kula nyama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni hatari kiroho kula nyama zilizogawiwa siku ya Eid El adhaa

    Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani, Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito...
  2. Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
  3. B

    Ni kwanini? wachina wanaweza kula nyama ya Kila na aina wapo vizuri tu?

    Inashangaza sana wakuu, Wachina, kwenye cafes, na restaurant zao wana kila aina ya nyama🥶 👉Wapo fit physically 👉Wanafanya vumbuzi nyingi 👉Wana 1.4 billion 👉Watoto wanaozaa wapo vizuri mentally Africa nchi nyingi zina ubaguzi wa vyakula lakini, bado hatuwafikii wachina kiafya ata thinking...
  4. Jumuiya ya Afrika Mashariki imzuie Kagame kunywa damu ya wakongo, na kula nyama zao katika vita ya Mashariki mwa Kongo

    Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki. N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
  5. E

    Tuendelee kula nyama ziko chini

  6. K

    Kula nyama sana kunasababisha kutoa ushuzi unaonuka?

    Wakuu wa humu mko vizuri? Ebana jana kulikua na sherehe somewhere ya jamaa yangu, yani me toka asubuhi ilikua ni nyama na pombe tu. Sasa leo nimeamka, kila nikijamba natoa shuzi linanuka sio poa. Hivi kuna uhusiano wa kula nyama na kujamba mashuzi yanayonuka kiasi hiki?
  7. Kesho sili nyama

    Kesho sili nyama kabisa tena kwaanzia sasa hivi. Msimamo wangu hupo pale pale jinsi nilivyofunga sikula chochote siku mbili mfululizo Idii mos na iidii pili. adriz hydroxo Accumen Mo Jagina incharge ielewemitaa Malaria 2 Adiosamigo shadrackAmri
  8. Je Mwislam kula nyama iliyochinjwa na Mkristo ni dhambi?

    Hapa Monduli, wanachinjwa ng'ombe wasio na idadi, mbuzi na kondoo kwa fujo. Wachinjaji ni wenzetu Wamasai, wanyama wanachinjwa kimila hamna kugeuziwa Quibla, wala MAKA, hamna cha Bismillah al-Rahman al-Rahim wala nini. Watu kama wamejitoa ufahamu wa mafundisho ya vitabu vitakatifu, ni mwendo wa...
  9. M

    Dar: Washindwa kula nyama krisimasi bei imepanda Kg Sh 11000. Chalamila hajaliona hili?

    Nilikuja hapa kununua nyama leo sikukuu watoto wakale lakini nimekuta bei zimebadilika hadi elfu 11 kwa kilo, naomba serikali itusaidie udhibiti wa bei ambazo zinapanda mara kwa mara.”- Dickson Kitanda, Mkazi wa Mwananyamala
  10. Ukianza kula Nyama ya mtu huwezi kuacha

    Kumekucha tena, siku hazigandi, waliyoyatenda yanaenedelea na yatakula hadi shoka. Kama shoka ikichomeka usidhani mpini utabaki salama, Time will tell. CCM msipotubu dhambi hii itaendelea kuwatafuna na kamwe hamtapata amani. Yajayo wala hayafurahishi.
  11. Mtu mmoja auawa India kwa kula nyama ya ng'ombe

    Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila mmoja hamtambui 'mungu' wa mwenzake. Police in India have arrested three men in eastern Bihar state...
  12. Njombe marufuku kula nyama ya nguruwe.

    Serikali Wilayani Ludewa Mkoani Njombe imepiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe, kuingiza mfugo wa Nguruwe pamoja na kutumia mazao yoyote ya Nguruwe ikiwemo Damu, samadi, mifupa na nywele kwa muda usiojulikana isipokuwa kwa idhini ya Daktari wa mifugo wa Wilaya hyo. Taarifa iliyotolewa na...
  13. M

    Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

    Nataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae. Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka...
  14. Songwe: Aua kisha kuula nyama mwili wa marehemu

    Lazaro Adamsom mwenye miaka 40 mkazi wa Songwe, anatuhumiwa kumuua Berta Shugha mwenye miaka 69, kisha kuukata kata mwili wake na kuuchoma kama mishkaki, kisha kuila. My Take: Tunapoelekea panatisha sana. ---- Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke...
  15. Meru, Kenya: Zaidi ya watu 100 wakimbizwa hospitali kwa kula nyama ya ngamia aliyekufa

    Zaidi ya watu 100 walikimbizwa Hospitali baada ya kula nyama ya ngamia aliyekufa. Baadhi ya watu wakiwemo watoto wamelazwa katika hospitali ya Nyambene na wengine walitibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Daktari aliyewatibu amesema walikula Nyama ya ngamia ambaye nyama yake haikuwa salama...
  16. Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

    Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana. Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
  17. Wakazi wa Dar kufaidi TAWA-Weekend bash ya kula Nyama Pori zilizochomwa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Meja. Gen. (Mstaafu) Hamis Semfuko, ameyasema hayo Mkoani Dar Es Salaam 10 Septemba 2022 alipokuwa aliongea na Wanahabari kwenye hifadhi ya pori la akiba la Pande (Pande game reserve). Amesema Wakazi wa...
  18. D

    Ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kulamba na kunywa mchuzi wake utakuwa hauna kosa?

    Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni? Case study Haji manara! Sikio la kufa! Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum...
  19. L

    Wimbi la watoto kutoa shuhuda za kutisha zinazohusu uchawi wa kuua na kula nyama za watu

    Wanapendwa, Watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 6 mpaka 12 asilimia kubwa wasichana kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitoa shuhuda za kujishughulisha na uchawi katika kanisa maarufu lilipo Dar es Salaam. Katika shuhuda hizo watoto hao hukiri kujihusisha katika vitendo vya kichawi vya kuua watu na...
  20. Msaada: Naharisha kila nikila nyama yenye mafuta

    Ndugu zangu madaktari wa jf nina shida kila nikila nyama nyenye mafuta nakua naharisha sana. Mfano jana nimekula nyama ya mbuzi iliyopikwa mchuzi nimeharisha mpaka damu. Naombeni msaada jamani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…