kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

    Habarini, Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider: 1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao...
  2. Mollel_ Jr

    JamiiForums Tanzania Je kuoa mwanamke aliye kuzidi elimu ni Ujinga or?

    Kumekuwa ma mjadala juu ya hili je wadau hili lina ukweli au inategemea?
  3. M

    JamiiForums Tanzania zama za kuoa bila malengo zimeshaisha. Jux aingiza mamilioni kwenye digital platforms za Nigeria kwa kupitia ndoa yake

    nyimbo ya jux aliyeitoa kwa ajili harusi yake yashika namba mbili na wimbo mwingine namba tatu kwenye itunes nigeria,, nigeria ni nchi yenye idadi ya watu milioni 230, kwa nyimbo ya jux kutrend kwenye soko la nigeria tu jux anaingiza mamilioni ya pesa kwenye digital platforms
  4. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania What do you with a research paper after its been published?

    I was just wondering what actions are taken once you finish and publish a research paper. I'm not all that experienced nor informed, so I'm just genuinely curious what could be done with one's research after it's finished. I'm talking more so about humanities research, so it's not necessarily...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Usikose Mwanamke mzuri kwa kuogopa Ukali wa maneno yao, Wanawake wa Arusha wanafaa kuoa

    Bwana bwana tembea uone. Msichana wa Arusha akikasirika kidogo anaweza kukwambia ntakuchoma kisu mimi. Au akitaka kukwambia kitu hata kama cha kawaida anaweza kulipuka kwa sauti kubwa ya ukali. Sasa ukiwa huwaelewi utawaogopa ukidhani hawana adabu. Kumbe ni hulka zao, wala hana hasira, na...
  6. Gee23

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kuoa

    Mwanaume wa miaka 37 anahitaji mwanamke daktari wa wanadamu, au mwalimu wa kuoa. Awe na sifa zifuatazo: 1. Daktari wa wanadamu aliyehitimu au aliye na kazi 2. Mwalimu wa msingi au sekondari aliyehitimu au aliyepo kazin tayari 3. Asiwe na mtoto au ikitokea anaye, basi mmoja wa kike lkn wa umri...
  7. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

    Moja ya jumbe nyingi ambazo nimekua nikipokea PM kwangu ni watu kutaka kujua mwanamke yupi ni sahihi kumuoa. Leo nataka kuliezea ilo suala kwa faida ya wote. Katika andiko hili nitafanya rejea ya kijana ambae anaanzisha familia kwa mara ya kwanza, ana stable income kuweza kuhudumia familia na...
  8. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Kosea Kujenga nyumba lakini usikosee kuoa

    Baada ya kuishi pamoja kwa miaka 16 bila ndoa rasmi, Mkurugenzi wa lebo ya “Cash Money Records”, Birdman (56), na mwimbaji mashuhuri wa RnB, Toni Braxton (57), waliamua kufunga ndoa kimya kimya wiki iliyopita. Hata hivyo, ndani ya siku 3 tu baada ya ndoa hiyo, Toni Braxton aliwasilisha maombi...
  9. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa ngumu kupata mwenzi wa maisha. Baada ya kuachana na partner wangu mwanzoni mwa mwaka huu nimekuwa...
  10. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana niliponea chupuchupu kuupata Ukimwi, ila mwaka huu nimeangukia kwa Penzi la Mshangazi, nifanyaje kuoa

    Wadau, Napenda kupata tu ushauri, ninachotaka kufanya sifanyi na ninachofanya sio ninachotaka kufanya.. ... Nisikuchoshe ni hivi, mwaka jana nilishawahi kulala na mwanachuo fulani kumbe ni muathirika na baada ya kutumia PEP niliponea shimo la moto kwani mpaka wa leo mimi ni mzima wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hookup culture na wanawake kuwa rahisi kutoa sex ndio sababu kubwa ya ongezeko la wanaume wengi kuchelewa kuoa

    Hookup culture ni utamaduni uliokuwa kwa kasi kwenye jamii zetu ambapo watu wanajihusisha na mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la ngono bila kuwa na nia wala commitment ya uhusiano wa kudumu au ndoa Sex imekuwa ni rahisi sana kuipata, Utandawazi umewatega wanawake kugawa sex hovyo wao wakidhani...
  12. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Mtu anieleze faida ya kuoa

    Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa. Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi. Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rudini kuoa vijijini kwenu. Hata kama umezaliwa Dar mjini nenda kule alikotokea baba/mama yako deep huko ujichukulie chombo. Shauri zenu

    Kama mwanamke ana uhuru na munkari wa kuchagua bwana mwenye pesa zaidi ili aishi vizuri iweje wewe mwanaume uendeshwe na hisia bora liende na kutaka sifa ya kuwa una mke mkali mtaani. Yani unaleta mwanamke bongo movie nyumbani ambaye hata mama ako ameanza kuumwa hoi mwanamke anakuambia amechoka...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mapadri na Masister hawaruhusiwi kuoa au kuolewa lakini wanasisitiza wenzao waoe na kuolewa?

    Habarini, Hili jambo linanitatiza sana,sana iwapo wafuasi wa yesu wanaoa na kuolewa kupitia kwa mapadri na masister inakuwaje wenyewe mapadri na masister wasioe ma wasiolewe? Kila kiungo cha mwili kiliumbwa na Mungu kwa makusudi ma kazi yake sasa hawa mapadri ma masisyer siga ya kwanza ni wawe...
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23. Mwanamke ambae ni agemate wako...
  16. Maleven

    JamiiForums Tanzania Moja ya hasara ya kuoa, ni mke kukukasirisha hadi unashindwa kufanya kazi au kuvurunda

    Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi. Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake...
  17. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

    Wakubwa hili jambo ni la wazi sana na sitegemei kuna mtu hapa ataanza kubishana maana liko wazi sana hata kwenye mila na desturi zetu. na hata kimatinki tu haingii akilini yani wewe na baby wako mmechuma pamoja hlf ghafla unakata moto eti anatokea dume suruari mmoja na ke.nde zake mbili...
  18. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

    Ndugu zangu. Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo. Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake anakupenda na anataka awe na kumbukumbu yako pindi utakapotoweka machoni pake kwa namna yeyote iwe...
  19. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Bora kuoa wa dini yako,mchana wa leo nimenyimwa mzigo

    Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma. Wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu. Daaah inauma sana chakula unakiona...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hii ipoje kuhusu mwanaume kuwa na kipato ndio aoe??

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu suala la "Wakati gani wa Mwanaume kuoa". Wengi wameenda mbali zaidi na kusema, "Suala la mwanaume kuoa sio umri, bali ni kipato na uwezo wa kuilea familia" Swali: Mwanaume huyo atagundua vipi kuwa kipato chake alichonacho sasa kinamwezesha yeye kuoa?? Ni kipato...
Back
Top Bottom