Duru zinasema Kuna mpasuko ndani ya chama cha maamuma, bakwata na maaskofu njaa.
Mmoja wao katangazwa kutema bungo Leo na bado Kuna wengine wa ngazi za juu wako vizuizini.
Raha ilioje jamani kuona wanavyo papasana matako wao kwa wao baada ya kujivika upofu kwa muda mrefu.
Na bado pumbavu...
Katika Nzengo yetu hususani kule juu wamo wateule wengi ambao wanaumizwa na hali ya mambo ilivyo sasa kwenye Kampuni ya walima.mboga mboga na kwenye Nzengo kwa ujumla.
Wamo wengi wanaounga mkono juhudi za upopoaji zinazofanywa na Mdunguaji aliyeko mafichoni dhidi ya Kunguru.
Taarifa za ndani...
Wahenga walishafanya mengi wakapitia mengi, wakajifunza mengi na hatimaye wakapata uzoefu mkubwa kwenye changamoto walizokutana nazo!
Mojawapo walilokutana nalo ni kwenye ufugaji wa wanyama mbalimbali
Imagine wanasema hata mnyama hayawahi kabisa kama fisi anafugika lakini si kunguru
Kunguru ni...
1.Kunguru ndiye ndege pekee mwenye ujasiri wa kukaa juu ya mgongo wa tai na kumdonoa shingoni. Bila huruma. Inakera. Lakini tai hubaki mtulivu
2.Tai hapigi mabawa. Hapigani. Hatumii nguvu ovyo. Hufanya jambo moja tu, hupaa juu.
3. Kadiri tai anavyopaa juu, hewa inazidi kuwa nyembamba. Kunguru...
Unaweza usiamini hili...lakini
Kunguru anapojisikia vibaya, hukaa karibu na kkichuguu cha siafu na hutandaza mbawa zake, hukaa tuli, na kuwaacha mchwa wamshambulie.
Wanafanya hivyo kwa sababu kubwa: siafu hunyunyiza mwili wake asidi ya fomu, (formic acid) dutu ambayo hufanya kazi kama...
Kunguru anapokutizama sio kwamba anakutizma ilimradi hapana ana uwezo wa kutunza kumbukumbu.
Katika utafiti wa muda mrefu ukiongozwa na Profesa John Marzluff katika chuo Kikuu Cha Washington, watafiti waliweza kugundua kuwa kunguru (crows) Wana uwezo wa kutambua sura za binadamu na kuwa ba...
Nimekuwa nikisia mara nyingi kuwa kunguru akifa haozi, bali hukauka tu na kadiri siku zinavyozidi kwenda hupukutika mpaka kuisha ila huwezi kuta kaoza wala kutoa harufu.
Badhi ya watu huwa wanasema haozi kwa sababu hali chumvi japo sina hakika katika hili maana mara kibao amekula vyakula vyenye...
Mm nimfugaji wa kuku na Bata ila napata changamoto ya kunguru kula vifaranga na mayai bandani wakimuona kuku katoka kutaga wao wanaingia yani ni mwendo wa kuviziana tu niwahi mm Yai au kunguru nimejaribu kuwa winda na manati nimefeli nimeweka sumu kwenye mayai niliyoyatoboa lakini bado wanadunda...
Kenya imeanzisha mpango wa kutumia sumu kuua Kunguru Milioni moja katika Miji ya Watamu na Malindi, ili kuzuia wasisambae Jijini Nairobi
Kunguru wamekuwa wakishambulia Wanyamapori, kuvamia maeneo ya Watalii, na kuvamia na kushambulia kuku katika Mashamba yao
Inaaminika Kunguru waliletwa kwa...
Kunguru ni ndege mwenye sifa za kipekee sana. Mmoja kati ya ndege anayejulikana sana duniani. Je, unafahamu nini au umewahi kusikia jambo gani kumhusu ndege huyu? Ngoja tumpe maua yake.
1. Kunguru wana akili kinoma noma. Ni kama akili walizo nazo watoto wa miaka saba kwa upande wa binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.