kupima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali yaongeza sehemu za kupima corona Uwanja wa Ndege

    Serikali imeongeza sehemu za kutolea huduma ya upimaji wa virusi vya corona katika viwanja vya ndege kutoka mbili mpaka 10 na kuanzisha huduma ya ulipaji kwa njia ya kielektroniki Maboresho hayo yamefanyika siku chache baada ya abiria wanaowasili nchini kulalamika kuwa wanakaa muda mrefu...
  2. BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

    Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada? Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata. Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress. Hawa watu hawana uzalendo. Hawa ni vilaza au vipi? Lazima tuwe na nidhamu...
  3. Ujauzito huonekana kwenye kipimo (UPT) baada ya siku ngapi?

    Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa. Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…