kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha asomae na afahamu ujio wa Mungu utakuwa wa haraka kuliko inavyodhaniwa

    Ufunuo wa Yohana 22:10-21 10 Akaniambia, Usiyatie muhuri maneno ya unabii wa kitabu hiki, kwa maana wakati huo umekaribia. 11 Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa. 12 Tazama, naja...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

    Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k. Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
  3. JamiiForums Tanzania We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  4. JamiiForums Tanzania We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  5. JamiiForums Tanzania Kipa wa Simba anachezeshwa mpira kuliko straiker, winga na kiungo

    Hapo vip!! Katika pita pita mitandaoni nimekutana na andiko kama hili nikaona inaukweli mkubwa sana. Mimi nimshabiki wa Simba ila sijawahi kuelewa huu mpira wa kurudisha nyuma unaochezwa na Simba,ni mpira wa kipxmbavu na wa ovyo sana kwasababu imekuwa ikitugharibu mara nyingi. Yaani kipa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la Maria Space ni bora kuliko la Tulia- Tanzania

    Yaani ulisikiliza Maria space ndiyo utajua kuna watanzania wengi tu wenye akili na hoja. Watanzania wanajadili mambo ya msingi kuliko bunge ambalo ni bunge la uchawa na kusifia tu. Hakuna mjadala wa maana kwa sasa. Kama unataka kujifunza na kuelewa Tanzania ni hapa Jamii na Maria Space. Je kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa usajili wa mpanzu ndiyo hasara kubwa kuliko yote ligi kuu

    I salute you kinsmen Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao zinaona aibu kuwavunjia mkataba. Huyu Mpanzu ndiyo garasa kuu kuliko mengine maana ameletwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi husikiliza marafiki zao wa kiume zaidi kuliko wapenzi wao linapokuja suala la mahusiano. Lakini je, hii ni sahihi?

    1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa marafiki. 2️⃣ Si marafiki wote wanatoa ushauri mzuri. Wengine wanakupa maoni kutoka kwenye uzoefu wao...
  9. JamiiForums Tanzania Vita vya kibiashara vya Trump ni hatari kwa Marekani kuliko vita vya silaha ilivyopigana na inavyoshiriki mataifa ya nje

    Katika vita vya silaha taifa la Marekani limetia hasara kubwa maeneo mengi duniani na hawajawahi kushinda hata sehemu moja. Wamepigana Afghanistan na hatimae wakashindwa na kukimbia mbio nyingi.Iraq nako ni kama hivyo.Libya mpaka balozi wa Marekani aluliwa ubalozi wao ulipochomwa moto. Ukienda...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba tuweke mambo sawa Rwanda wahutu ni wengi kuliko watusi. Hii ni kwa wale ambao tumewahi fika Rwanda

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Nimeona nije hapa niweke mambo sawa Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi sana kuliko watusi Robo tatu ya watu wa Rwanda ni wahutu Asante sana kwa kunisikiliza Sisi wafuasi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

    1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe 2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani. 3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja Naona hili dogo la Dr...
  12. JamiiForums Tanzania Coding DEEPSEEK ni bora kuliko CHATGPT!

    Habari wa coding. Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI since 2021 na nimetengeneza project kadhaa kwa kutumia CHATGPT . Coding imekuwa rahisi nowadays kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

    Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini? Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Museveni hotuba zake nyingi zinaleta sense kuliko za marais wengi wa Afrika!

    Wakuu, Kama utakuwa umefatilia speech za huyu mzee utakuwa umegundua kitu. -Anaongea kwa masihara lakini ujumbe unaokuwepo ni mzito na unaleta sense. 📌Sikia akiongelea mgogoro wa waarabu wa Sudan 📌Akiongea kuhusu ukabila uganda 📌 Yaan unacheka lakini ujumbe pia unafika NB: Mimi si shabiki...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzanite ni Adimu kuliko Almasi; Tofauti ya Bei ni Promotion na Huenda Bei yake ikazidi kupaa

    Kuna mambo huwa nikawaza na kuwazua naona vitukuu watatushangaa Sana..., De Beers ameweza kupata pesa nyingi sana na kuwa Kampuni kubwa ambayo ni (Cartel) kwa kuweza kuwaaminisha watu kwamba Almasi ni Adimu sana na inapatikana kwa shida na sehemu chache sana (Ingawa ukweli Almasi ni nyingi ila...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuzuiwa kwa Press ya Chadema ikawa ajenda kubwa kuliko mkutano wa Nishati; Watu wanapenda mambo yasiyo na tija

    Mitandao ya kijamii imeanza kusambaza kwa kasi taarifa za kuzuiwa kwa mkutano wa Mnyika. Mjadala umeanza kupamba moto na taarifa za mkutano wa Nishati zimefifishwa. Je tunaamani na kizazi hiki kinachopenda kujadili na kusambaza taarifa ndogo ndogo kuliko taarifa za maendeleo ya bara la Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania CCM ya Samia. Wasira, Nchimbi, Makala imepoa kuliko CCM zote

    Kama hawa ndio mboni ya CCM hadi August 2025 watabaki walamba bendela kwenye CHAMA. Kama chama kinataka kuendelea kuongoza kifanye u-turn mapema sana. Kilete watu wenye mchakamchaka na wanao jua kubadili hari ya hewa. Sasa hivi CCM imepoa sana. Hata wana CCM wenyewe wakongwe hawaelewi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

    Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu...
  19. JamiiForums Tanzania NIi kweli umeme Zanzibar ni rahisi kuliko Tanganyika?

    Nimeona Habari ya kushuka kwa bei za umeme Zanzibar, ndio nikashtuka kua kumbe tokea siku nyingi umeme Zanzibar NI Rahisi kuliko Tz bara. Je umeme si unatoka huku kwetu? Nini shida mpaka Sisi tunyonywe Unit inauzwa ghali ?
  20. R

    JamiiForums Tanzania CCM kwanini tumeona ni muhimu kuweka pazia kuliko mlango?

    Upo wakati siasa zinahitaji milango kuliko mapazia. Upo wakati mitikisiko ya milango inakufanya uchague zaidi kuweka pazia kuliko kuweka mlango. Upo mtikisiko mkubwa ndani ya CCM uliopekea wanafalsafa kubainisha umuhimu wa pazia kuliko kuendelea kung'ang'ania milango ambayo wakati mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…