Bunge la Djibouti limepiga kura kwa kauli moja kuondoa kizuizi cha umri wa kugombea urais, hatua inayomruhusu Rais Ismail Omar Guelleh kugombea muhula wa sita madarakani
Guelleh, anayejulikana pia kama IOG, amekuwa madarakani tangu mwaka 1999 akiongoza taifa hilo dogo lililoko Pembe ya Afrika...