Aisee wakuu,...ndugu yenu saivi yapata siku ya nne silali kwa amani kabisa.
Siku ya jana nikiwa tayari nimesinzia nilishtushwa na kitu ambacho kilikuwa kinanitambaa mkononi kinaanzia kwenye vidole hadi begani.,bhasi nikashtuka nikarusha shuku,nikajipangusa kwa kiwewe huku naweweseka,,nikawaza...