Habari zenu, Assalam alaykum, Shalom.
Baada ya kumshuru Mwenyezimungu, shukrani zangu za dhati ziende kwa admini wa group kisha kwa wanakundi kwa support muliyonipatia kijana mimi wa miaka 25 nilipoandika andiko langu la kwanza la Kutafuta muwekezaji. Nashukuru nilifanikisha kupata na biashara...
Nicomed Bohay - EFTA
Taasisi ya fedha Equity for Tanzania (EFTA) imezindua hatifungani ya Sh50 bilioni kwa ajili ya kukopesha vifaa vya killimo, usafirishaji na ujenzi.
Akizungumza katika uzinduzi huo leo Februari 10, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Nicomed Bohay amesema kuwa wamefikia hatua...
Russian gold reserves break record
The country’s bullion holdings were valued at $402.7 billion as of early February
The value of Russia’s gold reserves has reached an all-time high, exceeding the $400 billion mark, according to statistics released by the country’s central bank on Friday...
Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu wananchi.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewashangaa Halmashauri wanaotoza kodi na ushuru mkoani humo kwa kuendeleza taratibu zisizo na uhalisia, hususan kwa wafanyabiashara na wakulima wadogo.
Akizungumza na Madiwani pamoja na Halmashauri, Mtaka alisema: “Mtu analima mpunga, anapiga maombi mvua...
Email na website haijitegemei kwamba isifungamane na upande wowote ili sasa tume itoe taswira ya kilichotokea pasi na kuegemea upande wowote. Sasa kinachoonekana ni Dulla anamtafuta Abdalla. Maana anayetuhumiwa ni serikali so inamtafuta huyo serikali anayetuhumiwa.
Pia inamaanisha kwamba...
Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025.
Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS taarifa za ndugu zao ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu maandamano ya 29 October...
GT
Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana.
Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi...
Moja ya changamoto ya watu wanaotaka hizi nafasi za uongozi kama Urais ni rahisi kuahidi mambo mengi sana mazuri ila changamoto inakuja kwenye fedha za kuyatimiza hayo mambo mazuri kedekede ni changamoto kubwa sana sababu wengi wanashindwa kuelezea ni kwa namna gani watapata fedha za kufinance...
Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa.
Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori.
Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini.
Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini
Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni 1.375 ili kumaliza mashitaka mawili yaliyokuwa yanaituhumu kampuni hiyo kwa kufuatilia mahali walipo...
CCM imetuzuia kufikiri? Yaani nchi iliyojaliwa kuwa na madini ya chuma, lakini wananchi wake wapo bize kukusanya skrepa mitaani.
Yaani hawa waiba misalaba na Kengele za makanisani, au wang'oa vyuma vya madaraja na waokoto vyuma mitaani, kama madini ya chuma tuliyo nayo yangechimbwa wangeishi...
Jinsi ya kukwepa kutapeliwa kariakoo
natoa ushauri kuhusu jinsi ya kukwepa kutapeliwa kariakoo hasa katika biashara, nikilenga maeneo kama KariaKoo soma
1. Fanya Utafiti: Hakikisha unafanya utafiti wa kina kuhusu maeneo ya biashara ili kujua ni wapi pa kuaminika na ni wapi pa hatari.
2. Kuwa...
John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko.
Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe?
Mimi hata...
You know when conducting research and you reach the stage of data collection, as a researcher, unakuwa na uwanja mpana wa kuamua njia ipi utumie. Should you go for primary data, secondary data, or both?
Okay may be let me break them down ili tuelewane kidogo, the moment I say primary data hapa...
Mbunge wa Jimbo la Busokelo,Atupele Fredy Mwakibete ameongoza kukusanywa zaidi ya Shilingi Milioni 27 katika harambee ya Ununuzi wa gari aina ya Coastar ya Kwaya kuu ya Usharika huo.
Akizungumza kwa niaba ya Mgeni rasmi ambaye ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mwakibete...
Habari wana JamiiForums,
Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami).
Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?
Mfano wa huo mchanga ni kama kwenye picha hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.