kupika

Joachim Mdadu Kikhela Kupika (10 March 1932 – 12 March 2019) was a Democratic Republic of the Congo Roman Catholic bishop.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Umejiandaa kupika au kula nini Idi hii?

    Imezoeleka siku za siku kuu watu hula pilau, biriani, chipsi kwa familia nyingi, siku ya sikukuu harufu za vyakula hushabiiana kwa nyumba nyingi kwani wengi hula vyakula vya aina moja. Ni kama tumekosa ubunigu hivi wa kuonesha utofauti kwenye siku muhimu kama siku za sherehe na sikukuu. Hebu...
  2. Mwachiluwi

    Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

    Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
  3. Mwachiluwi

    Njoo ujifunze kupika ndizi utumbo

    Kwanza uta menya ndizi zako kisha andaa hoho, karoti, Kumbuka utumbo mgumu kuiva so uchemshe kwa mda mrefu Baada ya hapo anda sufiria ya kupikia weka mafuta kidogo tu yakipata moto weka ndizi hoho karoti kisha koroga Kisha weka utumbo wako nao changanya vizr Baada ya hapo chukua supu...
  4. Fbn

    Hivi kwanini wanaume wa Pwani na visiwani Pemba na Unguja wanapenda kupika ukilinganisha na wa Bara?

    Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni. Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu. Sasa mwanaume mwenzangu unapika kuliko mwanamke hii sio sawa. Mumejazana forozani huko.
  5. Mwachiluwi

    Jinsi ya kupika vitumbua

    Hello Kwanza andaa mchele wako uchambue usiwe na mawe wala chuya kisha uoshee vizuri kisha loweka mchele mimi nili uloweka kuanzia asubuhi up jion so inategemeana na wewe unataka kuvipika saa ngapi kama ni asubuhi nashauri loweka usiku Baada ya hapo nika brendi kwenye brend nikiwa...
  6. Jbst

    Jinsi kupika njegere za nazi

    Habari zenu wana jamvi, heri ya sikukuu ya ya taifa letu. Naomba kuelekezwa namna ya kupika njegere za nazi na wali wa nazi.
  7. M

    PostGE2025 Vituo vya Mafuta kuchomwa; Tuamini takwimu za Serikali dhalimu (vituo 672), au Wamiliki wa Vituo (41)?

    Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta (Shell) zilizoathirika ni 672. Guys ikumbukwe kabla ya mkutano huo, Novemba 7, umoja wa Wamiliki wa...
  8. N

    Mwanaume Anatakiwa Awe Anajua Kupika au Kupika ni Suala la Wanawake Tu?

    Habari wakuu, Leo nataka tuzungumze kidogo kuhusu hili suala ambalo limekuwa kama mjadala wa kitaifa — je, mwanaume anatakiwa kujua kupika, au kupika ni kazi ya wanawake pekee? Kuna hawa wanaume ambao hawajui kabisa kupika. Sijui kwa kweli wanaishije! Ila kwa uzoefu wangu, wengi wao ni wale...
  9. M

    TBT : Producer Legendary - 👑 Mika Mwamba 🎹, Kumbukumbu ya Beats kali alizowahi kuziandaa

    Ni beats kavu hazina mashairi ( Instrumental ) Kwenye Chati Mkiwa Tamala Baby Gal Mtoto wa Geti Kila mtu na demu wake Chidi na Mzee Yusufu
  10. Isenye

    Mwanamke wangu hajui kupika wali

    Kuna msichana wangu anasoma mwaka wa pili hapo CBE. Nimemualika aje ghetto,pamoja na mambo mengine nikamka jiko anipikie wali na nyama. Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi halafu mwenyewe anajisifia eti chakula kitamu. Nawaza leo atapika nini kama tu wali umemshinda.
  11. IsDinah

    Jinsi ya kupika dagaa watamu

    Sasa tuandae pishi letu ili tuingie jikoni kupika chap kwa muda wa dakika 10 baada ya hapo, tunakula sotojo letu. Anza kwa kukata kata vichwa vya dagaa, wengine huwa mnaunga dagaa bila kukata vichwa ni sawa pia ila mimi napendelea kukata vichwa kwa sababu inasaidia kupunguza mchanga. Baada ya...
  12. AskariKanzu

    Mwanaume kama haujui kupika kwenye ndoa utateseka sana

    Mwanaume kabla ya kufikiria kuhusu ndoa jifunze kutoa kitu kwanza maana huku wenzako tunatubu. Wanawake kwanini tukipishana kauli kidogo tu mnanuna na chakula hampiki mnataka tukale wapi wakati maitaji yote yapo ndani.
  13. Mwachiluwi

    Jinsi ya kupika Nyama ya kuoka na jiko na mkaa

    Hellow mmesema nimetelekeza jukwaa haya twendee sasa na hii Andaa nyama yako na kata vipande vipande size unayotaka kata na kitunguu pia tangawizi na kitunguu swaum mimi sipendi kitunguu swaum kisha weka kwenye foil Baada ya hapo ifunge vzr kabisa zungua foil ya kutosha kisha weka jikoni...
  14. S

    Nifaamisheni kupika mseto

    Nimevuruga vibaya sana (Mchele na choroko) .
  15. M

    Wakiristo hawajui kupika vyakula vitamu?

    Ndio maana wakati wa mwezi wa Ramadhani wakipenda kualikwa ktk ftari za waislam. Ukiwaalika wanafurahi sana na unawaona kwamba wanakula vyakula ambavyo kwao wanavipenda na hawavipati ktk familia zao Na wakati wa sikukuu kama Idd hapo useseme Wanapenda 1. Vileja vya tambi 2. Keki 3. Katie's Nk...
  16. KENZY

    Mnaouza viungo vya mapishi muwe mnatuuliza maswali wateja wenu sio wote tunajua kupika!

    Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!. angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?😠 Na wengine...
  17. P

    Je, Ulikuwa Unatafuta Jiko Kwa Mahitaji Makubwa Ya Kupika

    Nani Mwingine Anahitaji Jiko la Kisasa kwa Mahitaji Makubwa ya Kupika?" Je ulikuwa unatafuta jiko kwa mahitaji makubwa ya kupika? Kampuni ya jiko bomba sasa wamekuja na suluhu la majiko ya kupikia, Katika taasisi mbalimbali zenye kuhudumia watu wengi Hili Ni Jiko Kubwa La Kupikia Chakula...
  18. Joanah

    Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

    Wakuu, Nilishawahi kuleta uzi wa kutojua kupika way back Mwanamke kutojua kupika inaweza kuwa sababu ya kupewa talaka? Jioni hii nimepika wali...nauangalia hapa naona aibu mimi...wali una mafuta huoo Nilianza kujua kupika lakini sjui nimesahau ama ni vipi lakini kila nikipika naharibu 🙌...
  19. Yoda

    Inawezekana kupika rosti/mchuzi mzito bila nyanya.

    Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito kabisa bila nyanya hata moja.
  20. Mr Beach Boy

    Nimenunua pressure cooker, Cha ajabu natumia saa moja na nusu kupika maharage. Nakosea wapi?

    Kutokana na mazingira machafu ya baadhi ya mama ntilie Mwanaume nimeamua kupika Sasa Jana nimenunua pressure cooker ili kupikia maharage na nyama Cha ajabu naona maharege natumia saa moja na nusu ila maji hayajauki mpaka kupungunza Nakosea wapi wakuu
Back
Top Bottom