Habari,
Wengi mlifurahia hasa Simba kugomea Ile game ila ukweli kama Simba alikua anaelewa yupo katika michuano Gani?
Na anataka Nini? Simba angecheza ila game...Ile Derby mi naamini ndio ilikua kipimo sahihi Cha Simba kuelekea game ya Jana, simba alikua anahitaji game kama Ile ya Derby yenye...