kunyimwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Trump akerwa kunyimwa Tuzo ya Amani ya Nobel, asema tuzo hiyo imepoteza hadhi yake

    Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine ameelezea kutoridhishwa kwake na uamuzi wa Kamati ya Nobel kutomtunuku Tuzo ya Amani ya Nobel, akielezea uteuzi wa mwaka huu kuwa "aibu na fedheha". Kamati hiyo ilimtangaza jaji wa zamani wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, Navi Pillay, kuwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Jebra: Haikuwa sawa Lissu kunyimwa mashahidi aliowaita

    Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole, amepinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuwakataa baadhi ya mashahidi waliopendekezwa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili. Kambole amesema Mahakama haikupaswa kuamua kuwa ushahidi wa mashahidi hao hauna umuhimu (relevance)...
  3. JamiiForums Tanzania Kuomba na kunyimwa?

    Umewahi kuomba jambo fulani ukanyimwa, ilhali unajua kabisa yule mtu alikuwa nalo ila akaamua tu kutokukupa? (wengine husema akakaza ,akadinda) Kuomba aibu no uno Kunyimwa aibu no two kutangazwa aibu no 3 Kuomba halafu ukanyimwa ni aibu 🤣🤣 Ni kama umejidhalilisha halafu bado husaidiki...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nyakati hizi za sasa, ukiomba kunyandua, unaweza kunyimwa kweli?

    Iwe kwa alie kwenye ndoa, uchumba au mahusiano ya kimapenzi? na, kwanini hakuna anae kataa? Achana na wanaojiuza mitaani kwenye madanguru n.k, nazungumzia ambao hawako kwenye biashara hiyo ya ngono. Ni nini kimebadilika na kuchochea urahisi huo kuelekea kunyanduana? Yaani siku hiyo hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Tutasherehekea uhuru kesho kwa kunyimwa hata uhuru wa kwenda dukani. Tunaupataje uhuru?

    Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru. Ndo tunavyoweza kusema. Mkoloni aliondoka na bendera yake kushushwa ila tukapandisha bendera ya mkoloni mpya katili zaidi. Huyu sasa ametufanya tusherehekee kuwa huru kwa kutufunga kabisa hata hatua zetu. Tunatokaje hapa sasa tusipotoka kesho kuusherehekea...
  6. JamiiForums Tanzania Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

    Hadi waarabu hawamtaki CR7 ? Hili swali ndio linatrend uko duniani How comes arabs kick out CR7 Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati Mtumbuizaji mahiri anajua wakati sahihi wa kuachia jukwaa CR7 hakujua wakati sahihi Ronaldo hakutakiwa kwenda...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

    Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba. Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji. Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Almasi Kasongo na wenzako wa TPLB mnatuharibia mpira wetu mnatakiwa mjiuzulu hakuna kanuni inayoruhusu timu kugomea mechi wa kunyimwa kufanya mazoezi

    Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4) Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maofisa wa mchezo na vyanzo vingine,kamati ilibaini kua klabu ya simba...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu nabii alitabiri Museveni kuangushwa, na Rwanda kunyimwa misaada. Uijeruman na Ubelgiji tayari zimesitisha misaada kwa Rwanda

    sikikiza kwenye video hapo chini https://m.youtube.com/watch?v=NZI68ek9aOU
  11. JamiiForums Tanzania Simba SC ikishinda Magoli ya Penati anachekwa iweje nao leo wanalilia kunyimwa Penati?

    Kufanya kosa si Kosa bali kurudia Kosa ndiyo Kosa. Kesho tukiwaacheni kwa Moko Alama sahauni kwani tayari tumeshajipanga hadi Ubingwa. Kudadadeki....!!!!!!!
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA fuatilieni baadhi ya Kampuni za Mabasi zinazokatisha tiketi ‘mkononi’ zinatoza nauli tofauti na hazitoi tiketi za Elektroniki

    Hello habari! Changamoto yangu naielekeza hasa kwa mabasi ya mikoani yatokayo Mkoa wa Kagera - Karagwe kwenda DSM au mikoa mingine wamezidi kujipangia nauli kipindi hiki mpaka kutoza nauli ya Sh 150,000 - 200,000. Wahusika hao wanaokatisha tiketi mkononi kwa maana ya ‘physically’ ukijaribu...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume waililia Serikali ya Kijiji kisa kunyimwa Unyumba na Wake zao

    Wakuu Mwenyekiti wa kijiji cha Mloda kata ya Mlowa barabarani, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Adam Philemon amesema miongoni mwa malalamiko yaliyokithiri katika kijiji hicho ni wanaume kunyimwa unyumba, huku akiwataka wanaume kutoa taarifa za vitendo hivyo kwenye sehemu husika ili kutokomeza...
  14. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

    Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kombo wa CHADEMA aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi 4 baada ya kunyimwa dhamana aachiwa kwa faini ya Tsh. 85,000!

    Wakuu, Kwahiyo lengo la serikali ilikuwa kumsumbua tu na kumhenyesha basi! Job true true! Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana aliyekuwa mahabusu kwa zaidi ya miezi minne baada ya Mahakama ya Wilaya ya Tanga kumnyima dhamana, amerejea uraiani kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande

    Haya ndio Mashtaka yanayomkabili Boniface Jacob @ExMayorUbungo , wakili Peter Kibatala @PKibatala_ azungumza
  17. N

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha. Hilo limetokea leo mimi mwenyewe nilipoenda bank na...
  18. JamiiForums Tanzania Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Mdau we unasemaje? Waingereza nao huu mfumo umewachosha. https://www.bbc.com/sport/football/articles/c4n1ndlknk1o
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia

    Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter truth.” Kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili tunaweza itafsiri kama “Hakuna urafiki bila maslahi...
  20. JamiiForums Tanzania Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

    Wakuu habari za Jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…