kuoga

  1. O

    Daily Shower ni Scam Kuoga Kila Siku Inaharibu Skin

    Watu wengi wanaamini kuoga kila siku ni lazima for hygiene… but what if it’s actually doing more harm than good? Dermatologists wanasema excessive bathing especially with harsh soaps hu-strip natural oils kwa skin. Hizi oils ndio zina protect skin yako against dryness, irritation na infections...
  2. Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  3. Ukitaka kuoga matusi nenda kinyume na CHADEMA

    Tatizo huwa ni nini hasa kwa wafuasi wa CDM kwamba ukiwauliza swali ili ujifunze unapewa matusi Ukienda kinyume na maono yao unashambuliwa NB mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtu huru😅
  4. Hadi Sasa Wazungu, wachina, waarabu, na waafrika wenye akili za kuoga wengi wanateseka KWA kupuuzia misosi ya asili

    Aisee nilikuwa sijui Hadi nilipifanikiwa kupita hospitali moja kubwa nikakutana na wachina, waarabu, wazungu wengi wagonjwa balaa. Nilipofuatilia KWA karibu ni magonjwa yasiyoambukiza, migongo, visukari, presha, saratani etc. magonjwa yanayosababishwa na lifestyle na ulaji mbovu. Nikafuatilia...
  5. Kuoga kuna faida gani?

    Wakuu tangu niko mdogo nimezoeshwa kuoga kila siku ila sijawahi kuona faida yake Vipi kama nisipooga nitanuka halafu baada ya miezi harufu itakata na sitanuka tena. Si itakuwa niko huru maishani mwangu. Nakuwa sihitaji kuoga tena. Kwani uchafu ukizidi kwenye ngozi kuna madhara gani ya kiafya...
  6. Wanaume wa JF bana, eti mtu anatumia dakika 15 hadi 20 kuoga, 🤣🤣

    Mwanaume inatakiwa isizidi dakika 5 tofauti na hapo tutauliza maswali mengi
  7. Kwa wabunge wote kabla ya kuelekea majimboni mnakumbushwa kuja kuoga dawa kuondoa nuksi na kukatwa jina mwezi huu ni mgumu sana sana

    Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
  8. Tatizo la mwili kuwasha baada ya kuoga pamoja na koo pamoja na masikio kuwashA

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
  9. Zijue faida za kuoga mwili mzima kiafya

    Je wewe ni miongoni mwa watu wanaokwepa maji, kila ukiwaza kuoga unapata uvivu na kuogopa baridi? Kuoga kuna raha yake na kuna manufaa makubwa katika maendeleo ya mwili wa binadamu. Sasa leo hii tuangazie umuhimu wa kuoga, sio kuoga tu yaani kuoga mwili mzima kiafya na kiakili. Hizi hapa faida...
  10. Kuoga na kuvaa

    1.KUOGA Usafi ni passion yangu toka nikiwa mdogo,japo mama yangu pia alichangia kuniongezea mbinu za usafi. Kabla sijaoga mie huandaa nguo za kuvaa,kuanzia chupi,suruali,shati,soksi,viatu na leso. Na kwa sasa situmii bomba la mvua,kwakuwa napenda kuchanganya maji ya kuoga na dettol japo siweki...
  11. PreGE2025 Video: Mbele ya Rais Samia, Mbunge wa HandenI atangaza kuoga hadharani pindi mradi wa maji wa jimboni kwake utakapomalizika!

    Wakuu, Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea. Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais anasema kabisa kuwa siku maji yakija ataoga hadharani. Mbunge wa Handeni akiwa anaongea mbele ya Rais...
  12. Kila tukimaliza kufanya mapenzi, anakimbilia kuoga, shida nini?

    Jirani: Money penny njoo Money penny: Mekuja jirani nambie Jirani: Mepata bwana Mkatoliki, sa kila tukimaliza tendo la ndoa anakimbilia kuoga fastaa Nikamwuliza shida nini, akasema amefundishwa kuwa tendo la ndoa ni dhambi, so akifanya anatakiwa aoge haraka kuondoa dhambi Money penny: Du...
  13. Mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anaijua faida hii ya kuoga pamoja

    KAKA ANGU mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anajua Faida ya kuoga pamoja kunafanya ajiamini ajihisi kupendwa na mkaogeshane kwasababu kuogeshwa kuna raha sana unaposafishwa kwa mikono yake , MWANAMKE mnaweza kufika naye bafuni yeye akatoa...
  14. Kwanini Watoto wanapenda sana kuchezea maji ila kuyaoga ni shida?

    Kuna chalii hapa, yeye maji atayatafuta popotee, iwe ni bomba la nje, bafuni, kwenye ndoo popote, Akiyapata cha maana hamna, ni kuingiza mkono na kuuzungusha. Yaani huyu imefika hatua akiwa analia ukitaka anyamaze mletee maji kwenye jagi, baasi.. Hili ni tumeona kwa watoto wengi sana Mda wa...
  15. Tunakoelekea kuoga na Sabuni Pia tutaambiwa ni dhambi

    Baada ya Mchungaji Mch. Abiud Misholi Kutamka adharani kwamba ni Ushetani mkubwa Mlokole kushabikia mpira Mwimbaji wa nyimbo za injili na SHABIKI mkubwa wa Yanga African @Ann_annie kafunguka ya moyoni na kusema.... "Kuna Max Nzengeli na Kennedy Musonda wameokoka sasa na wanacheza mpira...
  16. Wanawake wengi wanaojivunia Uzuri wa Makalio wamejisahau kwenye Usafi wa Mwili: Wazingatie Manukato baada ya kuoga

    Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu. Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili. Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo...
  17. Ongezeka la wanawake wasiopenda kuoga maji baridi inatisha hasa hawa GenZ

    Naomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa chini tu kwenye samosa. Inaogopesha sana hiki kizazi na pia hawa GenZ wengi ni wabovu wa vifua wengi...
  18. Je ni kweli kuoga maziwa kunaleta afya ya ngozi?

    Habari, nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi. Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi...
  19. Mikoa inayoongoza kwa wake za watu kijitegeza vibarazani na kwenda kuoga kwa kijola au kanga moko

    Shalom, Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya mikoa na wilaya zake hapa Tanzania kuna mikoa ni kiboko kwa wake za watu kijitegeza vibarazani na nyakati za kwenda kuoga kwa kuvaa kijola laini au kanga moko na kuacha chuchu au maziwa yakidamshi. Eeh bana wewe kuna wake za watu wako vizuri kwa...
  20. Je, kuna athari zozote mtu kuoga mara kwa mara?

    Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika. Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…