kulipwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukabila/ubaguzi wazuia wananchi waliyopokwa mashamba kwa matumizi ya jeshi kulipwa fidia monduli

    Eneo la lolkisali monduli awali lilitengwa kwa matumizi ya jeshi enzi hizo waziri mkuu akiwa edward sokoine. Baada ya miaka kadha ikaonekana na serikali wananchi wanaweza kupewa eneo hilo kwa kilimo. Wapo wananchi walipewa rasmi na kupewa hati za umiliki ili kufanya kilimo kikubwa kwenye eneo...
  2. JamiiForums Tanzania Lionel Messi akubali kujiunga na PSG kwa mkataba wa miaka miwili, kulipwa £ milioni 25 kwa mwaka

    Messi (34) amekubali kujiunga na PSG baada ya kuondoka katika Klabu ya FC Barcelona aliyoichezea kwa miaka 21 Inaelezwa atasaini mkataba wa miaka 2 wa thamani ya kulipwa Paundi Milioni 25 (baada ya kodi) kwa mwaka. --- ✍Lionel Messi amefikia makubaliano na PSG kujiunga nao akiwa mchezaji huru...
  3. JamiiForums Tanzania Iramba: DC Suleiman Mwenda aagiza walimu wanaodai fedha za uhamisho na madai mbalimbali kulipwa stahiki zao

    DC MWENDA AAGIZA WALIMU WANAODAI FEDHA ZA UHAMISHO NA MADAI MBALIMBALI KULIPWA STAHIKI ZAO. Na Mwandishi wetu: Mkuu wa wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amewaagiza maafisa Elimu msingi na sekondari kuwalipa walimu wanaodai stahiki zao mbalimbali. DC Mwenda ameyasema hayo wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…