kukodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Natafuta wheeled excavator ya kukodi siku (March 9)moja Bahari beach

    Habari wadau Kuna kazi ya siku moja Bahari beach inayohitaki hiyo Excavator ya matairi kwaajiri ya kukata layer ya kifusi kilichosindilisa
  2. Ex Spy

    PostGE2025 Tanzania kutumia takribani Sh. Bilioni 2.7 kukodi Kampuni ya Marekani ili ‘Kurekebisha Taswira ya Nchi’ baada ya Mgogoro wa Uchaguzi

    Januari 16, 2026 WASHINGTON, D.C. — Ikikabiliwa na uangalizi wa kimataifa kufuatia matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa 2025 ulioharibu sifa yake, Serikali ya Rais Samia imezindua operesheni kabambe ya kujenga ushawishi nchini Marekani. Tanzania imekodi kampuni inayoongozwa na Mbunge...
  3. M

    Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

    Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
  4. M

    GE2025 Askofu Bagonza: Hili la Askari wa kukodi (Mercenaries) lisikaliwe kimya

    Ameandika Askofu Bagonza Kuna mambo ukiyakalia kimya yanaisha yenyewe kwa sababu hayakusaidii wala hayakuumizi. Kuna mambo ukiyakalia kimya hayaondoki yenyewe na ni ya hatari. Hili la Askari wa Kukodi (Mamluki au Mercenaries), LISIKALIWE kimya. Kama ni kweli wapo, WAONDOLEWE mara moja kimya...
  5. Akhi

    Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

    Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu Karibuni
  6. S

    Nahitaji kindau kama hiki kwa ajili ya kukodi

    Nimefikiria suala la kukodi fremu na kuirekebisha ili kuanzisha biashara yangu ya glosari naona ni gharama, bora kipatikane kindau cha kukodi kama hiko. Bei zake zikoje, kwa hicho kindau cha chuma na kile cha mbao
  7. Pharm D

    BIASHARA YA COASTER ZA KUKODI SPECIAL HIRE

    Wakuu habari ya Jumapili; Nina mategemeo ya kupata kiasi fulani hivi cha pesa kinachoweza kununua basi dogo kama coaster/civilian/Rosa, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa hii biashara kuanzia soko, usimamizi, gharama za uendeshaji n.k nione ni jinsi gani ntaweza kujipanga na changamoto...
  8. BigTall

    Mbeya: Seven Kipara ashikiliwa kwa tuhuma za kukodi Watu wamuue mama yake mzazi, risasi yafyatuliwa yamjeruhi Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi. Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Mtoto mwendawazimu hapaswi kupewa urithi. Familia inaweza kukodi mgeni aje atawale watoto mpaka watakapojitambua

    Baba na mama wakipata ajali wakafa au wakafa kwa maradhi huku watoto wao 6 ni watano wadogo na mkubwa mwendawazimu ili kulinda mali yule mwendawazimu akaropoka Mimi siwezi kuongoza aje jirani aongoze wakikua hawa wadogo zangu watachukua mali za baba. Akarudia tena " Mimi siwezi" Jirani akaja...
  10. L

    Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Kwa aliye tayari kunikodishia anitafute tupange biashara
  11. M

    Nahitaji jackhammer ya kukodi

    Napatikana dar nahitaji jackhammer ya kukodi mwenye nayo anicheki 0672704891
  12. RaJhumoR

    Tangazo la Kukodi Frem, Ditopile (Njia ya bonyokwa/Kinyerezi)

    FREMU MPYA ZA BIASHARA – KINYEREZI (Kwa Ditopile) Fursa ya kipekee isiyopaswa kupitwa! Tunakukaribisha kwenye eneo jipya lenye muonekano wa mtaa wa kisasa – mahali ambapo ndoto za biashara zinachipuka! Kuna freimu 9 za biashara zilizojengwa kwa uimara na ubunifu, tayari kwa biashara za kisasa...
  13. B

    Anaejua gharama na taratibu za kukodi ukumbi wa Nkurumah Hall kwa ajili ya social event

    Kwa anaejua gharama za kukodi ukumbi wa Nkrumah Hall pamoja na taratibu zake. With much thanks in advance
  14. James 25th

    Dereva wa kukodi napatikana

    Habari!!! sikukuu za Pasaka zimekaribia, kwa wale wote wenye safari mbalimbali ndani ya Dsm au nje yaani mikoani na wana usafiri BINAFSI wanahitaji dereva nipo kwa ajili yako, Mimi ni dereva professional kwa kuendesha familia na watu BINAFSI, gharama ni Makubaliano Kwa mawasiliano nipigie...
  15. Hhimay77

    Pasaka na magari ya kukodi

    🌸 Pasaka hii safiri kwa mtindo! Magari bora, bei nafuu, madereva wa kuaminika — yote yapo Rhond's Company Limited 🚗✨ 📞 WhatsApp/Piga: +255 655 633 302 🌸 Easter rides made easy! Cruise this holiday with comfort & style — book your ride today with Rhond's Company Limited 🚗✨ 📞 +255...
  16. Hhimay77

    Pasaka 2025 na magari ya kukodi

    🌸 Pasaka hii safiri kwa mtindo! Magari bora, bei nafuu, madereva wa kuaminika — yote yapo Rhond's Company Limited 🚗✨ 📞 WhatsApp/Piga: +255 655 633 302 🌸 Easter rides made easy! Cruise this holiday with comfort & style — book your ride today with Rhond's Company Limited 🚗✨ 📞 +255...
  17. Hhimay77

    Car rentals/Magari ya kukodi

    We don’t just rent out beautiful cars, but we also offer powerful off-road vehicles. Welcome to Rhond's Company Limited for excellent car rental services. Call us or send a WhatsApp message to 0655633302. Sio tu tunakodisha magari mazuri, bali tunakodisha magari ya barabara ngumu yenye uwezo...
  18. Hhimay77

    Car rentals/Magari ya kukodi

    We don’t just rent out beautiful cars, but we also offer powerful off-road vehicles. Welcome to Rhond's Company Limited for excellent car rental services. Call us or send a WhatsApp message to 0655633302. Sio tu tunakodisha magari mazuri, bali tunakodisha magari ya barabara ngumu yenye uwezo...
  19. Hhimay77

    Magari ya kukodi/ car rentals

    Need a ride? We’ve got you covered! From sleek sedans to rugged SUVs, Rhond's company limited offers top-quality rentals at unbeatable prices. ✨ Why choose us? ✅ Flexible rental options ✅ Affordable rates ✅ Well-maintained, reliable cars ✅ 24/7 customer support Book now and drive...
  20. Hhimay77

    Car rentals/Magari ya kukodisha

    Need a ride? We’ve got you covered! From sleek sedans to rugged SUVs, Rhond's company limited offers top-quality rentals at unbeatable prices. ✨ Why choose us? ✅ Flexible rental options ✅ Affordable rates ✅ Well-maintained, reliable cars ✅ 24/7 customer support Book now and drive...
Back
Top Bottom