kuondoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shaka: "CCM haijawahi kuhofia kuondoka madarakani kwa sababu hilo haliwezi kutokea"

    Ukisoma uzi wangu wa mwisho kabla ya huu utaona nilisema maneno gani. Niliposti uzi wangu kabla ya kuona Press ya Shaka. Pengine nina kijiubanii nianze kujichunguza. Kazi mnayo UFIPA.
  2. Baada ya Ronaldo kuomba kuondoka Manchester United, mashabiki wasema ‘muacheni aende’

    Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo mashabiki wamesema ‘muacheni aende’. United haijafuzu katika ligi hiyo badala yake itashiriki katika...
  3. M

    Video: Wamasai wakiondoka Loliondo

    Kwa wasioelewa mgogoro huko Ngorongoro na Loliondo. Ni hivi , Huko Loliondo ndio kuna mwarabu(OBC) anayetaka ardhi ya wananchi, nguvu na ubabe unatumika kuwaondoa watake wasitake. Eneo la Kilometa za mraba 1500 huko Loliondo ni eneo ambalo yule mwarabu wa OBC analitaka , na ndio figisufigisu...
  4. Tujikumbushe Viungo Wakabaji waliokuja na kuondoka Simba na kumuacha Jonas Mkude

    Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha Jonas Gerald Mkude. Jonas Mkude sio wa kawaida ana kitu cha ziada inaonekana ambacho Viungo wengine...
  5. Tangu kuanza kwa vita, makampuni 1,000 yamesitisha huduma Urusi, na mengine kuondoka kabisa

    Kwa kweli Putin ameamua kuharibu Urusi na kuirudisha nyuma mbali sana, hatari sana kwa nchi kuongozwa na akili za mtu mmoja, anafanya maamuzi na kuchemsha na kuharibu kila kitu kichizi chizi....... Since the invasion of Ukraine began, we have been tracking the responses of well over 1,200...
  6. Chama aomba kuondoka Simba SC

    Clatous Chota Chama kiungo fundi wa Kimataifa wa Simba kutoka Zambia ameomba kuondoka kikosini Simba msimu huu unaoisha. Pande zote mbili zipo zikijadiliana kuhusu sakata hilo. Tetesi zinadai Chama anataka kwenda South Africa kama ilivyo kwa Rally Bwalya. My take: Kama ni kweli naona kabisa...
  7. Mwaka mmoja baada ya Magufuli kufariki: TEMESA wanafeli kufanyia ukarabati vivuko vyao. Hii ni harufu ya ufisadi. TANROADS inafanya nini?

    Leo hii baada mzee baba kuondoka na Mhandisi Mfugale kuondoka kwa utata wa mkubwa ambao ulishangaza dunia nzima. Leo hii Temesa wameanza fyongo. Maana kazi ndogo kama service sio ya kusababisha serikali kukodisha vivuko kwa gharama kubwa. Hapa kutakuwa na namna. Watanzania huu ndio wakati wa...
  8. Baada ya mazungumzo Pochettino akubali kuondoka PSG

    Inaelezwa kuwa Kocha Mauricio Pochettino anaondoka Paris Saint-Germain baada ya kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba baada ya kuifundisha timu hiyo kwa muda wa miezi 18. Kocha huyo raia wa Argentina ameshinda taji la Ligue 1 lakini aliishia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, matokeo...
  9. T

    Wanaosherekea kifo cha Magufuli wanafukuza mwizi huku wameacha mlango wazi

    Kuna wengi wanaolalamika kwamba walipatwa kuumizwa na utawala wa magufuli. Kuumizwa huko kunahusishwa kibinafsi na utawala wa Magufuli, ikimaanisha walipitia waliyoyapitia tu kwa kuwa Magufuli alikuwa rais. Wanaolalamika sio wapinzani pekee bali pia wako wanachama wa chama cha mapinduzi ambao...
  10. B

