Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa.
Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla.
Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa.
Je nitakua nina matatizo kiafya.
Waziri wa elimu hebu litupie macho hili la walimu kuwaadhibu wanafunzi kukosa michango na mahitaji ya shule,kama hao watoto ndio watafutaji wa hayo mahitaji.
Kwanini usimuite mzazi ukamuadhibu kwa hilo kosa la kutomtimizia mtoto wake mahitaji, unamchapa viboko mtoto ana kosa gani?
Pili hiyo...
Imezoeleka kuwa habari za vijijini zinapatikana pale kiongozi wa kitaifa akienda huko huku akiongozana na wandishi wa habari toka mjini kwa ajili ya uzinduzi wa jambo fulani kama vile Kisima, Hospital nk lakini baada ya hapo huondoka zao na kurudi walikotoka bila hata ya kuzunguka na kujua...
Nimepanda parachichi miaka kadhaa iliyopita huko kwetu Kusini, soko ikaporomoka parachichi zikaoza nikakosa pa kuzipeleka nikatamani nifuge Mbwa wanisaidie kula yanapoanguka lakini too late
Najuta kuacha kulima miti ya mbao nikadamganyika na faida ya parachichi bila kujiuliza Kuna viwanda...
DT anaweza kuwa rais kwa mara nyingine tena
Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem
Kristyn Burtt
December 30, 2021·2 min read
Well, it looks like Joe Rogan has created a political firestorm by predicting that former First Lady Michelle Obama...
ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa sana.
MASHINJI utavikwa taji na Mungu kwa kuwaambia akina Seif wasije SACCOS watajuta...
Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo.
Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga
Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu
Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake.
Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguke kiuno na kusababisha asiwe rijali.
Akizungumzia...
Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
Ndugu wana JF,
Nimekuwa naomba kupewa muongozo kuhusiana na hayo malipo ya NSSF. Kwa ufupi baada ya kufatilia kwa muda wa miezi mitatu nilifanikiwa kupewa instalment ile ya kwanza (33.3%) ya basic salary, tarehe 7 mwezi wa kumi.
Kinachonitia shaka sioni update yoyote ya invoice ya pili, kwa huu...
Mikoa 11 ya Tanzania itakosa umeme kwa saa 12 Novemba 15 mwaka huu kutokana na matengenezo yanayofanywa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa.
Umeme utakatika kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 12 jioni ili kupisha...
Mwanasosholaiti Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kukosa kulipia pesa za upasuaji wake. Jumbe zilizopakiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Edgar Obare, Risper alidai kuwa Tanasha alimwendea na kumuuliza kuhusu upasuaji wa urembo na uzoefu wake.
Risper alisema kisha...
Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini.
Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na...
Huu ujumbe umwendee Humphrey Polepole, wenye chuki wote na Mama Samia wakiongozwa na kile kikundi kilichotaka kuigeuza Tanzania nchi ya kikabila na kikanda!
Kwanza poleni sana! Naona mnateseka sana pale Mama Samia anapofanikiwa jambo! Mnajaribu kuzua mambo juu ya mambo ili kumtingisha Mama wa...
Walimu wanaofundisha Shule ya Msingi Gole iliyopo Kata ya Kang’ata wilayani Handeni mkoani Tanga, wameiomba Serikali kuwasaidia ujenzi wa vyoo vya walimu kwa kuwa wanajisaidia na kuoga kwenye vichaka kwa kukosa vyoo bora.
Wakizungumza shuleni hapo juzi walisema kuna muda inabidi waingie...
Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara.
Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka...
Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais,
mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu,
wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema,
yani Chilema msafara wake...