Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imeripoti kufanikiwa 94.3% katika malengo ya kukusanya Tsh. Trilioni 5.462 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2021/22
Taarifa imesema hiyo ni sawa na ukuaji wa 17.4% ambao umechangiwa na ukuaji wa ulipaji kodi kwa hiari hasa kwa wachimba madini na mawasiliano na...
Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi.
Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni.
Mimi naishauri...
Kuwepo kwa teknolojia za kisasa kumesaidia kuleta mapinduzi makubwa kupindukia katika ukusanyaji wa mapato katika mataifa yao ya Ulaya.
Hawa jamaa zetu wamefanikiwa kupunguza cash transactions kwa 80%, hivyo kusababisha fedha zote kuingia katika mfumo sahihi hivyo kukatwa kiasi kidogo cha kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.