kulaumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania NIONAVYO: Michezo ya ligi NBC baadhi kuchezewa Amani stadium, Bodi ya ligi sio wa kulaumiwa:

    Kumekuwa na songombingo kuhusu baadhi ya Michezo ya ligi ya NBC Bara kwenda kuchezewa katika uwanja wa Amani Zanzibar. Mjadala umekuwa ni mpana. Suala hili lilianza pale Simba walipokuwa wanatafuta uwanja wa kuchezea baada ya Lupaso kufungwa na Simba kutotaka kutumia uwanja wa Azam Chamazi...
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania WIMBI: Ujauzito kwa mabinti wadogo chini ya miaka 18; nani haswa wa kulaumiwa?

    Nimeona rais Samia akiwa huko ziarani akieleza ni namna gani ameshangazwa na kukuta wamama wazazi (watoto) wodini. "Nilipokwenda kwenye wodi ya kinamama, na hasa watoto ambao hawajatimia,nimekuta mmoja tu ndio mpevu...lakini wengine wote ni kutoka miaka 15-19, niombe sana, wapeni nafasi watoto...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mateka 70 kwa kusitisha vita siku 5. Nini faida na hasara ya utekelezwaji wake?

    Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza. Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa...
  4. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Kupotoka kwa maadili Serikali inastahili kulaumiwa

    Kupotoka kwa maadili mara nyingi lawama wanatupiwa wazazi na utandawazi, lakini ebu tuangalie wajibu wa serilkali kwa maana ya mhimili wa utawala wenye mamlaka ya kusema hii sawa na hii hapana. Majuzi nilikuwa naangalia kipindi cha mkutano wa wadau wa madini kilichofanyika Geita ilinipa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

    MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania. Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Minjingu na Bashe nani wa kulaumiwa suala la mifuko 776 ya mchanga ikiuzwa kama mbolea kwa fedha za ruzuku ya Serikali?

    Uongozi wa Kampuni ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbolea ya Minjingu Mines and Fertiliser Limited (MMFL) umefafanua kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Kampuni hiyo kuhusu upatikanaji wa mifuko 776 ya mchanga kwenye ghala lake lililopo mjini Njombe na kusema Kampuni hiyo haijawahi kufanya...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Mgunda ndiyo mtu wa kwanza anayefaa kulaumiwa kwa matokeo mabovu Simba

    Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi. Falsafa alizokujanazo Mbrazili toka mechi ya kwanza ni kasi, kutumia wachezaji wote, kufanya sub mapema sana akiona anakosea, ila...
  8. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia si wa kulaumiwa mpaka sasa

    Salamu, Bila kumung'unya maneno katiba yetu ni tatizo la msingi sana, hata huu ugumu wa maisha ni zao la katiba wengi hawawezi kuelewa hapa. Kwa kiwango kikubwa haya magumu tuliyo nayo Sasa ni matokeo ya uvurugaji wa yule aliyepita, na ukweli ni kwamba tutaumia Kwa zaidi ya miaka 15 Wenye...
Back
Top Bottom