kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa urafiki na uswahiba wa Lisu na Msigwa uliodhihirika sasa, haiwezekani Msigwa akahamia CCM bila Lisu kujua

    Ikinyesha utajua wapi panavuja. Matukio ya hivi karibuni yalitokana na Lisu kuropoka hovyo, yanadhihirisha wazi kuwa Msigwa na Lisu had prior communication na Lisu na Msigwa alipewa baraka na Lisu kuwa hama...maybe in the near future tutaungana huko. It is a matter of time! Afadhali...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai

    Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa. CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua nchi hii ina wenyewe, uliza tenda zote za mabilioni za huduma kwenye mradi wa bwawa la Nyerere nani walipewa!

    Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Haka kakitu nakaona mahotelini na nyumba za wageni kazi yake nini mwenye kujua matumizi

    Na mitaani naona vimekuwa vikiongezeka maradufu matumizi yake ni gani ? USSR
  5. JamiiForums Tanzania Kipimo Kujua Kama Nyota yako Inang'Ara, Imefifia au Imeporwa

    Watu wengi husafisha nyota ilhali nyota zao zinang’ara. Wengine hudhani nyota zao zimeporwa kumbe wanazo ila zimefifia tu. Kabla hujasafisha au kurejesha nyota, kwanza fanya kipimo. Faida za nyota yako kung'ara ni: - Kuondoa mikosi. - Kuongeza mvuto katika biashara na kazi. - Kuongeza mvuto...
  6. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

    Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna yeyote anayejua au kuweza kujua ni vigezo gani mwendazake Magufuli alitumia kuwapa mamlaka watu wasiofaa na wanafiki waliojifanya kumuunga mkono?

    Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia na kumchekea wakati nyuma ya pazia walikuwa wakimchukia, kumponda na kutamani afe kama iivyotokea...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anajua madhara ya chawa na uchawa alivyokumbatia bila kujua?

    Chawa wana sifa kuu mbili. Kwanza, ni wanyonya damu. Na pili, hawawezi kuishi bila kuwapo uchafu .Je, Rais Samia alipotangazia dunia kuwa 'waaacha machawa wangu' alijua madhara yake? Je, hakujua na hadi leo hajui? Je, uchawa umegeuka sera ya CCM? Je CCM inafaidikaje na uchawa na machawa...
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Tofauti ya Umri Katika Mahusiano

    Naomba nianze kwa kujieleza, Nitaelezea changamoto katika mahusiano ninayoyapitia, hasa upande wa tofauti ya umri. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1993. Mahusiano yangu ya kwanza yalikuwa na mwanaume aliyezaliwa mwaka 1992. Kama nilivyoeleza mwanzo, tulipishana mwaka mmoja tu, yeye akiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kinganganizi jamani(luba)

    Mwenzenu nimebahatika mwezi sasaa na shangazi kaja moja la znz ananlaza na nje ya nyumba kabisa Yaan limetokea kunipenda hatqree Nikipelekea moto hataki nrudi nyumban tu a spend kama wiki nzima ndio anarudi znz She is sor romantic Lovely Sijui nisemeje Hapa nimekaa nkawaza mwenye kujua dawa...
  11. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

    Amani kwenu Mwendo kasi ni mateso Mwendo kasi ni maumivu Mwendo kasi ni majonzi Mwendo kasi ni utungu Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman YESU njoo Africa tunateseka jaman
  12. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kujua mahali naweza pata nafasi Quality assurance officer

    Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa, Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM. Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha ubora ( Asst lab tech na Quality supervisor) katika kiwanda cha kuchakata samaki ambapo kimsingi...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kujua bei ya kiwanja cha 19 kwa 21

    Habari wakuu, nina kiwanja changu maeneo ya tegeta kituo cha polisi, kina ukubwa wa 19 kwa 21. Hakijakaa square, kipo flat na hakijai maji. Kipo karibu na shule ya msingi na kituo cha polisi Tegeta. Gari inafika vizuri. Kutoka barabari ni dakika 5 kwa kutembea kwa miguu. Sasa nataka nikiuze...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua utaratibu wa kuwa afisa usalama mahali pa kazi Kuna mambo mengi nayashuhudia mazuri na mabaya ila nimekosa platform

    Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali) Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa Mwenye kujua anipe mwongozo
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

    Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye kujua jina la band na wimbo unaozungumzia Nyerere kutembea kwa miguu kutoka Butiama hadi Mwanza kuunga mkono Azimio la Arusha

    Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya: ..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza. Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani.... Ni wimbo wa miaka mingi...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua wapi naweza pata hiki kifaa

    hiki kifaa kwaajili ya Packaging machine.
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka kujua Chief Godlove pesa anapata wapi leo nitawapa jibu

    Hello! Mara nyingi watu wanataka kujua kijana Godlove pesa anatoa wapi. Wengine wanakwenda mbali na kusema zile si pesa halisi kwamba ni pesa bandia, si kweli. Zile anazopiga nazo picha ni real money. Kama ni pesa bandia na yale maisha ya gharama ya kusafiri na msafara huko na huko anatumia pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…