kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua wapi naweza pata hiki kifaa

    hiki kifaa kwaajili ya Packaging machine.
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka kujua Chief Godlove pesa anapata wapi leo nitawapa jibu

    Hello! Mara nyingi watu wanataka kujua kijana Godlove pesa anatoa wapi. Wengine wanakwenda mbali na kusema zile si pesa halisi kwamba ni pesa bandia, si kweli. Zile anazopiga nazo picha ni real money. Kama ni pesa bandia na yale maisha ya gharama ya kusafiri na msafara huko na huko anatumia pesa...
  3. JamiiForums Tanzania Is this biological or spiritual? Nisaidie kujua kuhusu issue ya huyu dogo

    Kuna dogo hapa ni mkurya wa kwanza kutokula nyama ya ng'ombe (haha natania lakini) Sasa dogo alikuwa anakula nyama ya ng'ombe alipokuwa mtoto mdogo hadi pale siku moja alikuta ng'ombe alikuwa anachinjwa then dada yake akamwambia nyama tunayokula inatoka kwa ng'ombe huyu, dogo ni akashtuka na...
  4. JamiiForums Tanzania NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  5. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuhusu sisi

    Kuna sehemu sisi jina letu ni viburi kwasababu tu, tulishindwa kuvumilia dharau zao.. Kuna sehemu sisi ni selfish people, wenye tamaa zisizo na kifani, kwasababu tu, tulihitaji maboresho ya maslahi ya jasho letu.. Kuna sehemu sisi ni wavivu na wazembe kwasababu tu, riziki yetu haifanani na yao...
  6. JamiiForums Tanzania Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wenye kujua machimbo ya Kahawa na Korosho tunaomba mtujuze

    Nawasalimu popote mlipo, Kama ilivyokawaida kukosa pesa Kwa watu wengi na kuwa na idea nyingi za biashara, ndivyo ilivyo kuwa kawaida pia kuwa na pesa nyingi afu huna cha kufanya Siku ya Jana nimeona Kwa vyombo vya habari zao la korosho kuuzwa mara mbili zaidi ya bei ya msimu uliopita Pia...
  8. JamiiForums Tanzania Ambao wameoa mwanamke daktari naomba kujua raha na karaha

    Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD). Karibuni
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Maghorofa yaliyopo Tabora

    Nimeishia sana Nzega na Igunga sijawahi fika Tabora. Sijui ni ushamba wangu ila kipimo cha mji kuwa mzuri kwangu mimi ni majengo mazuri marefu. Kwa Tabora kupoje maghorofa marefu ni ya nini yana floor ngapi? Ofisi gani za serikali mpya na je mitaa ya kishua ni ipi huko Tabora kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Machimbo ya sehemu za kuchill pale posta, Vyakula na Vinywaji ni vya bei nafuu

    Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kwamba wanaoteka na kuua wanafanya hivyo kwa maslahi yao bila raisi Samia kujua kwa kuwa wananufaika na uwepo wake madarakani?

    Kuna watu wamemlaumu raisi Samia moja kwa moja kwamba anahusika na utekaji na uuaji unaofanyika nchini kwa sababu kuna viashiria vikubwa sana vyombo vya dola vinahusika katika uhalifu huu. Lakini je, ni kweli kwamba raisi Samia anahusika moja kwa moja na utekaji na uuaji unaofanyika nchini hivi...
  12. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi tembelea @bambalivetz

    Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah.. Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu. Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua juu ya biashara kukoboa na kusaga nafaka (mahindi)

    Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme). Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
  14. JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Roho, Maswali kadhaa ya kutaka kujua ukweli usio na shaka yoyote.

    Great thinkers Habari zenu. Ulimwengu wa roho ni nini kwa kiswahili cha kawaida kabisa, Maswali yangu matatu tu ikiwapendeza naomba mnijibu ? NB; Rejea za vitabu vya dini zitumike panapo stahili, Ila akili yako huru ndio itatukomboa wengi tunaotaka kujifunza juu ya haya maswali. 1...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Miti ya parachichi inarefuka na kuwa myembamba

    Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi Je, nifanyajee?
  16. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Watanzania wajinga nenda Facebook kaangalie wanavyokomenti kwenye habari muhimu na habari za udaku

    Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma. Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

    Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo. Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Naomba kujuzwa hii ni aina gani ya jiwe

    Naomba kujuzwa, hii ni aina gani ya jiwe?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba kujua hili

    Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
  20. N

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kujua jinsi ya kufanya Payroll na tax zake?

    Habari wana JF, Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu. Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi.. Napatikana kwa namba 0657940974 Karibuni sana..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…