Hawa wachina sasa wameiacha dunia mbali sana. Mambo wanayotafanya Marekani wanaogopa sana. Ukiacha lile jengo lao refu sana ambalo limejengwa hewani halafu linaelea. Wana train ambayo hakuna kitu kinaifikia kwa speed duniani.
Hawa waChina wametengeneza train lina speed kali kiasi kwamba kama...