kuku wa kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mjasiriamali(mfugaji)wa kuku wa kisasa wa mayai kuni supplier kwa jumla niko Arusha mjini

    Habari za mida Nahitaji mjasiriamali mfugaji wa kuku wa kisasa wa mayai Arusha ani supplier mayai kwa jumla imi niko Arusha Mjini, Karibu sana tufanye kazi pamoja
  2. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku wa kisasa tukutane hapa

    Habari wakuu, Khalysh investment tusambaza chakula cha kuku cha aina zote kwa bei ya kiwandani—ubora wa hali ya juu, bei rafiki, na uhakika wa matokeo shambani. 🐔 AINA ZA CHAKULA TUNAZOTOA: 🔹 Kuku wa Nyama (Broilers) ✔️ Starter – kwa vifaranga (ukuaji wa haraka) ✔️ Grower – kuku wanaokua ✔️...
  3. Pehraa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku wa kisasa.

    Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama, Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa.. Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
  4. Madam Ritha Massawe

    JamiiForums Tanzania Sehemu sahihi ya kuagiza vifaranga ni s&q group of international limited

    AINA YA VIFARANGA VINAVYOPATIKANA HAPA S&Q NIKAMA IFUATAVYO 1.VIFARANGA VYA KUKU WA MAYAI -BRAND NI HY-LNE- MIEZI 4- WANATAGA..BOX 280,000 WANAKAA 100 2.VIFARANGA VYA KUKU WA NYAMA - BRAND ZIKO MBILI ROSE WA MWEZI MMOJA...PRICE CHANGES PIA KUNA BRAND YA BROILER TS.900 HAWA NI CHOTALA MIEZI...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kisasa hawatagi, sasa chanzo chao ni nini?

    Jamani kwa wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, nimezoea kuwaona kuku wa kisasa na huwa hawatagi, swali langu vifaranga vyake vinapatikana vipi?
  6. Strong25

    JamiiForums Tanzania Ufugaji kuku wa kisasa

    UFUGAJI WENYE TIJA HABARINI WAKUU #natumai mko njema kabisa _najua humu kuna watu wenye uzoefu mkubwa sana kwenye swala la ufugaji kuku (tamu na chungu natamani sana kuanza ufugaji wa kuku ila sijui chochote kuhusu kuku (target yangu nihawa wanaita kuku wa kizungu)__yan sio wakienyeji mana hao...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Fuga kuku wa kisasa kwa njia ya kienyeji utanishukuru

    Wengi wetu tumekuwa tukiogopa kufuga kuku sababu ya magonjwa.Ni kweli kuku wa kisasa ni rahisi kupata magonjwa. Sababu ya ufugaji wa kuku wa kisasa unaonekana ni mgumu kutokana na maeneo na chakula ila hapa nitaweka kuhusu maeneo. Maeneo ya kufuga kuku yanataka sehemu kubwa kuanzia heka 1...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe na ndoto za kufikirika, za kumbadili kuku wa kisasa kuwa wa kienyeji

    Ninae huyu mtu anaeitwa Hussein Bashe, Kwa mlio karibu nae jaribuni kumuonya kwamba hicho kilimo anachojaribu kukianzisha, kimeshashindwa hata kabla hakijaanza .labda kwa sababu yeye ni mtu anaedhani kilimo kinaendeshwa kwa makaratasi, hivyo anajaribu kutoa mishipa ya shingo kwa kuongea sanaaa...
  9. carnage21

    JamiiForums Tanzania Je, kuna madhara yoyote ya kula nyama ya kuku wa kisasa kwa muda mrefu?

    Habari zenu wana JF, Mojawapo ya chakula kinachotumika na idadi kubwa ya watu hasa mijini ni nyama ya kuku wa kisasa. Je, kuna madhara yoyote ambayo mtu anaweza kupata baada ya utumiaji wa hiki chakula kwa muda mrefu? karibuni!
Back
Top Bottom