Kama una bachelor degree na bado huja upload vyeti vyako ajira portal
Basi tafuta chuo cha kati weka cheti chako cha NTA level 5
Hakika utaitwa sana interview ila kama utaweka bachelor degree basi utalia na kusaga meno
Serikali haina Hela ko inaajili watu wanaolipwa kidogo ahsante
Wale wa kishua wanaweza wasinielewe sana. Ila wale wanaotoka familia za hali duni kama mimi mtanielewa.
Ukishapata ajira rasmi hasa serikali ndugu huja kama manyingu kutaka misaada. Hiyo inakuwa kabla hata hujajipanga vizuri bado unajitafuta. Sijui wewe ulikabiliana nao vipi.
Kwangu baada ya...
Habari wanajamii wenzangu,Mimi nimemaliza chuo mwaka 2022 kozi ya MIPANGO na MAENDELEO ya JAMII ,naombeni kwa mtu yeyote mwenye kusaidia kupata nafasi ya Kazi kwenye kampuni au taasisi yeyote ,
nitashukuru sana.
Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama wa Taifa na akanikiwa katika tamanio lake?
Labda ni zile enzi za Nyerere, ambapo wafanyakazi wa...
Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
Habari za muda huu wakuu, mimi ni mhitimu wa shahada ya awali ya Bima na udhibiti viashiria hatarishi (Bachelor in insurance and risk management) 2022, kiukweli nashukuru sana tangu nimalize chuo sijawahi Kaa bila kazi nilipomaliza mwaka 2022 ni moja ya wanafunzi tuliofaulu vizuri na kuchukuliwa...
Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.
Achana na swala kutafuta ajira, unaweza kutembea na bahasha hadi ukahisi una mkosi au umelogwa ili usifanikiwe,
Kuna wengine wana bahati, Baada ya kuhitimu wanapata ajira on spot, but wale wenzangu na mimi tuliosota miaka kadhaa kutafuta ajira nawapa pole sana.
Ukipita kwenye makampuni unakuta...
Habari
Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
Habari wana jukwaa. Kwa kweli hivi sasa bila connection ni ngumu kupata kazi, vinginevyo Mungu aingilie kati. Binafsi kwa neema ya M/Mungu nimefanikiwa kuwa nahistoria ya kufanya vizuri darasani, na kuwa mwanafunzi bora kuanzia nilipokuwa shule ya msingi mpaka chuo kikuu. Historia yangu kwa...
Kuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.
Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.
Ni kipi cha kukipa...
Suala la ajira limekuwa ni janga katika nchi nyingi ikiwemo Tanzania.
Tanzania kila mwaka wanahitimu wasomi wengi wa fani tofauti tofauti lakini wanaopata ajira serikalini na sekta binafsi ni wachache.
Serikali kupitia mabalozi waliopo nchi tofauti tofauti watafute ajira katika nchi husika na...
Utangulizi:
Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
AJira ni haki ya kila Mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele.
Kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira)
Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
Wakuu habari,
Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
Cheti kikubwa kuliko chote ni cheti cha F.4 hiki wengi hawajui. Kimsingi cheti cha F.6 hakina ishu kabisa labda kwa wale wanaopenda mambo ya afya zaidi maana hiki cheti kina matter sana huko.
Hakikisha F.4 unakung'uta Div 1 kali ajabu somewhere around point 7, 8, 9 na kuishia 14.
Then, nenda...
Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena.
Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa.
Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.