NIMEAMUA KUMPELEKA SHEMEJI YANGU MAHAKAMANI
Anaandika, Robert Heriel.
Haki lazima ikatendeke!
Mbwembwe zangu zote lakini naishi Kwa Shemeji. Kuna wakati nakaa nawaza Kama nisingekuwa na Dada ingekuwaje, maana ndugu zangu wote wa kiume Hali zetu dhoofu ilhali Kama Yukreini. maisha yametupiga...