zilizoharibiwa kwenye maandamano, basi tunaomba na idadi ya vifo

    Vitu vilivyochomwa vilivyoainishwa na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni pamoja na 1. Ofisi za Serikali 756 2. Vituo vya mwendokasi 26 3. Vituo vya Polisi 159 4. Vituo vya mafuta 672 5. Magari Binafsi 1642 6. Pikipiki binafsi 2268 7. Magari ya Serikali 976 Lakini jambo la kushangaza, serikali mpaka...
  6. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumtrace mtu kupitia instagram au x/twitter ikiwa alijiandikisha kwa account fake

    Kama mtu ajiandikisha Instagram kwa account fake au twitter kwa account fake na hajaweka details zake zozote je inawezekana kumpata ikiwa serikali inamtafuta? Inampataje kwa njia gani? Na kama alipost kitu akiwa anatumia VPN je inawezekana pia kumpata?
  7. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, ruhusuni JamiiForums kwasababu kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika kupitia habari

    Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla kupitia habari, jambo lililokuwa likisaidia Serikali kuona changamoto za Wananchi wake na kutatua...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kaka yake Polepole: Tukitoka tunaanzia Masaki kumalizia Mikocheni." Jicho la kijasusi kupitia kauli hiyo

    Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani Uchambuzi wa kiintelijensia nikaja na nadharia zifuatazo. 1- Watanzania wasiogope ANa watia moyo watanzania na pia...
  10. JamiiForums Tanzania LUG Ina maana gani unapoomba mkopo kupitia HESLB?

    Kwema wakuu changamoto niliyonayo ni kwamba mdogo wangu kaapply mkopo ila ukifungua kwenye akaunti yake inaonekana kama nilivyoambayanisha hapa, Je Kuna yeyote amewahi kukutana na changamoto hii na aliitatua Kwa kutumia mbinu ipi? Natanguliza shukrani zangu za dhati🙏
  11. JamiiForums Tanzania Onyo: Zanzibar inapaswa kuacha ubaguzi dhidi ya ndugu zao watanganyika, itawagharimu pakubwa

    Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu. Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Weapons toka UAE na Mercenaries wanazidi kuletwa Tz kupitia Uganda

    Toka jana kumekuwa na ndege nyingi toka Uganda na UAE zikitua na kutoka Tanzania. Hii ilikuwa jana👆 Sasa leo UAE wanaomiliki strategic areas hapa Tanzania wapo busy kuleta silaha na mercenaries wa Uganda, fuatilieni flight radar mtajionea. Watanzania tupiganie nchi yetu kwa pamoja...
  13. A

    JamiiForums Tanzania CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
  14. JamiiForums Tanzania Wafuatao wasalimiwe haraka sana kupitia mali zao

    Wapinga Haki wote!
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia maigizo ya uchaguzi tumekuwa kichekesho cha dunia

  16. JamiiForums Tanzania Fahamu Kiurahisi Kama Unatengeneza Hasara au Faida kwenye Ufugaji wako wa Kuku kupitia Fuga App 📱

    Heri ya Wiki Mpya yenye Mafanikio Wafugaji wa Kuku🎉 Fuga App inakusaidia kujua Faida na Hasara kwenye Shamba Lako la Kuku kiurahisi bila Kupiga hesabu nyingi za kukuchosha ili ujue wapi pakuboresha shamabani kwako Cha kufanya Rekodi Matumizi yako na Mauzo yako alafu acha Fuga App ipige hesabu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya Leo kupitia ajira portal

    AJira nyingi kwa kada za afya,walimu,nk zimetangazwa Leo. Kwa wenye changamoto katika kuomba wasiliana na 0623446608 usaidiwe personally
  18. JamiiForums Tanzania Leo utaona safari ya roho kupitia mbingu 7 kisha kwenda Barzakh

    katika vitabu vya kidini imeandikwa kila nafsi itaonja mauti wakati huo ukifika macho yatafunga pumzi zitasimama na Ruh itaondoka kwenye mwili lakini nini kitatokea baada ya? Roho inaenda wapi? baada ya kifo roho hupanda hadi mbingu 7 ambako huvumbua siri za ulimwengu katika kila mbingu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya mgombea urais SMZ kupitia CUF aliyeenguliwa Bw. Masoud

    08 October 202 Zanzibar, Tanzania KESI YA CUF DHIDI YA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YAENDELEA KUSOTA MAHAKAMANI Wakili wa Bw. Hamad Masoud anayewania kiti cha urais wa serikali ya Zanzibar azungumza, hata ya mwanzo ya mapingamizi kuwa mahakama haiwezi kusikiliza kesi hiyo yaliyoletwa mahakamani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania ikizuia mobilization ya maandamano kupitia mitandao, Watanzania watutumiana SMS

    Serikali zimekuwa ikifuta post zinazohamasisha na kufundisha watu kujilinda wakati wa Maandamano, Basi watanzania tutatumia njia mpya kuwasiliana na kufanya mobilization. Natoa wito kwa watu humu ndani kuunda mifumo maalum isiyokuwa censored kufundishana na kukusanya watu. Na kutoa taarifa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…