kuonana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume...Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, anaenda vitani

    Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume... Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, usiitafsiri kama anaenda kibaruani tu, uhalisia anaenda vitani either irudi pesa au maiti kwenye jeneza... Ukimuona Baba yako anatoka asubuhi na jioni anarudi salama , muombee Dua ya kazini mengi...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel aenda Marekani kuonana na Trump!!

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameondoka kwenda Washington. Kabla ya kupaa alisema: Kutokana na uzoefu wangu kama Waziri Mkuu, katika nyakati hizi ngumu lazima tuchukue hatua kwa azimio kubwa na hekima kubwa. Tutajadili masuala yote kwenye ajenda, kwanza kabisa, Iran. Ninaanza safari...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Tunafanya kazi katika mazingira magumu, hakuna usawa, tunabaguliwa, hatupewi stahiki zetu

    Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Mikataba inaonesha tumeajiriwa na Wazazi na si TAMISEMI, tuna mazingira magumu. Ujumbe wa Walimu wa Mkataba chini ya mradi wa GPE-TSSP, Juni 26, 2026: Napenda kuwasilisha kwenu baadhi ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo sisi walimu wa mkataba chini...
  4. JamiiForums Tanzania Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

    Wakuu salama, nimezaa na mwamnke mmoja ambaye sasa ni single mother. Nilikuwa namhudumia lakini wakti mwingine simhudumii kulingana na ujeuri wake. Nikitaka kumuona mtoto inakuwa ngumu, nikimwambia amlete ataki. Sasa mtoto amefikia hatua yupo daycare amempeleka huko hakunishirikisha...
  5. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu 😂😂 karibuni mnaotaka kuonana na mimi

    Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu 😂😂 karibuni mnaotaka kuonana na mimi
  6. JamiiForums Tanzania Mahmoud Kombo waalike hao Maseneta wa Marekani na pia wapewe fursa ya kuonana na vyama vya upinzani!

    Ni jambo jema kuwaalika Maseneta wa Marekani ili waje wafanye uchunguzi wao kuhusu yaliyotokea October 29 na mengine mengi yanayolalamikiwa na wanasiasa wa upinzani, wanasheria na wanaharakati. Muhimu Maseneta watakaokuja wapewe fursa ya kuonana na makundi yote ya kijamii na isije kutokea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Nina wasiwasi na Wakili Kisabo juu ya maneno aliyosema yamesemwa na Lissu. Watanzania tusubiri kauli ya Lissu mwenyewe

    Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote. Hajawahi, wakati wowote, kuweka...
  8. JamiiForums Tanzania UN waikanusha serikali, wasema waziri wa Tz kuonana nao si kwamba wanabariki mauaji yaliyofanyika.

    Umoja wa Mataifa, UN, imetoa tamko linaloweka sawa msimamo wa Umoja huo kwa yale mauaji yaliyotokea Oktoba 29. Kwanza wanasema uchaguzi ulikuwa na walakin. UN imetamka wazi kuwa mauaji yaliyotokea ni haramu kwa haki za kibinadamu. Na kwamba Tume iliyoundwa kuchunguza mauaji haina sifa ya kuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ndio kusema. Mama hataki hata kuonana na raia? Mbona hayati JPM alikuwa anapungia watu mikono!

    Msafara wa Mama Samia umipata hapa Arusha si muda mrefu ukielekea KIA cha ajabu ameshusha mapazia kwenye gari yake. Mbele anaonekana amekaa mpambe wake yeye haonekani wala hapungi mkono kwa wananchi kama.ilivyokuwa kwa JPM Hataki kuonana na wananchi?
  10. JamiiForums Tanzania Mwekezaji Kijana akiwa ana enjoy na maisha yake baada ya kuonana na wakuu wetu wa nchi

  11. JamiiForums Tanzania Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

    Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kuonana mara kwa mara kuna imarisha mahusiano?

    NRNE Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye. Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano...
  13. JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka aibu niliyoipata sitamani tena hata kuonana na yule binti

    Siku hiyo nilienda msibani ambapo nilifiwa na mjomba wangu, sasa kama unavyojua kwenye msiba ndugu mbalimbali hukutana. Na siku hiyo alikuwepo ndugu yangu ambaye alikuwa ni binti mrembo sana na tunafahamiana na kiukweli huwa namtamani sana. Wakati shughuli za mazishi zimekamilika, tukabaki...
  14. JamiiForums Tanzania Natamani kuonana na Rais Samia, “face to face and privately”. Nina ujumbe wake, nitamfikiaje?

    Amani iwe kwenu nyote, Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
  15. JamiiForums Tanzania Kama waziri hapati nafasi kuonana na boss wake unaweza kupata picha nia,dhamira na utendaji kazi wa ufalme huu

    Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi. Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kama waziri kuonana na Rais ni changamoto hivi, kuna shida mahali

    Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais. Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais? Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.
  17. JamiiForums Tanzania Kwaheri ya kuonana Dar es Salaam

    Kweli hakuna aijuwaye kesho yake. Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa . Ila hakuna marefu yasiyo na ncha. Nimeondoka hivyo ubakie salama. Nitamiss, raha na karaha zako. Till we meet again. Stroke.
  18. C

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kukutanishwa na tajiri Chief Godlove na Tajiri Chui

    Naombeni mtu yoyote au yeye mwenyewe kama atapita humu, naomba kuonana na watu hawa ili wanipe connection ya maisha, wanapata hela wapi? Hawa vijana wadogo lakini pesa ndefu sana. Msaada tafadhali.
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandalizi ya kurudi CCM? Godbless Lema aomba kuonana na Rais Samia. Mrisho Gambo

    Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi. Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa

    Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa ila rafiki ukimpenda mtu asiyekupenda mnaweza kukaa mtaa moja au sehemu moja, swala la kuonana mtihani kila siku pruu pruuu wala hana hamasa ya kuonana na wewe na mawasiliano umuanze Akikupenda swala la kuonana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…