kukatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania SHARIA LAW haizuiliki tena huko Uingereza,Watu wataanza kukatwa mikono!

    Sheria za Kiislam( SHARIA LAW ) zinatarajiwa kulazimishwa kufanya kazi huko Uingereza watu wataanza kuzuiwa kula kipindi cha mfungo wezi kukatwa mikono,wauaji kuuliwa kwa kukatwa shingo,na viboko vita tu mika kama waislamu hawa watafanikiwa kuipenyeza sheria hiyo. Uingereza wanatakiwa wawe...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Baba aitaka Hospitali ya Aga Khan imlipe fidia ya Tsh. Bilioni 1.2 baada ya mtoto wake kukatwa mguu

    https://www.youtube.com/watch?feature=shared&v=5DrxCZ8iVZs Mwanaume anayefahamika kwa jina Ally Mkii, Mkazi wa Msongola Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, ameishtaki Hospitali ya Aga Khan iliyopo Jijini Dar es Salaam imlipe fidia ya kiasi cha Shilingi Bilioni 1.2 kutokana na madai yake...
  3. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Waziri Mambo ya Nje ya nchi Dr Balozi Kombo tolea ufafanuzi kukatwa Msaada ya TB, Malaria na UKIMWI kwa Tanzania

    Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa na panga wakigombea goli lilokataliwa uwanjani

    Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya Nyuki FC na Mofwile FC na kuibuka kwa vurugu baada ya timu moja kushinda goli na kukataliwa, hali...
  5. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke auawa kwa kukatwa na Panga, akatwa titi, akatwa sehemu za Siri.

    Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa: Wanaodai kukatwa ni propaganda, Wagombea hawakati Rufaa kama Kanuni zinavyotaka

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa zilikuwa wazi muda wote na wagombea walipaswa kurejesha fomu za maombi. Aidha,amesema kanuni zina ruhusa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaotokana na hasira za kukatwa na vyama vyao na kuhama wachukuliwe kwa tahadhari!

    Huu ni msimu wa siasa za uchaguzi. Ni katika msimu kama huu kunakuwa na maamuzi mengi ya jazba na mihemko kukomoana na visasi. Hali hiyo hupelekea baadhi ya watu kuhama vyama na kujaribu kkukimbilia mahali ambako atapata jukwaa na wakati mwingine akilikosa Hilo jukwaa huanza kuleta nongwa...
  8. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

    ⚡️BREAKING: Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti. Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.
  9. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mtoto wa miaka minne akutwa amefariki baada ya kukatwa mkono na sehemu za siri

    Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na kutokomea navyo kusikofahamika. Siku kadhaa hapo nyuma yameshatukia matukio kama haya mawili ambayo...
  10. Southern Giant

    JamiiForums Tanzania Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo, mamlaka ichuke hatua stahiki

    Wakuu amani ya Mungu iwe nanyi. Kumekua na taharuki kwa wakazi wa Temeke, Tandika, Mbagala na Vikindu kwa ujumla wake. Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo. Majuma kadhaa yaliyopita maeneo ya Mbagala Mgeni nani...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je leseni za biashara nchi nzima kukatwa toka wizarani?

    Nimewahi kumuona Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara akielezea utaratibu wa kupata leseni za biashara kwa mwaka 2024/25. Je leseni zitakatwa toka Wizarani au kuna utaratibu utakaotangazwa na Wizara?.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Fedha za bima kwa wote kukatwa kwenye line za simu, mpango wenu Serikali ni Watanzania tuache kabisa kuwasiliana?

    Wakuu, Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa! Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine kwenye line za simu? Hii siyo ya kukalia kimya! Dunia inapiga kasi kwenye digidali lakini Viongozi wetu...
  13. Championship

    JamiiForums Tanzania Una mshahara wa laki nane, kwanini uchukue mkopo na kuanza kukatwa karibu laki nne?

    Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano. Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanao wa 'La Watu Nchini' wanalalamika kukatwa 'Mawokoto' yao ya July - August bila Utaratibu na Kujulishwa

    Ngoja GENTAMYCINE niendelee kukagua Nguo zangu Makabatini kama kuna ambazo zinafanana nao, ili Hasira zao za Kupunjwa kwa 'Mawokoto' yao Kiholela zisije Kuniangukia na nikajuta Karibuni Ukumbini Kwao MZIZIMA SERVICE PARK Cow Way ili tutizame Mpira pamoja katika Screen yao Kubwa ya Tambara Kuu...
  15. W

    JamiiForums Tanzania KWELI Kimeo sio Ugonjwa. Ukataji wa kiungo hiki unaweza kusababisha Madhara mengi ikiwamo kifo

    Msiwakate watoto vimeo kwa sababu zozote, inaweza pelekea mtoto kupoteza maisha kutokana na kuvuja damu; kama mtoto ana shida yoyote muone daktari atakushauri tiba sahihi.
  16. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Jere Van Dyk: Nilichukuliwa na Taliban mara nilipokubali kukatwa kichwa kitu cha ajabu kilitokea

    Jere Van Dyk alikamatwa na kushikiliwa na kundi la Taliban kwa siku 45 katika eneo lisilo la mtu kati ya Afghanistan na Pakistan, ambapo alikabiliwa na hukumu ya kunyongwa. Kadiri matukio ya kutisha yanavyoendelea, watu kunyakuliwa na kundi la Taliban na kuuawa kwa kukatwa kichwa lazima iwe...
  17. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga bandari kubinafsishwa ni mafisadi wanaogopa mirija kuzibwa na kukatwa au ni wadini?

    Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi, Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu? Kwanini kumkataa mwarabu moja kwa moja? Angekuwa mzungu tungepinga?
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baba wa Mapacha waliochunwa ngozi ya uso, kukatwa Ulimi na kutolewa macho agoma kuzika miili

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu, Isaka Rafael ambaye ni Baba wa Watoto Mapacha waliofariki katika Kituo cha Afya Kaliua na kuzua taharuki baada ya pacha mmoja kuondolewa na jicho na ngozi ya paji la uso macho, amekubali kushirikiana na...
  19. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kama hizi ndio sababu za jina la Mpina kukatwa NEC

    SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo. 1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Serikali na BOT, mbali na watumishi kukatwa mishahara kulipa mikopo yao, watumishi waruhusiwe pia kulipa wao wenyewe waweze kumaliza madeni yao mapema

    Katika vitu ambavyo huwa naviona haviko sawa kwa watumishi, ni hili la Mtumishi kutakiwa kusubiri mpaka makato yote ya mkopo yaishe ndio amalize mkopo wake au kama anataka kumaliza mkopo wake mapema, basi ni kwa mfanyakazi husika kulipa kwa mkupuo mmoja deni lote lililobaki(outstanding balance)...
Back
Top Bottom