kuoga

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania James Hamblin, daktari ambaye haoni sababu ya watu kuoga mara kwa mara

    Hamblin alifanya utafiri juu ya utakasaji wa mwili ambao hivi karibuni ulichapishwa katika kitabu. Hamblin alifanya utafiri juu ya utakasaji wa ngozi ambao hivi karibuni ulichapishwa katika kitabu. Daktari bingwa wa tiba ya uzuwiaji wa magonjwa James Hamblin alifanya utafiti kuhusu...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kingine huwa unakifanya bafuni ukiachana na kuoga

    Binafsi na ukubwa wangu huu, nimeoa na nina familia, naishi vizuri tu na jamii ila kuna katabia ka ajabu sana ninako na ni siri yangu tu hakuna anaejua. Niingiapo bafuni huwa nageuka kama mtoto, Napenda sana kucheza mziki, ntaruka ruka, nitacheza kiduku, nitacheza bolingo, n.k Nilikuwa dancer...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msimsimange, mie nampenda hivyo hivyo

    Ni mrembo hakika, kwa sura na umbo ameumbika. Tatizo hataki kuoga, linapokuja swala la kuoga ni ugomvi mkubwa. Yeye huwana uso, husugua makwapa, na kuiosha Tukuyu, baada ya hapo ndio Hadi kesho. Mswaki anapiga vizuri kabisa. Hana tabia yoyote mbaya, nyumba Safi Kama peponi, adabu ndio mahali...
  4. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Foleni ya kuoga ya nyumba za kupanga

    Kwenye nyumba za kupanga moja hivi kuna mpangaji mmoja huwa anachukua mda mrefu kuoga, akiingia yeye lazima achukue dakika kam arobaini. Wapangaji wenzake wanachukia Sana maana inawabidi wasubiri mda mrefu atoke na wengi huchelewa asubuhi. Mama mwenye nyumba leo kamtolea uvivu kamwambia “wewe...
  5. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

    Watu wengi hupendelea kutumia maji ya moto kuoga pale hali ya hewa inapobadilika na kuwa ya baridi au wakati mwingine mtu anaumwa hivyo anatumia maji ya moto. Lakini kwa ajili ya urembo na afya ya ngozi, maji ya moto yanatajwa kuwa ni kitu muhimu sana kama vilivyo vipodozi vingine vinavyoisaida...
Back
Top Bottom