kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon. Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile 1) Tiger 2) Simba 3) Leopard, Cheetah (chui) 4) Mamba 5) King cobra, Black mamba nk. 6) Honey badger...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaomchukia Manara wanaumia zaidi kuliko Manara mwenyewe anavyoumia kuchukiwa na wengi

    Majeneza fc labda nikusaidieni juu ya jambo hili huenda mkapoza nyoyo zenu kidogo. Huyu Manara ni kisu mlichokitengeneza wenyewe Leo kinawakata. Hivi alivyo Manara ndivyo alivyo tokea zamani enzi hizo anakabiliana na Jerry Muro mheshimiwa Sasa hivi. Jerry Muro alikuwa msemaji wa mpira pekee...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ahueni: Kumbe vlach magic uchawi wa serbia ni mkali kuliko voodoo

    Oh asante sana aisee , I hope kijana wetu Dejan anatumia hii Vlach magic ya huko nchini kwao unaambiwa ni uchawi hatari hata voodoo ya wa benin na wa haiti inasubiri Sasa ajaribu kinyago yoyote kumloga kama kombora halijamrudia apoooze mwili kabisa Hatari sana unaambiwa the story goes back...
  4. JamiiForums Tanzania Bashungwa- " Tuko tayari kufia 'site' kuliko kumuangusha Rais". Huwa wanatamka haya Kwa kulinda Kibarua au Hofu tu?

    Wakuu tuendelee kuchapa Kazi.. Naomba kuuliza hivi kutamka maneno kama hayo inakuwa ni kuhofia kutumbuliwa au kuna kingine? Haya maneno yalikuwa yanatamkwa Sana kumpamba Jiwe sasa sijui kama na awamu hii inayafurahia.. Hizo lugha ni kuonyesha Utukufu kwa Binadamu badala ya Mungu. Tuwe na...
  5. JamiiForums Tanzania Bongo kila kitu kinawezekana, Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani Kaoneka ambaye ndiye bingwa

    Bongo kila kitu kinawezekana. Mandonga kawa maarufu kuliko hata Shabani kuoneka ambaye ndiye bingwa wa pambano.
  6. JamiiForums Tanzania Afande Sele: Bondia Karim Mandonga alikuwa baunsa wa kundi letu, alipenda msosi kuliko bia

    Zamani bondia Karim Mandonga alikuwa 'baunsa' wa Watu Pori, kundi la Afande Sele. Alikuwa anapenda msosi kuliko bia, kila wenzake wakiagiza bia moja naye anaagiza sahani ya chips. Afande Sele anasema Mandonga mtu wa kazi kweli.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jicho la tatu Kuzimu iko/ndiyo Tanzania. Maana maovu yanapendwa kuliko mema

    Acha niorodheshe baadhi ya maovu yaliowahi kufanyika ama yanayofanyika hapa Tanzania na kushangiliwa au kunyamaziwa na jamii. 1. JPM alivunja katiba hadharani ktk Mambo mengi sana , watanzania kimyaaa!!! Sri Lanka na Sudan wameweza 2. Mwgulu amewahi kutoa kejeli kwa watanzania kuwa asiyetaka...
  8. JamiiForums Tanzania Traffic Police wa Tanzania wanasababisha ajali kuliko kupunguza

    Huu ndio ukweli mchungu sana.... Unamiliki chombo Cha usafiri? Wewe ni Mtu makini wakati wa Safari? Basi utakubaliana na ukweli huu. 1. Traffic Police wetu wamegeuka wakusanya mapato badala ya Usalama kwanza imegeuka Mapato kwanza. Ndio maana hushangai kusikia taarifa ya Jeshi la Police...
  9. JamiiForums Tanzania China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

    China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa cha japani ambacho ni karibu sana na Taiwan ,yani kiufupi Taiwani wamejiweka sawa. Changamoto...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini Kanda ya Ziwa ina Kiwango kikubwa cha Ugonjwa wa Cancer kuliko Maeneo mengine?

