kula nyama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mayova

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naharisha kila nikila nyama yenye mafuta

    Ndugu zangu madaktari wa jf nina shida kila nikila nyama nyenye mafuta nakua naharisha sana. Mfano jana nimekula nyama ya mbuzi iliyopikwa mchuzi nimeharisha mpaka damu. Naombeni msaada jamani
  2. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Polisi nchini Nigeria wawakamata watu 4 kwa ''kula nyama ya watu''

    Polisi katika jimbo la Zamfara Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria wanasema wamewakamata watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu za binadamu- jambo ambalo ni nadra sana katika eneo hilo. Kamishna wa polisi katika jimbo hilo Ayuba Elkanah aliwaambia waandishi wa habari...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

    Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri. Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
  4. hata mimi

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote kula nyama ya mnyama aliyeuawa kwa sumu?

    Kuna kuku wangu hapa amekula sumu ya panya nikamkuta amelegea nikamuwahi kumchinja sasa hapa mguu nje mguu ndani kuhusu kumla. Yaani kuna akili inanijia nimuepuke wakati huo si mara ya kwanza kula nyama ya namna hiyo basi nachanganyikiwa tu. Nimeshakula nyama zilizotokana na ajali ya kugongwa...
Back
Top Bottom