kumtukana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

    Uhuru usio na mipaka ni uhaini. Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi. Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa...
  2. Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

    Sisi wengine tulikuwepo wakati Rais Mkapa (1995-2005)anatukanwa kila siku kuwa "anauza nchi Kwa makaburu".....ilifikia wakati hadi nyimbo zilitungwa zikimuimba naukumbuka wimbo mmoja .."Kama sio juhudi zako Nyerere, Mkapa angeuza nini"???..Mkapa alikuwa anatukanwa kisa ni kuleta wawekezaji wa...
  3. Shukurani ya Punda ni Mateke, aliyefundishwa na Mwalimu leo ni wa kwanza kumtukana Mwalimu

    Habari wa wakati huu JF members. Na imani mkoa powa sana, niende moja kwa moja kwenye jambo lililonifanya nipost kwma mara ya kwanza humu JF. Mimi siyo mwalimu na sijawahi kuwa mwalimu na ndoto ya kuwa mwalimu lakini hili swala la wanajf kuwatukana walimu ni mambo ya ushamba na ujinga...
  4. Yanga ilimtuma Ally Kamwe kumtukana Mgunda?

    Maneno machafu aliyotoa Msemaji wa Yanga kila mtu aliyasikia. Wanasoka na wana habari wamekemea na kushangazwa na kauli zile chafu. Lakini mimi naenda mbali zaidi. Katika hali ya busara na kuonyeshwa uungwana taasisi inapaswa ama kuomba radhi au kujitenga na ujinga wa mwakilishi wake? Lakini...
  5. Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

    "Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah. Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya...
  6. Misri: Rais wa Zamalek atupwa jela kwa kumtukana Rais wa Al Ahly

    Mortada Mansour Rais wa Zamalek, Mortada Mansour amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela katika kesi aliyoshtakiwa na Rais wa Al Ahly, Mahmoud al-Khatib. Mansour, ambaye ni Mbunge wa zamani alikuwa akitumia nafasi yake hiyo kuzuia kushtakiwa lakini baada ya kupoteza katika uchaguzi wa Mwaka...
  7. Kusema kuna watu wanamshauri vibaya Rais au wanampotosha Rais ni kumtukana Rais

    Hii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri. Kwamba wewe umeweza kuona ushauri mbaya aliopokea lakini Rais ana uwezo mdogo wa kutambua mambo hivyo amashindwa kujua zuri na baya!? Wengi wanafikiri...
  8. M

    Kibajaji hata akijipendekeza kumtukana Bashiru, Mtera harudi tena 2025

    Huyu mbunge wa Mtera bwana Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wamemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru. Ana kiherehere na kujipendekeza...
  9. Rais Samia mfute kazi Waziri Mkenda; anakuchafua nje ndani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe. Lakini...
  10. Msishangae Wakristo Wengi kumtukana Mungu

    Msishangae wakristo asilimia ya wengi humu kumtukana Mungu, kwani mtume wao Paulo alishawafundisha zamani. Kitu chochote chenye upumbavu maana yake hakina hekima ndani yake. Sifa ya udhaifu hawezi kuwa nayo Mungu bali viumbe wake. Msiwashangae wanavyotoa povu kwani kitabu chao kimewafundisha...
  11. Ibada ya kumtukana shetani

    Jana nilialikwa kwenye kanisa moja hapa jijini. Kanisa la watu wa Afrika ya Kati, kulikuwa na ibada maalum ya kumtukana shetani kwa mateso anayowapa wanadamu, aiseee jamaa wanatukana kudadeki. Sikufanikiwa kumaliza ibada aisee..... kwa kweli sio kila kanisa ni la Kristo
  12. L

    Diamond platinum acha kuwatumia wakina Mwijaku/Wasafi media kumtukana Rayvanny

    Nimeona interviews kadhaa za YouTube za kina Mwijaku na vipindi kadhaa vya Wasafi tv.. Mara Sijui S2kkizzy kafuta nyimbo ya Tetema ya Rayvanny youtube eti hajalipwa haki zake kutengeneza nyimbo. Ukisikiliza kwa makini utaona kabisa Diamond anawatumia hawa watu kumchafua Rayvanny. Mwijaku kila...
  13. N

    Pengo la kumtukana na kumdhalilisha Mo Dewji litazibwa na nani?

    Kazi alipewa sope na aliifanya kwa ufasaha mkubwa, kumtukana Mo dewji na biashara zake, waliomlipa pesa na marupurupu mengine kama gari na kumpangia nyumba masaki wako kwenye msongo wa mawazo Je kazi ya kumtukana Mo dewji imetosha, bidhaa zake kuzitukana imetosha? jibu ni hapana, MTUKUKANAJI...
  14. Hivi kwa hizi dharau, Biden atawezaje kwenda kwenye hafla za hadhara

    Haya mambo yanayotokea hayajawahi kutokea hata kwa Trump Ni mwendo wa FJB (f**k joe bide) kuanzia kenye clubs, viwanja, matamasa, n.k.
  15. Mwalimu asimamishwa kazi kwa kumtukana Rais Samia

    By Pascal Mwakyoma TZA Mwalimu wa Shule ya Sekondari Momba, Shela Mwangoka amesimamishwa kazi na Naibu Waziri wa TAMISEMI David Silinde kwa kudaiwa kumtusi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika kadamnasi ya watu kwa dhihaka kwa lugha zisizofaa kwa Rais. Hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…