    Wakuu hili swali nauliza kwa wema kabisa. Kuna kiwango kukubwa cha wagonjwa wa Cancer kwa upande wa kando kando ya Ziwa Victoria kuliko maeneo mengine nchini. Mtakumbuka hata Mama Samia alieleza nia ya Serikali kujenga kituo kikubwa Mwanza chenye kutoa matibabu ya Cancer Sasa najiuliza: 1...
  11. JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane. Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda. Miongoni mwa walio hudhuria ni...
  12. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Udhibiti mahiri wa miradi ya Taifa ni Bora kuliko kumpa muwekezaji

    Mara kadhaa tumekuwa tukiona mali zilizokua chini ya serikali hapo nyuma zikikabidhiwa kwa wawekezaji kwa mikataba mbalimbali kuhakikisha zinaleta matunda kwa taifa. Unadhani ni kwanini miradi na ardhi iliyokuwa ikisimamiwa na serikali badae hukabidhiwa kwa wawekezaji? Naam JIBU ni kwamba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

    Jamii ya watanzania wanavyoelewa ni kwamba kazi ya ualimu ndiyo yenye mshahara mdogo kuliko kazi zingine zote. Hivyo hii imepelekea hadhi ya mwalimu kwenye jamii kushuka sana na mwalimu kuhesabika kuwa ni duni katika jamii. Lakini hii si kweli hata kidogo. Msichana akitaka kuchumbiwa na mwalimu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Kama hali imeboreka semeni kwamba sasa hivi ni bora kuliko ilivyokuwa, mkisema sio tunanyong'onyea

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo. "Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Bora sisi kuliko wao, Kama vipi, vipi tu

     Katika mazingira ya kawaida tunayoishi katika jamii yetu Kuna dhana ambayo imejengeka kila kizazi kujiona bora kuliko kizazi kingine hapa nazungumzia kizazi Cha zamani kinachoishi mpaka Sasa na hiki Cha Sasa ambacho kinajiita Cha kidigitali. Kizazi Cha zama za nyuma kinajivunia kwa kusema kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ambao hawakumtaka kwenye chama chake huenda walimjua vizuri kuliko sisi

    Kuna tetesi nyingi baada ya msiba wa baba, baba wadogo na marafiki wa baba waliweka vikao vya siri. Wakipinga katakata mama asiwe msimamizi wa mirathi. Wakisisitiza uwezo wake ni mdogo kuongoza nyumba kubwa yenye watoto watukutu. Ila wajomba wakongwe walimkingia kifua. Wakiamini kuwa baba...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu mwalimu amemsujudu huyu kijana kuliko anavyomsujudu Mungu wake

    Huyu dogo badae utasikia anapewa Ukuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa, au Kamanda wa Polisi kisha IGP, unajua hii nchi ina us****** mwingi sana sijui tutakomeshaje haya mambo. Huyu Mwl nina uhakika hata Mungu hamsujudiii hivi kama alivyosujudu hapa INATIA HASIRA SANA
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF

    Huu ndiyo ukweli Mchungu 1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake. 2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa Simba na Jerry Muro akiwa Yanga ilikuwa burudani murua sana. 3. Japo Haji amefungiwa lakini namsihi...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

    Siyo kila mwajiri huwa anahitaji watu nguli katika fani! Kutokukizi vigezo ni moja ya CV inayoangaliwa zaidi na baadhi ya waajiri hususani nchi za afrika! Nawakumbusha Vijana wakati mnapojitutumua kupandisha mabea CV mkumbuke pia hata CV mbovu na dhaifu INALIPA ZAIDI! Hii mada haihusiani na...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo usio na tija, maumivu yake ni majuto

    Nilikua nasoma kitabu, nikakuta sehemu muandishi anasema, mwanajeshi anaenda vitani sio kwa ajili ya kuua adui bali kwaajili ya kufia nchi yake. Likanijia wazo la ni kwanini mwanajeshi anaapa kufia nchi yake na sio kuishi kwaajili ya nchi yake (to survive for his/her country). Na je akifa vitani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…