kumbuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Kama M23 wamefika Uvira, kumbuka Burundi ni kama Tanzania iliyojifia basi Kigoma kuwa mbioni

    Tuanze kwanza M23 ni wa kina nani?. Kuna historia kubwa zimeongelewa hapa JF kuhusu Congo, Rwanda na mambo yanayoendelea. Nasema haya sababu hata Mwigulu alishatuambia tukimbilie Burundi na idara ya uhamiaji kama Mtanzania uwezi kupewa kesi uraia zaidi ya Burundi. Kwa Burundi ndio nchi ambayo...
  2. R

    Kumbuka ulituambia tuhamie Burundi

    Leo unatudhihaki kuwa walio nje hawatupendi. Wewe ulisemamtuhamie Burundi..wewe ndiye unatipenda?
  3. mfungwa

    Gerson Msigwa kumbuka Ukweli ni kitu gani

    Utamwelezaje MTU kwa maneno mazuri ambapo askari anampiga 'mwanamke' anayekimbia risasi. Je, huyo ni Askari aliyepitia mafunzo? Ukumbuke familia zao zipo.
  4. Sales man

    Welcome back TAL in political Arena. Ila, kumbuka Adui yako mkubwa bado yupo HAI, you used to offend the wrong enemy

    Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia. Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy. Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa interest zake. Kitu ambacho nakupa Kama ushauri wewe na wasaidizi wako make sure Una follow ur instinct...
  5. BLACK MOVEMENT

    Tuwe makini na sakata la Gwajima, huenda ni Move ya CCM ili atoke aende ACT akagombee Uraisi, kumbuka ya Membe

    Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana. Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na...
  6. KIXI

    Tazama hii video: Mtoto anampiga mama kisa analazimishwa kusoma — Maoni yenu ni yapi?"

    Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapu
  7. Fbn

    Mbona kama mambo yanajirudia!

    Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu. Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye. Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja kumfanya kama alivyofanyiwa IDD amin. Kumbuka hata ZNZ ilisaidiwa na mtu wa Uganda.
  8. Doji MD

    Ukisadiwa kumbuka kushukuru

    Mwamposa kajitahidi mpaka mmetoboa lakini hata shukrani hamjampa, Ubingwa mtausikia kwenye bomba
  9. R

    Nyie wenye madaraka kumbuka: The Evils that men do live after them

    Mulilo, kuna hukumu ya Mungu inakusubiri, Samia hatakuwepo, utajibu wewe mwenyewe Bado una muda wa kurekeisha kasoro! na nyie polisi pamoja na kwamba mnatii amri, chukulia mama zenu , ndugu zenu wa damu for clarity , wamekuja kwenye kesi ya Lisu mahakamani, mtawapiga na kuwapeleka Mabwe...
  10. winnerian

    Kwa vigogo wote wa serikali na wananchi kwa ujumla

    Kumbuka, umekuwa ukijulishwa vitu vingi; umekuwa ukipewa taarifa nyingi kabla ya wewe kutenda au kutendewa chochote. Umejiaminisha kuwa hakuna kitu chochote kibaya au kizuri kitakachokupata bila wewe kuwa na taarifa ya mapema. Lakini, wakati wako wa kuaga dunia ukifika—muda wa kufariki...
  11. 05CUBA

    Wanaume hatupendi wadada wanaojiremba kupitiliza

    Moja kwa moja kwenye point... Nikiongea kwa niaba ya wanaume wote wenye akili sawasawa ......(Excluding all madmen) Ndoto yetu ya pamoja Kila mwanaume ni kuwa na mke anaesuka twende kilioni nzuri ... Af ngozi ya kichwa ionekane pale kwenye vile vinjia njia vile. Sio ubahili Ila ndo ndoto yetu...
  12. Fbn

    Bwana Lucas Mwashambwa kumbuka internet nayo inatunza ujinga na uongo

    Lucas Mwashambwa Shukuru sana utimize umri kama Wassira ili ukiwa unayapitia maelezo yako ushindwe kufuta labda ukapige bomu internet ilipotokea. Mada zako sasa ni lugha gongana haya tunauza nje kwa kununua umeme nje...
  13. Kitambi chakufutia tachi

    FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  14. Daudi Kempu

    Iambie Dunia kwanini uliumbwa

    Pengine hadi sasa hujui, wala hujawahi kufikiria kuwa; wewe ndo hayo mabadiliko unayotamani sana kuyaona duniani. Kwa namna moja ama nyingine, umekuwa ukijichukulia kuwa mfinyu na usiye na nafasi kabisa ya kuibadilisha dunia hii. Swali ni! KWANINI ULIUMBWA? Kwanini ulikuja katika hii dunia...
  15. Financial Analyst

    Sawa Mbowe umemfanyia favours nyingi Lissu katika career yake lakininkumbuka ilipaswa afe kwa ajili ya chama, hiyo favour inazidiwa na ipi?

    Nimeona mahojiano ya kikeke na mbowe. Mbowe anasema amemfanyia mambo mengi ya kiutu ili kuboost safari ya mafanikio ya Lissu. Kana kwamba anasema lissu hapaswi kumfanyia hivi kwa maana yuko liable na msaada wake. But dude, this guy almost died for you and your people , hio yote bado haijalipa...
  16. R

    Bwana Lissu, kumbuka kuwa Kwenye msafara wa Mamba, Kenge hawakosekani...

    Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible! Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea kupewa vyeo! ndiyo maana tunasema huwezi kuchukua chama ukampa mhamiaji kama Cecil Mwambe alivyokuwa...
  17. A

    Kocha Fadlu Kumbuka kuwaandaa wachezaji wako kwa mikwaju

    Zipo kila dalili mechi ijayo dhidi ya Walibya ikaisha kwa sare tasa.. Naomba nimkumbushe Mwalimu kwamba, Simba siku hizi imekuwa haina record nzuri pale inapotokea mechi zake kuamuliwa kwa matuta na timu za nje. Hii ni kwasabu makocha wamekuwa wakitoa zero priority kwny ku train timu kwa...
  18. ELI COHEN

    Unapokuwa umefanikiwa sana kifedha kumbuka vyote vitakavyoanza kuja kwako ni kwa hisani ya fedha yako

    Matajiri wa Jf najua mnajionea kwa wenzenu waliona sio mbaya wapendelee nafsi zao na kukuza status zao kwa kutembea na watoto wakali wa mjini. Ila leo hao slay queens wameanza kuonesha rangi zao za ukweli. Wanataka mali zote. Wanataka kile walichokiona kwako ile mara ya kwanza tu ulivyo mwambia...
  19. Bob Manson

    Ni muda sasa sijawahi kumbuka ndoto yoyote niliyoota

    Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni muda mrefu sina kumbukumbu ya ndoto yoyote ile, naota ndoto zaidi ya tatu lakini asubuhi ifikapo...
  20. Kaka yake shetani

    Hivi mtoto wa Jakaya jina limenitoka aliyekuwa mtata sana jina la utani (Majani au Miraji) mara ya mwisho na kumbuka alikuwa USA

    Kabla mzee jakaya ajawa raisi alikuwa na mtoto sema jina limenitoka na kipindi cha watoto pale wilaya kino na maeneo ya makongo watamfahamu huyu. Huyu mwamba miaka ile uwezi kujua kama alikuwa mtoto wa kishua na mpaka mzee wake alivokuwa raisi. miaka 90 kurudi nyuma watoto wa viongozi tulikuwa...
Back
Top Bottom