    Pablo kuondoka ni sahihi. Matola naye asibake aje Pawasa mbadala

    KUONDOKA KWA PABLO NI SAHIHI KABISA Kocha yeye kila siku kulia Kocha amecheza mechi 4 na Yanga hajashinda hata moja hafai kuwa SIMBA Kocha hana mbinu za kuweka mpira chini, kushambulia kwa kasi, kutumia wachezaj vzr Kocha anadrooo nyingi muno hata mkumletea MESSI hawezi kudelievr MATOLA AONDOKE...
  11. Kama unataka kuondoka kwenye umasikini, waepuke masikini kama ukoma

    Rafiki yangu mpendwa, Hivi unajua ya kwamba umasikini huwa unaambukizwa kama magonjwa yanayoambukizwa? Ndiyo, hiyo ni kweli kabisa, pale unapokaa na masikini, wanakusababisha uendelee kubaki kwenye umasikini. Huenda kwa kusoma sentensi hizo chache umejisikia vibaya, umenichukulia mbaguzi na...
  12. M

    ANC na CCM vyama vya ukombozi vilivyogeuka vichaka vya mafisadi. Vimesahau kutumikia wananchi

    Namna viongozi wa Anc na CCM wanavyobehave ni namna moja. Walijinyenyekeza kwa wananchi na kujionyesha kuwa wapo kwa ajili ya kutumikia wananchi wanyonge. Lakini kumbe ni watu wakusahau na waiba mali za umma. Leo hii ni magenge ya wafanyabiashara na wezi wa mali za umma wanaongoza viongozi wa...
  13. Wazamiaji wa Kiafrika nchini Ukraine wakiwa hawajui la kufanya wala jinsi ya kuondoka

    Unofficial African in ukraine, treated badly
  14. J

    Waziri Mkuu apokea orodha ya majina 453 ya wananchi wa Ngorongoro waliokubali kuhama kwa hiyari yao

    Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori. Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe. Source: ITV habari! ===== Waziri Mkuu Kassim...
  15. Wanajeshi wa Ukraine walioko DRC watakiwa kuondoka

    Kikosi cha wanajeshi 250 wa kulinda amani wa Ukraine wanatarajiwa kuondoka mashariki mwa DRC na kurejea Ukraine. Tangazo hilo lilitolewa Jumanne na Umoja wa Mataifa. Tarehe ya kuondoka bado haijatangazwa. Uondoaji huo pia utajumuisha vifaa na helikopta. Hatua hiyo huenda ikawa na athari kwa...
  16. Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Kufa ni nini? Kufa ni hali ya roho kuepukana na kiwiliwili, au kufa ni kukatika matumizi ya roho kwa kiwiliwili na kukosa kiwiliwili ambayo ndio ala yake na kumuepusha mtu na mali yake na watoto wake na mke wake. Kufa kunakata utamu wa maisha ya kiulimwengu na kwenda ulimwengu mwingine. Mtu...
  17. Watanzania waliokwama Ukraine kusaidiwa kuondoka na Russia kutaichafua Sana nchi kipindi ambacho Russia inatengwa na Dunia

    Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani. Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa...
  18. Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje? Tujuzane. Maestro de Quimica!!OP
  19. B

    Kikwete aliongozwa na CHADEMA, Hayati Magufuli akaongozwa na Kigogo2014; Rais Samia ameanza kuongozwa na CHADEMA, ataweza kuondoka kwenye huu mtego?

    Wakati wa JK mfumo uliona Rushwa ilivyokithiri ukaona namna Mali za umma zinavyoliwa na watu wachache . Walimwona JK alivyo mwanasiasa mahiri lakini ambaye siyo mwepesi wa kusoMa sana na kwake yeye wasaidizi wake wanaweza wakafanya Kila kitu. Watu walimwona alivyokuwa busy kuzunguka Duniani...
  20. Wanajeshi Mali wauawa siku chache baada ya Ufaransa kutangaza kuondoa vikosi vyake

    Jeshi nchini Mali limesema wanajeshi wake wanane wameuawa na watano hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na waasi katika eneo la Kaskazini-Mashariki la Archam. Mapigano hayo yanakuja siku chache baada ya Ufaransa na washirika wake kusema kuwa wanaondoa vikosi vyao kutoka Mali. Taarifa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…