kumkamata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Askari wanne washtakiwa kwa kumkamata Bi Harusi kwenye sherehe

    Polisi nchini Uganda imewafungulia mashtaka maafisa wake wanne waliovamia sherehe ya harusi wiki iliyopita na kumkamata bibi harusi wakimtuhumu kwa wizi. Kwa mujibu wa Msemaji wa Polisi, Fred Enanga, Askari hao hao wamefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu, na endapo watakutwa na hatia jeshi...
  2. JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Habari zenu wana ndoa na wenye ndoto za ndoa, Yawezekana umewahi kusikia kauli maarufu sana inasema; "Kosea yote usikosee ndoa" Katika thread hii nitakupa maana halisi na siri iliyojificha nyuma ya kauli hiyo hivyo ukiweza kunitajia tarehe yako na ya mwenza wako na herufi zenu za...
  3. JamiiForums Tanzania Simbachawene, kabla hujaapishwa huko kwingine tuambie yalikoishia Maagizo yako ya kumkamata Nabii Mwingira

    Ni vema viongozi tukajifunza kumalizia yale tuliyoyaanzisha kwenye maeneo tuliyotoka kabla ya kuhamia kwingine. Mtukufu Simbachawene kwa kishindo kikuu, ulitoa maagizo kwamba Mtume na Nabii Mwingira atafutwe Popote alipo na ahojiwe kuhusiana na kauli zake kuhusu kunusurika kuuawa mara 3 na...
  4. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkamata ugoni dada yako?

    Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mume wake unaweza kumkamata ugoni? Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
  5. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??

    Habarini magreat thinkers Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??
  6. JamiiForums Tanzania IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

    Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe. Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa...
  7. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Jeshi la Polisi nchini likamvumulia "gaidi" Mbowe bila kumkamata tokea mwaka Jana walipogundua njama zake za ugaidi?

    Kwa taarifa tunayopewa na Jeshi la Polisi nchini, kuhusu tuhuma za ugaidi zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni kuwa alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, Katika hoteli yake ya Aishi, iliyopo huko mkoani Kilimanjaro, Kati ya mwezi May na August mwaka Jana. Swali la kwanza...
  8. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

    Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga . Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

    Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda. Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…