kunyongwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mussa Mangu ashinda rufaa ya kupinga kunyongwa kwa mauaji ya Erasto Msuya

    Habari wana jukwaa natumaini mpo salama! Mfungwa Mussa Mangu aliyekua anatumikia adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kuhusika katika mauaji ya Bilionea Erasto Msuya ameachiwa huru jana baada ya kukata rufaa yeye na wenzake wanne. Mahakama ya rufaa imeamua Mussa Mangu kuachiliwa huru mara moja...
  2. JamiiForums Tanzania Kabrasha chumba cha kunyongea

    Adhabu ya kunyongwa hadi kufa, ni mojawapo ya adhabu kongwe na ya kuogofya zaidi duniani... Na ndio adhabu ya juu zaidi.... Kunyongwa hadi ufe kabisa baada ya kuthibitishwa na mahakama tuhuma zako Kuna taratibu ngumu na za muda mrefu hadi mtuhumiwa afikie kunyongwa kwakuwa kuhukumiwa kunyongwa...
  3. JamiiForums Tanzania Waliomuua na kumtoa kizazi mtoto wahukumiwa kunyongwa

    Watu wawili, akiwemo mganga wa kienyeji, Mbwana Makamba, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtoto, Samira Said (4), kisha kumtoa kizazi na kuondoka nacho. Waliohukumiwa adhabu hiyo ni Richard Kimweri (43) ambaye alikuwa mlinzi na mkazi wa eneo la Makaburi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee Pinda: Adhabu ya kifo ifutwe nchini

    Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha. Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Houseboy' ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua bosi wake

    Arusha. Mfanyakazi wa ndani wa kiume (house boy), Ismail Sang'wa (28), amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua kwa kumkata shingo na panga aliyekuwa mwajiri wake Emily Kisamo (52) Kisamo alikuwa Ofisa wa Intelijensia wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (Tanapa). Hukumu hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyemuua mwanaye kwa kugomea Jando ahukumiwa Kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watatu wakazi wa mkoani Arusha akiwemo baba aliyemuua mwanaye wa kidato cha pili baada ya kugomea jando. Hukumu hizo zimetolewa leo Jumatano Februari 15, 2023 baada ya watuhumiwa hao kutiwa hatiani na mahakama hiyo katika...
  7. JamiiForums Tanzania Kunyongwa kwa mwanamichezo Amri Nasri Azadani

    Tunachokifahamu kuhusu pamoja wa kunyongwa kwa mwanasoka Amir Nasr-Azadani wa Irani CHANZO CHA PICHA, FIFPRO 23 Desemba 2022 Mwanasoka wa kulipwa wa Irani Amir Nasr-Azadani, 26, baada ya kulipwa baada ya kunyongwa nchini kushiriki kuhusu wanawake. Lakini pia anashutumiwa kuwa mwanachama wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanasoka wa Kimataifa kunyongwa Iran, katika harakati za Iran kumpigania "Mungu"

    Serikali ya Iran inaendelea kunyonga watu mbali mbali ambao wanahusika kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za dini ya kiislamu, mmojawapo wa walio kwenye hatari ya kunyongwa ni mwanasoka hodari, yote hii ni harakati za kuendelea kumpigania "mungu" wa waislamu. Hata hivyo maandamano yapo pale...
  9. JamiiForums Tanzania Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumtupa mtoto wake Mto Ruaha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopewa mamlaka ya ziada mkoani Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Abuutwalib Seif (34) Mkazi wa Igumbilo, baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kumtupa mtoto wake Khadija Seif (5) mto wa Ruaha. Mtoto alikuwa ni mlemavu wa viungo. Akisoma kesi hiyo jana Hakimu...
  10. JamiiForums Tanzania Uhusika wa waliohukumiwa kunyongwa kesi ya Lotter

    Watuhumiwa 11 wamehukimwa na Mahakama kuu ya Tanzania kwa kumuua Wayne Lotter. Ingawa mfadhili kuu wa kesi hii alikuwa Mchina , bado haijajulikana hakukamatwa au alikamatwa akawa deported. Mwingine Fahmi Karama alikamatwa lakini haijulikani yupo wapi, hata kwenye kesi hakuletwa Kama...
  11. JamiiForums Tanzania Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

    Hukumu imetolewa na Jaji Laila Mgonya wa Mahakama Kuu baada ya kuridhika na ushahidi kupitia mashahidi wake 32 ambao umethibitisha washtakiwa walitenda kosa hilo. Mwanaharakati wa ujangili na raia wa Afrika Kusini, Wayne Derek Lotter aliuawa Agosti 16, 2017 kwa kupigwa risasi akiwa kwenye Taxi...
  12. JamiiForums Tanzania Mhadhiri SAUT adaiwa kuuawa kwa kunyongwa

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo. Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
  13. JamiiForums Tanzania Muandamanaji ahukumiwa kunyongwa Iran, atuhumia na kosa la kuwa 'adui wa Mungu'

    Atanyongwa kwa kuandamana, kosa lenyenye wanaliita "moharebeh" (enmity against God)', au adui wa "mungu". Hata hivyo maandamano yako pale pale. Acourt in Iran has issued the first death sentence to a person arrested for taking part in the protests that have engulfed the country, state media...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ina maana gani?

    Hii adhabu tunayoisikia kila uchwao ya kunyongwa hadi kufa ina maana ya kumtundika mtuhumiwa kwenye kamba au hutekelezwa pia kwa njia zingine kama kiti cha umeme au sindando ya sumu hapa kwetu?
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini amri ya kunyongwa ni mpaka Rais apitishe?

    Rais anajua nini kuhusu masuala ya sheria na adhabu? Rais anataka kuonekana mwema kwa raia wake, na rais anayenyonga hawezi angaliwa vizuri sana. So rais anayejielewa hawezi kunyonga mtu. Kwanini mahakama ikisema isiwe mwisho kama zilivyo adhabu nyingine? Kuna ulazima gani wa Rais kupitisha...
  16. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa Dar, alimuua mdai wake aliyempa hela amuagizie Fuso

    Mfanyabiashara Hemed Ally amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Farihani Maluni. Habari inaeleza Farihani alimpa milioni 30 Hemed amuagizie lori aina ya fuso na baada ya muda mrefu kupita bila ya lori kufika na mdai kulidai, Ally alimuita Farihani...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mtalaka wake na Mwanajeshi

    Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwaua kwa risasi mtalaka wake na mwanajeshi mwenzake. Desemba 27 mwaka 2018 katika lango kuu la kambi hiyo, askari huyo mwenye namba za...
  18. JamiiForums Tanzania Watano wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora nchini Tanzania, leo Ijumaa Septemba 30, 2022 imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watano ambao ni wakazi wa Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora. Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kumuua mume wa mwenye Ualbino wakati akimtetea mkewe kukatwa mkono kutokana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Watano wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Tabora. Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora nchini Tanzania, leo Ijumaa Septemba 30, 2022 imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watano ambao ni wakazi wa Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora. Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kumuua mume wa mwenye Ualbino wakati akimtetea mkewe kukatwa mkono...
  20. JamiiForums Tanzania Tabora: Walioua Polisi wahukumiwa kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu washtakiwa wanne kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuua askari wawili wa Jeshi la Polisi Kituo cha Usoke, wilayani Urambo mkoani Tabora. Hukumu hiyo imetolewa leo Ijumaa Septemba 16, 2022 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Tabora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…