kujikinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moja ya faida kubwa ya mazoezi ukiachana na kujikinga na magonjwa ni, Kukinga viungo vya ndan kupata madhara

    Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine mengi basi faida ingine kuu ni misuli kukakamaa: faida yake niviungo ya ndan vinapata ulinzi wa...
  2. K

    Watanzania wengi bado hawana uelewa wa kujikinga na machafuko

    Chiefs heshima kwenu... 1 Poleni sana kwa kila mmoja aliyeguswa kwa namna moja ama nyingine kutokana na shughuri ya ukombozi wa taifa lenu wenyewe. 2 Nikiri kuwa kuna idadi kubwa ya waliopoteza maisha huku wakiwa si washiriki wa maandamano. 3 Pamoja na hayo ,nimegundua watu wengi hawana...
  3. GE2025 Aise nimejiwa na wasiwasi polisi wetu hawana mafunzo ya kujikinga na adui yaani kajitu kamoja kanapigwa na Askari 20?

    Nimejiwa na wasi wasi sana yawezekana polisi wetu wanalindwa na Magwanda wanayovaa lakini hawana mafunzo ya kutosheleza ya kujikinga na adui Haiwezekani kajitu kamoja kabisa kampige ngumu Moja askari alafu kavamiwe na kundi kubwa la Maaskari walio shikilia malungu seriously ? Yaani Askari...
  4. Ungependa kujua namna ya kujikinga au kutambua kama kuna uchawi dhidi yako?

    Placebo Effect: Mtu anaweza kupata matokeo kwa sababu anaamini yatatokea, si kwa sababu ya uchawi wenyewe. Self-Fulfilling Prophecy: Imani kwamba umelogwa inaweza kukufanya uwe mgonjwa au mkosa amani—siyo kwa sababu umeathiriwa moja kwa moja, bali kwa msongo wa mawazo. b) Ushawishi wa...
  5. Car4Sale Porte ya kujikinga na jua for sale

    Bei/Price TSH 8.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA PORTE Year: 2005 Engine: 1290Cc Mileage: 70,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Alloy Wheels 2-SRS Airbags Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  6. R

    Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Nurdin Babu, atahadharisha jamii kuhusu ngono zembe na kuendelea kujikinga na UKIMWI

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Nurdin Babu ameitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuacha ngono zisizo salama na kutumia kinga ili kuepuka na au kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (HIV):’’Kwani ugonjwa huu bado upo.’’ Mkuu huyo wa mkoa amesema hayo jana Alhamisi, Julai...
  7. Tambua hatari na chukua hatua za kujikinga

    Mit 22:3 SUV [3] Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. Sio ajabu kumwona mtu anakimbilia jambo ambalo ameliona kabisa lina athari kwake, linaweza likawa na athari kwenye maisha yake ya kimwili au kiroho. Tunaweza kuona ni kitendo cha kishujaa ila...
  8. Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi, niliibiwa

    Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi unapokwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi niliibiwa Kwanza unachokisoma kwa watu mbalimbali humu unatakiwa kuchanganya na zako, as long as hakitakuwa na shida upande wako, maana kila mtu ana andika jambo...
  9. MOI yatoa elimu ya kujikinga na watoto wenye vichwa vikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani.

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
  10. L

    Wataalamu wa China watoa maarifa ya kujikinga na magonjwa kwa wanafunzi wa Zanzibar

    Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
  11. M

    Hali ya Maambukizi ya HIV kwenye vyuo vikuu si nzuri na elimu ya kujikinga haitolewi vya kutosha kama miaka ya nyuma 2010 kurudi nyuma

    Kama una mdogo wako wa kike awe makini aache tamaa ya mambo ambayo hana uwezo nayo, kwa sababu mabinti wengi wanaingia kwenye vishawishi vya kutembea na wanaume walio wazidi umri (Sugar dads) ili kupata fedha. Pia mdogo wako wa kiume wa chuo mwambie afunge zipu asome kwani wengi wa wanachuo...
  12. M

    Nchi yetu siyo salama, Tujifunze mbinu za kujikinga na watekaji

    Sasa hivi hali nchi siyo salama, ni vizuri tukaelimishana mbinu za kujikinga na kujinusuru dhidi ya watekaji . Ndugu zangu hawa watekaji ni wauaji, ni makatili na inaonekana serikali ya Tanzania siyo ya kuaminika katika suala hili, Kiufupi imeshindwa kusimamia usalama wa raia. Wananchi wamepiga...
  13. Jinsi ya Kujikinga na Watekaji Nyara

    Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu. Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maafisa halisi wa upelelezi au polisi hawatawahi kuomba ushirikiano...
  14. Katibu Tawala Simiyu: Elimu ya kujikinga na Kipindupindu kutolewa kwa Lugha ya Kisukuma na Kiswahili

    Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Kayombo amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu kutumia lugha mbili ya Kiswahili na Kisukuma ili kuweajengea Wananchi wasijua lugha ya Kiswahili uelewa wa namna ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu. Aidha amemuagiza Mkurugenzi...
  15. Waziri Ummy Mwalimu: Fanyeni mazoezi ya mara kwa mara ili kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kuifanya miili yao kuwa imara na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. Waziri Ummy alitoa wito huo Januari 13, 2024 alipokuwa katika moja ya maduka ya vifaa vya michezo la ‘Just fit’ lililopo Jijini...
  16. Wajue madhara ya Upungufu wa Damu Kwa Mjamzito na jinsi ya kujikinga nayo

    Anaemia/ Upungufu wa Damu kwa wajawazito Je unajua upungufu wa damu huchangia 14.5% ya vifo vya kinamama(Martenal Deaths) Tanzania? Kiasi cha damu pungufu ya 11g/dl uhesabika upungufu wa damu kwa Mjamzito ambapo kikawaida hutakiwa kuwa 11.5 - 13g/dl wakati huu Fuatana nami sasa 👇🏿 Upungufu...
  17. M

    Tabia ya Madaktari kutojuza chanzo na jinsi ya kujikinga magonjwa

    Kwanini asilimia kubwa ya madaktari siku hizi hawatoi taarifa za ndani kuhusu ugonjwa, kama jinsi ya kujikinga na Chanzo cha ugonjwa. Wamekuwa wakitoa dozi tu wakati mwingine hata tatizo hujuzwi vizuri
  18. Tahadhari zipi zinatakiwa kujikinga na kimbunga HIDAYA

    Mamlaka ya hali ya hewa imetutadhalisha juu ya janga la kimbunga hidaya kinachowasili hapa nchini hivi karibu Binafsi sielewi ni tahadhari zipi nichukue 1. Tusisogelee maeneo ya bahari? 2.Tusiwe kwenye misongamano ya watu? 3. Tusikae milimani? 4. Tuandae chakula cha kutosha? 5.mavazi yaweje...
  19. Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel. Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya...
  20. Acha kujirekodi video za utupu, zikivuja msambazaji wa kwanza ni wewe!

    Ikitokea jambo lako limesambaa ujue kabisa msambazaji wa kwanza ni wewe! usingejirekodi wengine wasingepata nafasi ya kusambaza, unatoa mwenyewe mwanya wa kudhalilika, usilaumu wengine wakiwa hawana muda wa kufikiria hasara utakayopata maana umeamua mwenyewe udhalilike, unless umerekodiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…